kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kwani wameanza kukataa habari za yesu Leo ?
Toka kipindi yesu yupo duniani walikataa habari zake na kumwambia yeye sio masii wa Mungu
Mungu akawapa laana
Mathayo 21:43
43Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa