Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Haya mambo inabidi kuyafuatilia ukiwa na humble mind, ukifanya hvyo utagundua ukweli wote....
Yees!!

Maisha ya kukarirshwa mawazo ya wengine siyo sawa.

Majibu yatoke kwenye akili za anayejibu na siyo natharia za wengine.

Mtu hawezi kujenga hoja mpaka alete kejeli za wenzake hawana akili Kwa kuwa tu hawajui nadharia fulani.
 
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.

Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?

Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?

Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?

Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?

Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?

Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?

Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?

Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?

Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Biblia ni kitabu kilichoandikwa na Yehova mungu kupitia wanadamu ...wanadamu waliandika mawazo yaliotoka kwa mungu kupitia roho takatifu ya mungu

Na kiliandikwa kwa ajili ya wanadamu ili wajifunze kupitia mambo yaliopita yaliopo na yatakayo kuja
1timotheo 3:16

Pia biblia inatupa uhusiano mzuri pamoja na mungu ,kadri tunavyosoma na kuelewa biblia ndivyo kadri tunazidi kumjua yeye na sifa zake kuu kama upendo,nguvu,hekima na haki
 
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia
Kwani Biblia ni nini?
vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
Vilishushajwe?
Ilishushwaje na ilishushiwa wapi?
Ilishushwaje na ilishushiwa wapi?
Injili ni nini ilishushwaje na ilishushiwa wapi?
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Tufuate nini Sasa??
 
Jibu basi Maswali niliyouliza??
Jibu hilo....
FB_IMG_1690142428478.jpg
 
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.

Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?

Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?

Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?

Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?

Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?

Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?

Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?

Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?

Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Hata voynich manuscript imetuacha dilema
 
Kwanza maana ya biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali ..ndio maana kipindi cha nyuma alitumia waandishi wengi kadhaa kuandika matukio ya nyakati zilizopita ...wengi wao walikuwa manabii ,mitume.wafalme ....hivyo tukiunganisha vitabu vyote hivo tunapata biblia
Ko lengo mungu anataka tujifunze na tumjue yeye kupitia mambo yaliopita na jinsi wengine walivyoweza kuwa na uhusiano mzuri pamoja naye
Na wengine walifanya mabaya hatupaswi kuwaiga kama kaini,adamu,eva ,yuda iskariote na wengine wengi waliofanya mabaya
 
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.

Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia.
biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu vingi. Waandishi wake waliandika kwa kuongozwa na roho mtakatifu. Kama unaamini uislam na quran yake why usiamini biblia? Quran yenye imekopi biblia. Waislam hamna haki kuhoji hoji uandishi wa biblia wakati quran imejaa utata wa kuandikwa kwake. Tulieni acheni kutikisa setting za dunia
 
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Biblia ilitungwa na warumi ambao ndio waanzilishi wa kanisa baada ya kuiba maandiko ya hadithi za waafrika walioishi miaka mingi kabla ya uwepo wa dini yoyote hapa dunian wala uwepo wa jamii za watu weupe.

Biblia+Qur'an sio vitabu vitakatifu bali ni maandiko ya watu waliotunga kwa manufaa yao ya kucontroll akili za watu kwa kuwajaza uwoga na kuwaaminisha uongo.

Historia za waafrika ndizo zilicopiwa na kuunda uyahudi then uyahud ukacopiwa na kuunda ukatoric then ukristo(mgawanyiko wa makanisa) then ukaundwa uislam kutoka ktk nadharia za uongo za ukristo walitunga warumi wakishirikiana na waarabu kuunda uislam, then baadae hizi dini zikarudi tena Afrika kwa kutuaminisha ni dini takatifu kumbe uzushi mtupu na uongo mwingi.

Bible imepitia michakato mingi ya kuedit kama kwel Neno la Mungu linaeditiwa je laweza kuwa kwel?
 
Maadui wa ukristo ni wayahudi
Maadui wa uislam ni wayahudi
Hitler alipowaua wayahudi alikua anajua anapigana na nani
Hao jamaa wametesa karibia mitume wote wa mungu kama unazani wayahudi ni rafiki zako kawasome tena
Walimtesa mtume gan una uhakika? Alafu hata historia ya hitra kuwaua hao hamuijui, pili ugomvi wa waislam na hao hata hamuujui mmejazwa uongo na media+viongoz wenu wa kidin nanyi mnaamini.

Wayahudi sio waisrael mujue kutofautisha
 
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.

Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia.
Kama ilivyo Qur'an imejazwa uongo na uzushi, huyo Allah ni muongo kawaaminisha wapumbavu kwamba alishusha vitabu kwa huyo mtume feki asiyejua kusoma zaid ya ubakaj kwa watoto..

