Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Waislamu mmeangukia pua

Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi wake waziunge mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu ya imani zao.

Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni wenye nguvu na vishawishi vya kihisia.

Kwa kuwa walilelewa katika familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli.

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek, December 18, 1995, , lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'

kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.
 
Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi zake waziunge mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu ya imani zao.

Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni wenye nguvu na vishawishi vya kihisia.

Kwa kuwa walilelewa katika familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli.

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek, December 18, 1995, , lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'

kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.
Kwenye mada waislamu mmeangukia pua
 
Somo linakuingia naona sasa una weka maandiko Yana mpaka acknowledge vyombo vya habari , ila bado uja acknowledge unapo ya copy na ku paste humu

Epupa plagiarism usiwe kama Muhammad kaiba maandiko ya Wayahudi kadai kashushiwa 😂😂😂 unashushiwaje andiko ambalo tayari lipo
 
Tulia dawa ikuingie , Nyinyi tunawajuwa, ni wale Bwana Yesu aliwaita WENYE MIOYO MIGUMU

Kuna kiasi cha mistari mia mbili inayopatikana katika Injili mbili za Mathayo na Luka (mfano Mathayo 3:7-10 na Luka 3:7-9; Mathayo 18:10-14 na Luka 15:3-7, bila ya kulingana katika Marko wala Yohana.

Kama njia ya kufafanua maafikiano hayo yanayogonga, Msomi wa Kijerumani ameweka nadharia tete ya kuwa kulikuwa na nyaraka za chanzo, alichokirejea ambacho ni kama Quelle (Neno la Kijerumani kwa maana “chanzo”).

Kifupisho “Q” baadaye kilijengewa kuwa ndio jina lake.

Kuwepo kwa Q mara moja kulipewa changamoto na baadhi ya wasomi katika uwanja wa kuwa isemwayo ni Injili kwa hakika haikuwa Injili.

Changamoto hiyo inadai kuwa hakukuwa na kufanana kwa ukale kwa Injili ikiwemo na maneno na mafumbo na ukosefu wa historia ya Yesu, hasa hasa historia ya majaribu yake na kifo chake.

Kugundulika kwa Injili ya Thomas imebadilisha yote hayo. (Injili Tano, p. 12)

Injili ya Thomas ina misemo na mafumbo mia moja na kumi na nne alioandikiwa Yesu; haina mfumo simulizi; hakuna maneno ya Yesu mpunga pepo, tabibu, majaribu, kifo, wala kufufuka; hakuna habari za kuzaliwa wala utoto; na hakuna kifungu kilichosimuliwa cha uchungaji wake kwa hadhira ya watu huko Galilaya na Judea.

Tafsiri ya Coptic ya maandiko haya (imeandikwa kiasi cha miaka 350 C.E.), iliyopatikana mwaka 1945 huko Nag Hammadi nchini Misri, imewawezesha wasomi kutambua vipande vitatu vya Kigiriki (vyenye tarehe ya takriban miaka 200 C.E.) imegunduliwa mapema zaidi, ikiwa ni kipande cha nakala tatu tofauti tofauti za Injili hiyo hiyo.

Injili ya Thomas inafanana mara arobaini na saba na Marko, kufanana na Q mara arobaini, na Mathayo mara kumi na saba, na Luka mara nne, na Yohana mara tano.

Kiasi cha misemo sitini na tano au sehemu ya misemo ni ya kipekee kwa Thomas. (The Five Gospel, p.15)
 
Kiasi cha misemo sitini na tano au sehemu ya misemo ni ya kipekee kwa Thomas. (The Five Gospel, p.15?
Acha uizi wa kazi za watu kama alivyofanya pedophile Muhammad
Weka acknowledgement unapo ya copy
 
Mawazo ya kale

Kulikuwa na mgogoro mkubwa kati ya tafsiri ya Pauline na ya Jerusalem kuhusu Yesu na ujumbe wake.

Mgogoro huo, baada ya kutokea pole pole kwa miaka mingi, hatimaye ulipelekea mpasuko kabisa, katika mpasuko huo, ulipelekea kuundwa Kanisa la Wakristo wa Pauline, kwa athari hiyo, dini mpya iliyojitenga kutoka Uyahudi.

Kwa upande mwingine, Wanazareti wa Jerusalem hawakukata uhusiano wao na Uyahudi, bali walijizingatia kuwa wao ndio kiini cha kuutekeleza Uyahudi, watiifu wa Torati, pia walimwamini Yesu, umbo la Masihi mwanadamu.

