Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni
Zaburi kwa daudi
Torati kwa mussa
Injili kwa issa
Qur an muhammad
Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba
inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.
Lete uthibitisho wa uliyoandika na wala isiwe uliyoaminishwa kwenye madrasa zenu! Kila kitu lazima kithibitishwe na source iwepo siyo mambo ya madrasa hapa!