Kwa muafrika mwenye akili timamu hawezi kuwa mfuasi wa uislam wala ukristo, hizo dini zimetungwa special kwa wapumbavu waziamini
 
Biblia ni kitabu kilichoandikwa na Yehova mungu kupitia wanadamu ...wanadamu waliandika mawazo yaliotoka kwa mungu kupitia roho takatifu ya mungu

Na kiliandikwa kwa ajili ya wanadamu ili wajifunze kupitia mambo yaliopita yaliopo na yatakayo kuja
1timotheo 3:16

Pia biblia inatupa uhusiano mzuri pamoja na mungu ,kadri tunavyosoma na kuelewa biblia ndivyo kadri tunazidi kumjua yeye na sifa zake kuu kama upendo,nguvu,hekima na haki
Uongo huu, kitabu kinachoeditiwa kinaweza kuwa Neno la Mungu? Yaan kitabu kilichopitia michakato ya uandishi kwa kufutwa baadhi ya vitabu na mistari kinaweza kuwa Neno la Mungu? Ama huyo Mungu wenu kigeugeu maana kawakataza kuongeza wala kupunguza mambo ktk hilo mnaloita Neno lake.

Mnapoamini hizo imani zenu muwe mnasoma basi hata historia za dini mujue ukweli ambao hamuwezi kuujua kama mtabaki kuitikia kila jambo Aameni pasipo kuhoji
 
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.

Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?

Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?

Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?

Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?

Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?

Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?

Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?

Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?

Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
-Bibilia haijatungwa bali ni mkusanyiko wa vitabu mbali mbali kutoka kwa waandishi (Manabii, Mitume na wanafunzi wa Yesu) venye kuelezea habari za Mungu, mafunzo na Maagizo.

-Bibilia tunazosoma sasa hivi zimetafsiriwa kutoka kwenye chapisho la Kwanza kabisa kwenye historia ya dini nacho ni KING JAMES VERSION (KJV)

-Tafrisi ya KJV zilitolewa kwenye machapisho ya Kihebrania na Kigiriki. Lengo ni kuwa habari njema ifike kwa watu wengi duniani.

- Kuna mengi ya kuelezea ila kwa sasa niishe hapa.
 
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.

Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?

Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?

Watunzi Wa hadithi za kwenye Biblia walikuwa wangapi?

Hao watunzi walikuwa kutoka taifa Moja ama walitoka mataifa tofauti tofauti?

Walikubaliana wapi na vipi kuwa watunge hadithi hizo za Biblia na lengo lao lilikuwa lipi?

Jee walitumia vigezo gani kuchagua wahusika wa hizo hadithi zao na majina ya wahusika hao?

Ilichukua miaka mingapi hadithi hizo za Biblia kutungwa?

Baada ya utunzi wa hadithi hizo nani aliyetoa majina ya vitabu vinavyobeba hadithi hizo za kutungwa?

Baada ya wao kumaliza kutunga hizo hadithi Kuna watu wakati Wa zama zao waliowahi kutunga kitabu kingine kukanusha hizo hadithi zilizotungwa na hao watunzi wa hadithi za kwenye Biblia?
Hili sijajua kwa kweli
 
Kama ilivyo Qur'an imejazwa uongo na uzushi, huyo Allah ni muongo kawaaminisha wapumbavu kwamba alishusha vitabu kwa huyo mtume feki asiyejua kusoma zaid ya ubakaj kwa watoto..

Kwa muafrika mwenye akili timamu hawezi kuwa mfuasi wa uislam wala ukristo, hizo dini zimetungwa special kwa wapumbavu waziamini
Leta ushahidi.
 
biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu vingi. Waandishi wake waliandika kwa kuongozwa na roho mtakatifu.
Umechanganya mambo, ili kuyajadili vizuri ngoja tuyachambuwe:

Maana ya biblia naijuwa na hilo neno limetokana na kigiriki au siyo?

Sasa nakuuliza, huyo "roho mtakatifu" alimuongoza mwandishi wa kitabu kama ni mkusanyiko wa vitabu vingi"?
 
Kuna Mahali nimesema Yesu Kristo anaijua Biblia? Mbona unapenda kujizezetesha bila ya sababu za Msingi?

Kwa ivo unataka kusema Ili Biblia iwe Biblia ni Lazima ndani mwake kuandikwe neno Biblia?? Acha kujichetua wewe Mzee!!

Safi sana, kwa hiyo tumekubaliana Yesu haijuwi biblia wala hajawahi kuiona.

Kwa hiyo hata biblia yenyewe haijijuwi, ina maa hilo jina kuna mtu alikipa hicho kitabu, ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom