Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Alikuambia Babu yako?
Lete ushahidi usilete figisufigisu
Jibu maswali bila kutumia copy paste

1. kwa nini waraq alipokufa koran ikasiamama hapo hapo kuandikwa?
2. kwa nini muhammad alivyoona koran haiandikwi akataka kujitoa uhai?
 
Embu turudi edeni kwanini mwanadamu anakufa? kosa lake ni nini? NA Quran inajua nini kuhusu Roho?
Kabla ya kukujibu kwanini anakufa kwanza tujiulize kwa nini aliumbwa.

Aliumwa mwanadamu ili aje kuabudu kwa maana ya kutumikia KWA NJIA YA M.MUNGU.

Kwa hiyo kuabudu Si kwenda msikitoni, au kanisani. Bali ibada ni kila jambo unalolifanya kwa njia ya M.Mungu. Na matendo yanayoonekana ibada kama kwenda kanisani/msikitini hizi huitwa ibada maalumu. Na kazi yake kubwa ni kukukumbusha kuwa tunapaswa kutumikia kwa njia ya Mungu. Tunapotoas sadaaka na zaka ni kipomo kuwa uko tayari kutoa unavyovipenda na kumpa Mungu ingawa Mungu hana shida navyo.

Sasa wapo watu wanaishi kinyume na njia ya M.Mungu. na Mungu atahitaji kubainisha uwezo na nguvu take na kuwaadhibu kwa kiburi chao cha kupinga maelekezo ya mungu na kuanzisha njia za kibinadamu.

Mfano njia hii inayojulikana Leo kama ujamaa ambao ni umarxi ambapo unatokana na u-atheism. Mfumo huu unakanusha uwepo wa mungu. Ni upagani.

Sasa Quran inasema kifo ni lazima ili wanadamu waliodhulumu nafsi, wakaua nao watapewa adhabu sawa na makosa waliyoyatenda.

[ AL I'MRAN - 185 ]
Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.

[ AN-NISAAI - 100 ]
Na mwenye kuhama katika Njia ya Mwenyezi Mungu atapata pengi duniani pa kukimbilia, na atapata wasaa. Na anaye toka nyumbani kwake kuhama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, kisha yakamfika mauti njiani basi umethibiti ujira wake kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu.
 
Jibu Aya maswali yapo kwa number
1. Alie fananishiwa alifanana kila kitu na Isa original?
2. Kama jibu ni ndio je aliefananishiwa alisulubiwa?
3. Kama jibu ni ndio walio msulubisha walijua ni original au aliefananishiwa
4. Kama hawakujua alichukua mda gani mpaka wakaja kuambiwa walifananishiwa?
5. Je walio ona na kuandika walicho ona na Alie kuja kusema walifanishiwa nani muongo?

Did Jesus need to die?

The Son of man had "authority on earth to forgive sins" (Mark 2.10)

and Jesus we are told forgave the sins of a paralyzed man (Mark 2.5),

and the woman with an alabaster jar (Luke 7.48).

So why did Jesus have to die in order to redeem us from sin?
 
Nilijua hutaweza vumilia 😂😂😂

Copy cut paste
 
Quran inasema mwanadamu alimkosea nini Mungu?
 
1. Ndio
2. Ndio
3. Original
4. Hawakuambiwa hadi baada ya miaka 500 Quran ikaja kurejesha mafunzo sahihi kutokana na hii illusion
5. Hawakujua Bali aliyeandika ni profesa Sauli. Mtunga udanganyifu. Illusion. Sasa baada ya miaka 2000 sasa tuna vitabu viwili vinaweza kuthibitosha.

Kitabu kimoja kinajinadi kuwa ni kitabu hakina mashaka.

Kitabu cha pili kinajipambanua kuwa kalamu za waandishi kimekifanya kuwa na maneno mengi ya uongo
 
Aya hizo hapo juu soma.

Wanadamu wamemkosea mungu kwa kutoishi kwa njia yake. Kwa kutoishi tukiwa ndani ya mfumo wa maisha ambao Mungu katuandalia.

Mfumo huo huitwa unyenyekevu au Amani. Kwa kiarabu huitwa Uislam
 
Nilijua hutaweza vumilia 😂😂😂

Copy cut paste

Msumari ni wa moto unaogopa kama ukoma , hwishi kulalamika kama mwari

Wewe hutafuti ukweli unatafuta ubishi , sasa jibu hili swali

Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.

Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
 
Nilijua hutaweza vumilia 😂😂😂

Copy cut paste

Jibu haya maswali usilalamike kama mwari

Did Jesus need to die?

The Son of man had "authority on earth to forgive sins" (Mark 2.10)

and Jesus we are told forgave the sins of a paralyzed man (Mark 2.5),

and the woman with an alabaster jar (Luke 7.48).

So why did Jesus have to die in order to redeem us from sin?
 
Aya hizo hapo juu soma.

Wanadamu wamemkosea mungu kwa kutoishi kwa njia yake. Kwa kutoishi tukiwa ndani ya mfumo wa maisha ambao Mungu katuandalia.

Mfumo huo huitwa unyenyekevu au Amani. Kwa kiarabu huitwa Uislam
Nauliza sosi ya tatizo lilianzia wapi yaani mwanadamu wa kwanza alimkosea nini Mungu? Quran inasemaje hapo.
 
Wandamu wote tunamkosea mungu; muhimu ni toba. Kosa la Adam siwezi kulirithi wala kulibeba Mimi, Makosa yangu hawezi beba baba yangu hata biblia imeweka wazi jambo hilo.

Lazima tuelewa kwanini mumgu baada ya kuumba vitu vyote alikuja kumuumba Adam. Ni kwa sababu tuje kutumikia yeye. Kutumikia yeye ndio ibada kwa kiarabu. Na kwamba viumbe vyote vingine vimewekwa chini yetu na sisi ni viongozi kwako.
 
Au unataka kusema Adam alikataa kufata amri ya yesu
 
1. Ndio
2. Ndio
3. Original
4. Hawakuambiwa hadi baada ya miaka 500 Quran ikaja kurejesha mafunzo sahihi kutokana na hii illusion
5. Hawakujua Bali aliyeandika ni profesa Sauli. Mtunga udanganyifu. Illusion. Sasa baada ya miaka 2000 sasa tuna vitabu viwili vinaweza kuthibitosha.

Kitabu kimoja kinajinadi kuwa ni kitabu hakina mashaka.

Kitabu cha pili kinajipambanua kuwa kalamu za waandishi kimekifanya kuwa na maneno mengi ya uongo
Walioandika kasulubiwa ni wakweli au sio wakweli?
 
Hutapata jibu ndugu , Koran lazima itegemee vyanzo vingine
Bible ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopita. Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu vilivyopita.

Tofauti iko hivi bilble Si agano lilokusanywa na mtume wa mungu. Quran imekusanywa na mtume wa mungu
 
4. Hawakuambiwa hadi baada ya miaka 500 Quran ikaja kurejesha mafunzo sahihi kutokana na hii illusion
Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
 
Back
Top Bottom