Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #181
Hakuna mwenye majibu ya maswali niliyouliza???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifuatilia kwa makini, huenda na Waafrika nao walikuwa na vitabu vyao vya hadihi kiimani, ila wazungu wakatuhadaa na kuziita hadithi za kipuuzi na za kwao zikawa za maana. Leo hii Biblia ni hadithi za kizungu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hakuna mwenye majibu ya maswali niliyouliza???
So Yesu alikuwa Muislam!
Mbona Shigongo ameandika vitabu vyenye hadithi nyingi kuliko za kwenye vitabu vyenu mnavyodanganyia watu eti vimeshushwa.Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?
Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?
Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?
Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?
Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?
Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?
Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Bibilia hakuna mahali imesemwa imeshushwa!!Mbona Shigongo ameandika vitabu vyenye hadithi nyingi kuliko za kwenye vitabu vyenu mnavyodanganyia watu eti vimeshushwa.
Post namba Moja.Mkuu nipe rejea ya post niyaone maswali yako
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?
Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?
Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?
Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?
Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?
Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?
Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Chanzo cha haya maelezo yako hafifu na dhaifu ni kipi? labda nikusaidie soma vizuri historia ya kanisa,,pitia mitume 12 uwasome vizuri na pia tafuta kujua biblia zilizokuwepo kabla ya mwaka 1600,,,ndio uje usome historia ya WILLIAM TYNDALE na scholars walioandika biblia ya toleo la KING JAMES..Mkuu kwa hakika ni ngumu sana kujua exactly nani kaandika vitabu vya Bibilia kwasababu ya ukosefu wa ushahidi thabiti wa waandishi
Kwa mujibu wa simulizi za vitabu vya Bibilia,
Vitabu vya Bibilia vimeandikwa na watu tofauti kwa muda wa takribani miaka kama 1,400 kwa lugha tofauti na maeneo tofauti Duniani
Simulizi hizi za vitabu vya Bibilia zinazo sadikika “zilitokea” miaka mingi nyuma zilikuwa circulating orally for years kutoka kizazi hadi kizazi kabla hazijaandikwa kwa maandishi na lugha tunayozo zijua leo....... hakuna original copy
Enzi za Roman Empire Ukristo ulifanywa kuwa dini rasmi ya kiutawala na hapo ndipo Wanazuoni wa Kirumi walipokaa na kukusanya maandiko na simulizi zote za wakristo(haijulikani idadi vilikua vingapi), wakachambua na kuchagua vitabu kadhaa walivyoona vinafaa na kuviidhinisha kuwa ndio vitakua vitabu vitakatifu Yaani BIBILIA tunayo ijua leo,
Palitokea mvutano vitabu gani vitolewa na vipi viachwe na kusababisha kuwa na Bibilia tofauti kwa idadi ya vitabu kulingana na sect
Simulizi za Bibilia kwa kiasi kikubwa zipo centered around jamii ya waisraeli na imani yao
So BIBILIA tunazo zisoma sasa zilikuwa compiled na Romans
Kwa maelezo haya natumaini nimejibu baadhi ya maswali yako
Chanzo cha haya maelezo yako hafifu na dhaifu ni kipi? labda nikusaidie soma vizuri historia ya kanisa,,pitia mitume 12 uwasome vizuri na pia tafuta kujua biblia zilizokuwepo kabla ya mwaka 1600,,,ndio uje usome historia ya WILLIAM TYNDALE na scholars walioandika biblia ya toleo la KING JAMES..
Nmesoma na kuelewa vizuri,Kwanza sielewi kama umesoma hata nilichoandika.
Hakuna kupishana kokote hapo.
AbsolutelyUkweli wa Dunia ni kwamba, mtu mweusi pekee ndiye aliyepata Mungu anayefanana na mkoloni wake na akapata shetani anayefanana na yeye na bado anakuwa proud of it.
MAGUFULI4LIFE.
Huyu kibibi kizee kichwani ni mashudu tu anaelezwa bado haelewi daah[emoji2][emoji2][emoji2]wewe Ajuza punguza ujuha unaambiwa kabla ya Yesu maandiko yalikua katika single papers
yaani mfano chapter ya ISAYA ilikua kama karatasi moja full inayomwelezea Isaya vile vile na Kumbukumbu la Torati lilikua single pia baada ya Masihi kupaa mwaka 70 AD Yerusalemu ilitekwa na na Hekalu kubomolewa watu walikusanya yale maandiko wakayaweka kwenye mkusanyiko mmoja vile vile baada ya Utawala wa Rumi kuamua kubadili mfumo wake wa siasa Mfalme CONSTANTINE Aliekua mpagani alivyo upokea ukristo kama Dini Dola katika himaya yake akaamua akusanye maandiko yote ya kale na yale Ya wanafunzi na wafuasi wa Yesu na kuyaweka katika kitabu kimoja na Wakayaita BIBLIA ikiwa na maana ya mkusanyiko wa vitabu
huo ni mfano mdogo tu ni kama vile MAREKANI Kabla Haikua nchi moja ila majimbo yanayo jitegemea mpaka mwaka 1776 majimbo yalipoungana na kutokea UNITED STATE OF AMERICA
Na ikawa nchi vile vile na BIBLIA Ndio ilivyokua kwahiyo ukiuliza ni kwanini waliita hilo jina ni sababu ya muunganiko wake soma historia acha kuuliza maswali ya Kiwaki!
Uongo ukisemwa Sana , unakuwa KweliHuwezi kutunga hcho kitabu , ni either ukiamini au au usiamini , your choice , na usipoamini basi better ukae kimya , hakuna kitu cha kutungwa kinaweza last longly namna hyo , na kuwa widespreaded kiasi hcho Karne na Karne hakuna kitu kama hcho , vtu vyote vinavyodumu Karne zote ni halisi...
Nakushauri usome hapa utajua kuwa biblia ni hadithi sawa na nyingine.Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?
Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?
Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?
Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?
Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?
Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?
Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Mpaka hapa naona wanatinyanga tu na kuleta mihemko yao badala ya kujibu maswali ya msingi..Mbona maswali nilyouliza hayajibiwi??
FUATILIA ISHU YA MASHARIKI YA KATI NDIO UTAMJUA MUNGU.
UKISHINDWA HAPO TAFUTA TAWALA NNE ZA DUNIA.
Na hakijamalizwa kutungwa bado kuna mistari kila mwaka tunaongezaKuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?
Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?
Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?
Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?
Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?
Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?
Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Kama ni mkusanyiko wa vitabu vya Manabii na mitume kwanini sasahivi havikusanywi ili viingizwe kwenye huo mkusanyiko? Au kwa Sasa Mitume na Manabii hawapo?-Bibilia haijatungwa bali ni mkusanyiko wa vitabu mbali mbali kutoka kwa waandishi (Manabii, Mitume na wanafunzi wa Yesu) venye kuelezea habari za Mungu, mafunzo na Maagizo.
-Bibilia tunazosoma sasa hivi zimetafsiriwa kutoka kwenye chapisho la Kwanza kabisa kwenye historia ya dini nacho ni KING JAMES VERSION (KJV)
-Tafrisi ya KJV zilitolewa kwenye machapisho ya Kihebrania na Kigiriki. Lengo ni kuwa habari njema ifike kwa watu wengi duniani.
- Kuna mengi ya kuelezea ila kwa sasa niishe hapa.