Wakati uasi wa Kiyahudi ulipopondwa pondwa na Warumi na mahekalu yao kuharibiwa mwaka 70 CE, Wakristo wa Kiyahudi walitawanyika, nguvu yao na mvuto wao wa kuwa wao ndio Kanisa Mama na kituo cha vuguvugu la Yesu zilifikia kikomo.

Vuguvugu la Wakristo wa Kipauline, vuguvugu ambalo mpaka mwaka 66 CE.

Lilikuwa linapigania liendelee kuishi, dhidi ya kutokubaliwa huko Jerusalem, sasa lilianza kusonga mbele. Kanisa la Jerusalem, chini ya uongozi wa James, kiasili lilijulikana kuwa ni la Wanazareti, baadaye likajulikana kwa jina la kupanga na la kuaibisha la Ebionites (Kwa kiyahudi evyonium, “watu maskini”), jina ambalo baadhi ya Wanazareti walilitwaa kwa ufahari wakilichukulia kuwa ni kikumbusho cha maneno ya Yesu yasemayo, “Wabarikiwe maskini.”

Baada ya Kanisa la Graeco-Roman kushika hatamu, Wanazareti wakawa wanadharauliwa na kuonwa kuwa ni waasi, kwa sababu ya kukataa kwao mafundisho ya Paulo.

Kwa mujibu wa historia ya kanisa la wahenga, Irenaeus (c. 185 CE,) hao watu maskini walimwamini Mungu mmoja, Muumba, aliyefundisha kuwa Yesu alikuwa ni masihi, kwa mujibu wa Mathayo, walitumia Injili tu, na kumpinga Paulo kwa kumwona kuwa ni muasi aliyeasi Sheria ya Kiyahudi.

Hao watu maskini walijulikana kuwa waliishi mpaka katika karne ya nne.

Baadhi yao walihama Palestina na wakaishi huko Transjordan na Syria na baadaye sehemu hiyo ikajulikana kuwa ni Asia ndogo, Misri na Roma

Ushahidi soma

The Myth-maker, p. 175.

The New Encyclopaedia Britannica, vol. 4, p. 344.

Ibid., vol 4, p. 344
 
Acha uizi wa kazi za watu kama alivyofanya pedophile Muhammad
Weka acknowledgement unapo ya copy

TULIA USIKILIZE HII DOCUMENTARY YA BBC 4 Utapata aknowledment uzitakazo

usiwe na Moyo Mgumu kama Bwana Yesu alivyosema

Hebu someni hii mifano miwili

1.
Yohana 6:45
Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu.

Luka 19:46
akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.

Luka 20:41
Akawaambia, Wasemaje watu kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?

Luka 20:42
Maana, Daudi mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume,

Yohana 8:17 Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.

$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

2.
Luka 4:9 Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;

Luka 4:10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;

{ Maneno ya namba Moja Yesu Kristo ana wafundindisha huku akiwatambua walio anza kuongea maneno anayo ongea. Na kuvitaja Vitabu vilivyo andika hayo maneno. Hapo ana maanisha hayo maneno sio yake}

{ Maneno namba mbili Ibirisi Shetani anaongea huku akiwatambulisha walio ongea hayo anayo ongea na kuufahamisha uma kuwa hayo maneno sio yake, yeye kanukuu tu basi}

Muhammadi naye kaja, anaongea maneno ya wenzake bila kuwatambua walio anza kuongea. Anajifanya yeye ndiyo mwanzilishi wa hayo maneno yake.

Hapo ndipo wanamjadala wanaposema amefanya plagiarism.
Na kwamba Qurani imejaa plagiarism nyingi sana.

Huu ushahidi ndio utaotolewa Mahakamani kuwa Qurani sio kitabu halisi (original)
Hivyo kinapotosha jamii.
سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى

(AL - AA'LAA - 1)
Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,
الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ

(AL - AA'LAA - 2)
Aliye umba, na akaweka sawa,
وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ

(AL - AA'LAA - 3)
Na ambaye amekadiria na akaongoa,________

إِنَّ هَـٰذَا لَفِي الصُّحُفِ الْأُولَىٰ

(AL - AA'LAA - 18)
Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,

صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ

(AL - AA'LAA - 19)
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.
 
Kama anavyo zungumzia visa vya uhusiano wa Majini na Uislamu.

