True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
NAKAZIA[emoji419][emoji419]People in the bible did not read the bible.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA[emoji419][emoji419]People in the bible did not read the bible.
Hadithi Kwa Mantiki ipi?? Za kutungwa?Hakuna siri kuhusu Bible, kuhusu walioandika, lini iliandikwa na walioamua maandiko yawe sehemu ya Bible vyote vinajulikana, ukiamua kufuatilia na kusoma deep utaelewa mambo mengi sana, ila kwa ufupi kila kitu kwenye Bible ni maandiko/hadithi kutoka kwa wanadamu kama wewe na mimi
What did you imply?People in the bible did not read the bible.
ndio tunakujibu kwa angle tofautiMada yangu imebebwa na maswali.
Mnayakwepa.ndio tunakujibu kwa angle tofauti
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.
Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia
Hakuna mwisho wewe.Kizazi kisichoamini kinazidi kuongezeka, unabii unatimia, giza la kiroho kuenea kuashiria ule mwisho umekaribia na yule mtawala wa dunia kushika hatamu, waamini hawatakuwepo, ataongoza wasioamini mpaka waipate fresh wajiookoe kwa gharama kubwa ya damu zao
Hata kama hao sio, ukweli ni kwamba Israeli ukristo hauna nafasi yoyote, wakristo wanaishi kama digidigi, hakuna sherehe yoyote inayotambulika, ndani Israeli wakristo ni asilimia mbili tu.
Hii ni perspective ya waislamu ambayo inasemekana karibia miaka 600 baada ya Kristo, kwanza pata picha kitu kifanyike leo halafu baada ya miaka 600 aje mtu na kukwambia kuwa hiki ni kile, kile sio hiki utamuelewaje?vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni
Zaburi kwa daudi
Torati kwa mussa
Injili kwa issa
Qur an muhammad
Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba
inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.
Kwani wewe utaishi miaka mingapi toka Sasa??Hakuna mwisho wewe.
Mbingu Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hatutaki porojo zako, weka ushahidi wa maandiko.Huijui Biblia!, Ungeijua usingesema hivyo ila kwa taarifa yako Yesu kayakuta maandiko ya Biblia na kayasoma na vipo vifungu kadhaa ambavyo vimemnukuu akifanya hivyo.
Kwa taarifa yako tu Biblia ilianza kuandikwa na Musa, saa fuatilia ni lini ilikuwa ndio utajua kuwa ilipita miaka mingi ndipo Yesu akaja na aliikuta
majibu yapo utayapataMnayakwepa.
Kwa nini mtafute "angle" tofauti wakati yapo wazi sana??
Yatokane na fikra zako na siyo fikra za wengine!!majibu yapo utayapata
Inaitwa 'Maandiko Matakatifu ya Mungu yaitwayo Biblia', ikijumuisha vitabu vyote kuanzia Mwanzo ya Musa hadi Ufunuo ya Yohana, na kitabu cha mwisho kiliandikwa miaka mingi kabla ya vitabu vingine ikiwemo hiko cha 4 ulichotaja ambacho kilikuja takribani miaka zaidi ya 500 baada ya BibliaHakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Za kutunga au no nakuachia wewe uamue mwenyewe, ila Bible sio kitabu cha kwanza " KITAKATIFU". civilization nyingi zimeishi hii dunia na nyingi zilikuwa zina Bible zao ambazo hazipo tena, hata sasa sehemu nyingi duniani wanaamini na wana vitabu vyao kuanzia budha, Hindu, Singa, shinto, Chinese etc, ukristu na uislam ni vitu waafrica wengi ndio tunajua kwa sababu ya ukoloni, nina uhakika tungetawaliwa na mchina au muhindi leo tungekuwa tunaamini in Hinduism or something else, na bila ukoloni leo ungekuwa unaamini kwa mungu wa babu yako Kingaru , hizi dini ni imani tuu na imani ziko nyingi sana, mataifa ya wastaarabu wana kitu inaitwa separation of church and state,Hadithi Kwa Mantiki ipi?? Za kutungwa?
Msichanganye kazi ya kukusanya na kuhariri vitabu vya Biblia na kutunga Biblia.
huwa naandika fikra zangu bila kusoma wengine wameandika nini na hutoke tukawa na ufanano wa fikra na wengine. Ndio maana hupenda kukomenti kabla ya kusoma content ili fikra zangu zisiathiriwe kwa kusoma walionitangulia kujibu. Kichwa tu cha mada ni tosha kukimbilia kujibu japo pia hutokea kukosea kujibu na mwenye mada hunishauri nisome kwanza mada yake ndiyo nijibu. Majibu yako yapo nitakujibu sawiaYatokane na fikra zako na siyo fikra za wengine!!
Thank you for correction,Kwani nimesema "maswali niliyokuuliza" au " maswali niliyouliza"?
Je kuna makosa kuchangia hapa!?Hata biblia nayo imesheheni contradiction nyingi tu.
Uwepo wa contradiction hizo zinaonyesha kabisa kuwa si kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
Hapa ndipo wenzetu wanapofauluZa kutunga au no nakuachia wewe uamue mwenyewe, ila Bible sio kitabu cha kwanza " KITAKATIFU". civilization nyingi zimeishi hii dunia na nyingi zilikuwa zina Bible zao ambazo hazipo tena, hata sasa sehemu nyingi duniani wanaamini na wana vitabu vyao kuanzia budha, Hindu, Singa, shinto, Chinese etc, ukristu na uislam ni vitu waafrica wengi ndio tunajua kwa sababu ya ukoloni, nina uhakika tungetawaliwa na mchina au muhindi leo tungekuwa tunaamini in Hinduism or something else, na bila ukoloni leo ungekuwa unaamini kwa mungu wa babu yako Kingaru , hizi dini ni imani tuu na imani ziko nyingi sana, mataifa ya wastaarabu wana kitu inaitwa separation of church and state,
Hakuna sehemu nmesema Yesu ni mzungu.Yesu ni Mzungu?Habari ya kusali jumapili ipo kwenye biblia?Watu wa biblia wanasali jumapili?