Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Mbona Shigongo ameandika vitabu vyenye hadithi nyingi kuliko za kwenye vitabu vyenu mnavyodanganyia watu eti vimeshushwa.
 
Mbona Shigongo ameandika vitabu vyenye hadithi nyingi kuliko za kwenye vitabu vyenu mnavyodanganyia watu eti vimeshushwa.
Bibilia hakuna mahali imesemwa imeshushwa!!

Jibu maswali niliyouliza na siyo kuleta kejeli.
 

Mkuu kwa hakika ni ngumu sana kujua exactly nani kaandika vitabu vya Bibilia kwasababu ya ukosefu wa ushahidi thabiti wa waandishi

Kwa mujibu wa simulizi za vitabu vya Bibilia,
Vitabu vya Bibilia vimeandikwa na watu tofauti kwa muda wa takribani miaka kama 1,400 kwa lugha tofauti na maeneo tofauti Duniani

Simulizi hizi za vitabu vya Bibilia zinazo sadikika “zilitokea” miaka mingi nyuma zilikuwa circulating orally for years kutoka kizazi hadi kizazi kabla hazijaandikwa kwa maandishi na lugha tunayozo zijua leo....... hakuna original copy

Enzi za Roman Empire Ukristo ulifanywa kuwa dini rasmi ya kiutawala na hapo ndipo Wanazuoni wa Kirumi walipokaa na kukusanya maandiko na simulizi zote za wakristo(haijulikani idadi vilikua vingapi), wakachambua na kuchagua vitabu kadhaa walivyoona vinafaa na kuviidhinisha kuwa ndio vitakua vitabu vitakatifu Yaani BIBILIA tunayo ijua leo,
Palitokea mvutano vitabu gani vitolewa na vipi viachwe na kusababisha kuwa na Bibilia tofauti kwa idadi ya vitabu kulingana na sect

Simulizi za Bibilia kwa kiasi kikubwa zipo centered around jamii ya waisraeli na imani yao

So BIBILIA tunazo zisoma sasa zilikuwa compiled na Romans

Kwa maelezo haya natumaini nimejibu baadhi ya maswali yako
 
Chanzo cha haya maelezo yako hafifu na dhaifu ni kipi? labda nikusaidie soma vizuri historia ya kanisa,,pitia mitume 12 uwasome vizuri na pia tafuta kujua biblia zilizokuwepo kabla ya mwaka 1600,,,ndio uje usome historia ya WILLIAM TYNDALE na scholars walioandika biblia ya toleo la KING JAMES..
 

Mkuu unge jibu kwa hoja udhaifu ni upi?
 
Kwanza sielewi kama umesoma hata nilichoandika.

Hakuna kupishana kokote hapo.
Nmesoma na kuelewa vizuri,

Hapa umekuja kulazimisha unachokiamini kionekane hakina contradiction.

Nmekuonesha kujipinga kwa biblia kwenye sehem moja na ndogo sana

Na nmequote hadi mistari

Umeshindwa hata kunjibu

Unazunguka tu
 
Huyu kibibi kizee kichwani ni mashudu tu anaelezwa bado haelewi daah[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uongo ukisemwa Sana , unakuwa Kweli
 
Nakushauri usome hapa utajua kuwa biblia ni hadithi sawa na nyingine.

 
Na hakijamalizwa kutungwa bado kuna mistari kila mwaka tunaongeza
 
Kama ni mkusanyiko wa vitabu vya Manabii na mitume kwanini sasahivi havikusanywi ili viingizwe kwenye huo mkusanyiko? Au kwa Sasa Mitume na Manabii hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…