Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Hakuna siri kuhusu Bible, kuhusu walioandika, lini iliandikwa na walioamua maandiko yawe sehemu ya Bible vyote vinajulikana, ukiamua kufuatilia na kusoma deep utaelewa mambo mengi sana, ila kwa ufupi kila kitu kwenye Bible ni maandiko/hadithi kutoka kwa wanadamu kama wewe na mimi
Hadithi Kwa Mantiki ipi?? Za kutungwa?

Msichanganye kazi ya kukusanya na kuhariri vitabu vya Biblia na kutunga Biblia.
 
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.

Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia

Huijui Biblia!, Ungeijua usingesema hivyo ila kwa taarifa yako Yesu kayakuta maandiko ya Biblia na kayasoma na vipo vifungu kadhaa ambavyo vimemnukuu akifanya hivyo.

Kwa taarifa yako tu Biblia ilianza kuandikwa na Musa, saa fuatilia ni lini ilikuwa ndio utajua kuwa ilipita miaka mingi ndipo Yesu akaja na aliikuta
 
Kizazi kisichoamini kinazidi kuongezeka, unabii unatimia, giza la kiroho kuenea kuashiria ule mwisho umekaribia na yule mtawala wa dunia kushika hatamu, waamini hawatakuwepo, ataongoza wasioamini mpaka waipate fresh wajiookoe kwa gharama kubwa ya damu zao
Hakuna mwisho wewe.

Mbingu Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni

Zaburi kwa daudi
Torati kwa mussa
Injili kwa issa
Qur an muhammad

Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba
inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.
Hii ni perspective ya waislamu ambayo inasemekana karibia miaka 600 baada ya Kristo, kwanza pata picha kitu kifanyike leo halafu baada ya miaka 600 aje mtu na kukwambia kuwa hiki ni kile, kile sio hiki utamuelewaje?

Na ndivyo inavyokuwa, huwezi sema Torati na Zaburi pekee, ilhali alieandika Torati aliandika na vitabu vingine ambavyo ndio msingi mkuu wa Biblia
 
Huijui Biblia!, Ungeijua usingesema hivyo ila kwa taarifa yako Yesu kayakuta maandiko ya Biblia na kayasoma na vipo vifungu kadhaa ambavyo vimemnukuu akifanya hivyo.

Kwa taarifa yako tu Biblia ilianza kuandikwa na Musa, saa fuatilia ni lini ilikuwa ndio utajua kuwa ilipita miaka mingi ndipo Yesu akaja na aliikuta
Hatutaki porojo zako, weka ushahidi wa maandiko.
 
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Inaitwa 'Maandiko Matakatifu ya Mungu yaitwayo Biblia', ikijumuisha vitabu vyote kuanzia Mwanzo ya Musa hadi Ufunuo ya Yohana, na kitabu cha mwisho kiliandikwa miaka mingi kabla ya vitabu vingine ikiwemo hiko cha 4 ulichotaja ambacho kilikuja takribani miaka zaidi ya 500 baada ya Biblia
 
Hadithi Kwa Mantiki ipi?? Za kutungwa?

Msichanganye kazi ya kukusanya na kuhariri vitabu vya Biblia na kutunga Biblia.
Za kutunga au no nakuachia wewe uamue mwenyewe, ila Bible sio kitabu cha kwanza " KITAKATIFU". civilization nyingi zimeishi hii dunia na nyingi zilikuwa zina Bible zao ambazo hazipo tena, hata sasa sehemu nyingi duniani wanaamini na wana vitabu vyao kuanzia budha, Hindu, Singa, shinto, Chinese etc, ukristu na uislam ni vitu waafrica wengi ndio tunajua kwa sababu ya ukoloni, nina uhakika tungetawaliwa na mchina au muhindi leo tungekuwa tunaamini in Hinduism or something else, na bila ukoloni leo ungekuwa unaamini kwa mungu wa babu yako Kingaru , hizi dini ni imani tuu na imani ziko nyingi sana, mataifa ya wastaarabu wana kitu inaitwa separation of church and state,
 
Yatokane na fikra zako na siyo fikra za wengine!!
huwa naandika fikra zangu bila kusoma wengine wameandika nini na hutoke tukawa na ufanano wa fikra na wengine. Ndio maana hupenda kukomenti kabla ya kusoma content ili fikra zangu zisiathiriwe kwa kusoma walionitangulia kujibu. Kichwa tu cha mada ni tosha kukimbilia kujibu japo pia hutokea kukosea kujibu na mwenye mada hunishauri nisome kwanza mada yake ndiyo nijibu. Majibu yako yapo nitakujibu sawia
 
Kwani nimesema "maswali niliyokuuliza" au " maswali niliyouliza"?
Thank you for correction,

Kuuliza maswali hayo yatajibiwa na mlengwa wa swali.

Kwasababu uko hapa JF kwenye open forum lazima uwe tayari kuulizwa na kila mtu.

Na katika post yangu nliongezea kitu baada ya kuishutumu quran.

Yena mzungumzaji akasema kuwa biblia iliandikwa na watu wakiongozwa na huyo roho mtakatifu,

Nami hoja yangu ni hii

Hata biblia nayo imesheheni contradiction nyingi tu.

Uwepo wa contradiction hizo zinaonyesha kabisa kuwa si kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
Je kuna makosa kuchangia hapa!?
 
Za kutunga au no nakuachia wewe uamue mwenyewe, ila Bible sio kitabu cha kwanza " KITAKATIFU". civilization nyingi zimeishi hii dunia na nyingi zilikuwa zina Bible zao ambazo hazipo tena, hata sasa sehemu nyingi duniani wanaamini na wana vitabu vyao kuanzia budha, Hindu, Singa, shinto, Chinese etc, ukristu na uislam ni vitu waafrica wengi ndio tunajua kwa sababu ya ukoloni, nina uhakika tungetawaliwa na mchina au muhindi leo tungekuwa tunaamini in Hinduism or something else, na bila ukoloni leo ungekuwa unaamini kwa mungu wa babu yako Kingaru , hizi dini ni imani tuu na imani ziko nyingi sana, mataifa ya wastaarabu wana kitu inaitwa separation of church and state,
Hapa ndipo wenzetu wanapofaulu
 
Yesu ni Mzungu?Habari ya kusali jumapili ipo kwenye biblia?Watu wa biblia wanasali jumapili?
Hakuna sehemu nmesema Yesu ni mzungu.

Je unafahami kuwa hadithi za miungu kufa na kufufuka siku ya tatu zilikuwepo huko kwenye jamii za warumi?

Sijaongelea watu wa biblia, nmeongelea issue ya kusali jumapili ambayo ni matokeo ya dini ya ukristo iliyopigwa jeki na mzungu.

Kutenga jumapili kama siku ya mapumziko ni athari za utawala wa Roma
 
Back
Top Bottom