Yani Muhammad amejiweka level moja na mungu AllahNdio maan kwenye Qurani ukiona neno linatangulia "Sema"
Basi hapo Allah anaongea.
Kama halipo neno "Sema" ujue ni maneno ya Muhammadi.
Wanashirikiana kuwapiga fix Waislamu.
Eti wanakaa wanakata shauri kwa jambo lao 😂😂😂
33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.