Hosea ni kitu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hosea ni kitu gani
ukielewa nilichoandika sidhani kama utakuwa na hayo maswali tenaJibu maswali niliyouliza??
Aisee!!!ukielewa nilichoandika sidhani kama utakuwa na hayo maswali tena
Ndiyo tunataka kumjua/kwajua waliotunga hicho kitabu?Biblia & Quran ni vitabu vya hadithi vilivyotungwa
Kuna mtu analazimishwa kuamini Biblia??ili iwe rahisi kutawala watu, unawamezesha watu matango pori yakishawakolea unaanza kuwa command kama maroboti, unawaambia kabisa hamruhusiwi kuhoji hiki nachowafundisha na mkifikiri tifauti ni sawa na mmetenda dhambi mtaenda motoni, mazombi yanaitikia Sawa Shemasi/Sheikh
Soma histori ya utumwa na wamisionariNdiyo tunataka kumjua/kwajua waliotunga hicho kitabu?
Kuna mtu analazimishwa kuamini Biblia??
Qur'an si ni ya Muarabu?Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Yesu haijui Qur'an pia.Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.
Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia.
Umetuambia ni utamaduni wa watu wa Asia.Hapo hapo unamalizia kwa kuwahusisha wazungu na biblia!Kwa nini wazungu wasambaze tamaduni za Asia na waziache za kwao?Biblia haina tamaduni za kizungu hata moja.Kwa jinsi wazungu walivyo na nguvu za kueneza mambo yao,kweli walishindwa kutunga kitabu chenye mkusanyiko wa tamaduni zao wakisambaze duniani!!Biblia ni maandiko ya utamaduni na maisha ya watu hasahasa jamii ya waisraeli wa kale na nchi nyingi za mashariki ya kati.
Ndio maana kwenye Biblia hakuna Maisha ya waafrika watanzania, waafrika wakenya, waafrika waganda, waafrika wanyarwanda n.k
Maeneo mengi yaliyo tajwa kwenye Biblia ni maeneo ya Bara la Asia huko mashariki ya kati, Na baadhi ya maeneo machache ya Afrika yanayo pakana na nchi hizi, Na sehemu mbalimbali walizo tembelea wahusika wa kwenye Biblia,
kama palestina, Uturuki,Roma, na nchi nyinginezo
Waafrika pia walikuwa na vitabu vyao vya dini zao za kale na utamaduni wao
Lakini kupitia ujio wa wakoloni, Tamaduni nyingi na maandiko ya waafrika yalipotezwa.
Na waafrika waka anza kuaminishwa na kufundishwa dini(imani) na utamaduni wa wakoloni
(wazungu na waarabu) kupitia vitabu vyao hivyo (Biblia & Quran).
Inaonesha jinsi gani ulivyo na akili ndogo ya kuchanganua mambo.Unashindwa kuelewa mkusanyiko wa vitabu hivyo ndo unaitwa biblia!!Haya niambie;Mzungu ametunga kitabu gani katika vitabu vinavyounda biblia?(torati,zaburi,injili).Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Kwa hiyo ikitajwa idi basi unachanganyikiwa kabisa sio?Lugha ndo inakuchanganya wewe sio?Idi ni neno la kiarabu,linalomaanisha 'sikukuu'.Wazungu-holiday,waarabu-idi,waswahili-sikukuu.Na hiyo ni kwa sababu kiswahili ni mchanganyiko wa kibantu,kiarabu kwa sana na Lugha za ulaya kidogo.Hiyo idi unayoiona hapo Ina jina lake.Ni idi ya vibanda:yaani sikukuu ya vibanda.Sasa nyie mna sikukuu ya vibanda?Nyie mna sikukuu ya kuchinja,kufuturu,kuzaliwa mtume.Sasa ungetoa Aya inayotaja sikukuu hizo za kuchinja kufuturu,n.k mnazozisherehekea ndugu zetu wa mama mdogo.Hapo tungekuelewa.Nyie ni wapinga torati,hilo like wazi.Hosea 9:5
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya Bwana?
sasa we unaamini nini kati ya biblia na qur an? Tatizo wengi hawajui kuchambua maudhui ya biblia wanaishia kuona contradiction tuHata biblia nayo imesheheni contradiction nyingi tu.