Hivyo ndivyo visa halisi vya Muhammadi
Mk 16:15-16 SUV

Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Je,Jini siyo kiumbe?
 
سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى

(AL - AA'LAA - 1)
Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,
الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ

(AL - AA'LAA - 2)
Aliye umba, na akaweka sawa,
وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ

(AL - AA'LAA - 3)
Na ambaye amekadiria na akaongoa,________

إِنَّ هَـٰذَا لَفِي الصُّحُفِ الْأُولَىٰ

(AL - AA'LAA - 18)
Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,

صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ

(AL - AA'LAA - 19)
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.
Anae ongea hapa ni nani?
 
Mk 16:15-16 SUV

Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Je,Jini siyo kiumbe?
Hapo kiumbe ni kile tunacho kiona kwa macho yetu.
We unawaonaga na kukutanaga wapi na hao Majini ?
Hadi uyahubirie Uislamu ?
Hebu uelezee umma hapa
Kama kwenye vilinge vyenu weka wazi tusikie.
 
Unajifanya hujui character aliowatumia kawatoa wapi,

Character wake ni mapepo ndio kaleta kipya
Mungu wendiye muajiri wa baba wa mapepo anaye watuma kudhuru watu kama!

Ayubu < 2 >

2

1 Kisha kulikuwa na siku wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia alikwenda kati yao kujihudhulisha mbele za BWANA. 2 BWANA akamuuliza Shetani, “umetoka wapi wewe?” Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, “Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo.” 3 BWANA akamuuliza Shetani, “Je umemwangalia mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliye mcha Mungu na kuepukana na uovu. Hata sasa anashikamana na utimilifu wake, japokuwa ulinichochea juu yake, nimwangamize pasipo sababu.” 4 Shetani akamjibu BWANA na kusema, “Ngozi kwa ngozi, kweli; mtu atatoa vyote alivyo navyo kwaajili ya uhai wake. 5 Lakini nyosha mkono wako sasa na uguse mifupa yake na nyama yake, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako.” 6 BWANA akamwambia Shetani, “Tazama, yumo mkononi mwako; ni uhai wake tu ambao lazima uutunze.” 7 Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA. Akampiga Ayubu na majipu mabaya toka wayo wa mguu hadi kichwani. 8 Ayubu akachukua kipande cha kigae kujikunia, na akaketi chini majivuni. 9 Kisha mkewe akamuuliza, “Je hata sasa wewe unashikamana na utimilifu wako? Umkufuru Mungu na ufe. 10 Lakini yeye akamwambia, “Wewe unaongea kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu waongeavyo. Je sisi tupate mema toka kwa Mungu na tusipate mabaya?” Katika mambo hayo yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa midomo yake.
 
Wewe usiyepotea njia tuambie

Yesu anasema :

Mt 15:24 SUV​

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Kwa hivyo haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo ???????? Unakimbia hili swali
Collosians2
16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
Paulo yu sahihi tatizo imani ya dini yako haitaki ukubali ukweli ndio maana ubishi upo kifuani mwako hata uelimishwe vipi huwezi badili mtazamo wako baki kwenye uislamu wako ufikapo peponi ukapate mahurulaini wanawake wenye makalio futi sabini tangawizi na pombe aina ya whisk, kafiri mkubwa weee.
 
Karibu upate darsa la Uislamu
Gusa link

Hao ni kama wewe ni wenye mioyo migumu na si waislamu , nimekuwekea hii documentary ya BBC na humo ni hao wanaokuandikia biblia ndio wanaokuelewesha,

kama unatafuta ubishi endelea lakini ukweli ndio huu

Quran ni kitabu cha yule jamaa aliyefukuzwa mbinguni jina limehifadhiwa kwa sababu haiwezekani Binadamu atende mema akalipwe ngono peponi yaani wanawake wenye makalio futi sabini tena kila unapowaingilia bikra zinajirudi vilevile kama mwanzo mleteni Mazinge aje atetee hoja maana ndiye aliyeanzisha chokochoko hizi.
 
Paulo yu sahihi tatizo imani ya dini yako haitaki ukubali ukweli ndio maana ubishi upo kifuani mwako hata uelimishwe vipi huwezi badili mtazamo wako baki kwenye uislamu wako ufikapo peponi ukapate mahurulaini wanawake wenye makalio futi sabini tangawizi na pombe aina ya whisk, kafiri mkubwa weee.

Wewe uko dhehebu lipi ??? Sabato ?? au mkatoliki ??
 
Back
Top Bottom