Sio kila kitu mpaKa apewe mtume arif BIBLIA ni mkuanyiko wa VITABU na maandiko mbali mbali ya
Kale Vinavyoelezea matukio mbali mbaLi ya watu waliokua na mahusiano na MUNGU JEHOVA
matukio hayo ya kidini,kisiasa na kijamii yaliyobeba shuhuda mbali mbali yaliyokea katika nyakati na majira tofauti hivyo kulingana na taratibu za kipindi hicho record mbali mbali ziliandikwa mfano kitabu cha MWANZO,KUTOKA,KUMBUKUMBU LA TORATI,HESABU NA JOSHUA Viliandikwa kipindi Israelites wanatoka utumwani MISRI yaani kipindi cha MUSA vile vile WAAMUZI kiliandikwa miaka ISRAELITES hawana MFALME Miaka mingi baada ya kutoka MISRI baadae kikaja WAFALME,ZABURI NA MITHALI Hapa ISRAEL Walikua na WAFALME Kama SAULI,DAUDI NA SULEIMAN
Baadae vikaja vya manabii kama DANIEL,ELIA,ISAYA NK
na hivyo vyote havikuwekwa pamoja vilikua kama single book kwa miaka mingi baadae maarifa yakaongezeka na baada ya YESU KRISTO KUPAA mwaka 70 AD Yerusalem Ikatekwa na WARUMI HEKALU likavunjwa na wakauchoma Moto Na kuwatawanya ISRAELITES Duniani
baadae WARUMI chini ya MFALME CONSTATINE Aliyekua Mpagani Aliupokea UKRISTO Kama DINI DOLA Akaamua AKusanye maandiko yale Ya KALE na ya INJILI yaliyoandikwa na wafuasi Na wanafunzi wa YESU wakayaweka katika kitabu kimoja Wakayaita BIBLIA Ikiwa na maana ya mkusanyiko wa Vitabu
Ili iwe rahisi kupata rejea mbali mbali Ya NENO la MUNGU
Hiyo ndio historia kwa kifupi tu upatwe mwanga ndugu!
AJUZA
FaizaFoxy pitia hii utoe ujinga uache kuaibisha kalia yako!