Uwepo wa contradiction hizo zinaonyesha kabisa kuwa si kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
Warumi watunge biblia halafu waweke mambo ya Asia wayaache ya kwao!Si ungeona biblia imejaa ibada za sanamu na Misa za wafu humo?Ungeona amemtaja papa kama mungu na mtakatifu wa dunia?Ungeona jumapili ndiyo siku ya sabato,iliyotengwa rasmi kwa ajili ya ibada badala ya jumamosi?Ungeona nguruwe ni mnyama mtakatifu kwa kuliwa?Ungeona aya zinazowatambulisha Warumi kuwa ni taifa teule?Au tukubaliane kuwa wayahudi wanapendwa na dunia nzima kiasi kwamba hadi wametungiwa kitabu kinachowaelezea wao ni taifa teule.Hapa ni jamii forum.Home of great thinker.Hebu jaribu kuthink big ktk hiliBiblia ilitungwa na warumi ambao ndio waanzilishi wa kanisa baada ya kuiba maandiko ya hadithi za waafrika walioishi miaka mingi kabla ya uwepo wa dini yoyote hapa dunian wala uwepo wa jamii za watu weupe.
Biblia+Qur'an sio vitabu vitakatifu bali ni maandiko ya watu waliotunga kwa manufaa yao ya kucontroll akili za watu kwa kuwajaza uwoga na kuwaaminisha uongo.
Historia za waafrika ndizo zilicopiwa na kuunda uyahudi then uyahud ukacopiwa na kuunda ukatoric then ukristo(mgawanyiko wa makanisa) then ukaundwa uislam kutoka ktk nadharia za uongo za ukristo walitunga warumi wakishirikiana na waarabu kuunda uislam, then baadae hizi dini zikarudi tena Afrika kwa kutuaminisha ni dini takatifu kumbe uzushi mtupu na uongo mwingi.
Bible imepitia michakato mingi ya kuedit kama kwel Neno la Mungu linaeditiwa je laweza kuwa kwel?
Hata kama hao sio, ukweli ni kwamba Israeli ukristo hauna nafasi yoyote, wakristo wanaishi kama digidigi, hakuna sherehe yoyote inayotambulika, ndani Israeli wakristo ni asilimia mbili tu.Una uhakika hao ni Waisrael ?
Habari ya yesu sio utamaduni wa mzungu?Umetuambia ni utamaduni wa watu wa Asia.Hapo hapo unamalizia kwa kuwahusisha wazungu na biblia!Kwa nini wazungu wasambaze tamaduni za Asia na waziache za kwao?Biblia haina tamaduni za kizungu hata moja.Kwa jinsi wazungu walivyo na nguvu za kueneza mambo yao,kweli walishindwa kutunga kitabu chenye mkusanyiko wa tamaduni zao wakisambaze duniani!!
Kwanini unadhani naamini kati ya biblia na quran tu, si kitabu kingine?sasa we unaamini nini kati ya biblia na qur an? Tatizo wengi hawajui kuchambua maudhui ya biblia wanaishia kuona contradiction tu
Mimi umeniuliza swali lipi?Jibu maswali nilyoulliza kabla ya.kukosoa maudhui ya kitabu!
kabla ya kuendelea na mjadala hebu chukua biblia, naamini utapata ziko nyingi kwenye maduka ya vitabu. Nakushauri uchukue biblia ya The Holy Bible in Kiswahili, 1952 Union Version, usome kwanza dibaji halafu rudi na hoja yako. Nadhani utakuwa umepata mwanga kukujibu swali lako.Umechanganya mambo, ili kuyajadili vizuri ngoja tuyachambuwe:
Maana ya biblia naijuwa na hilo neno limetokana na kigiriki au siyo?
Sasa nakuuliza, huyo "roho mtakatifu" alimuongoza mwandishi wa kitabu kama ni mkusanyiko wa vitabu vingi"?
unatakiwa upigwe injili mpaka ulainike, una moyo mgumu usioamini, moyo wa jiwe badala ya moyo wa nyama. Tuseme we ni mpagani/kafiri/mshenzi usiyeamini neno la Mungu?Kwanini unadhani naamini kati ya biblia na quran tu, si kitabu kingine?
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa