Hatutaki porojo zako, weka ushahidi wa maandiko.
hakuna porojo hapa, Kula chuma hiko
Luka 4:16-21
[16]Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
And he came to Nazareth, where he had been brought up: and, as his custom was, he went into the synagogue on the sabbath day, and stood up for to read.
[17]Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,
And there was delivered unto him the book of the prophet Esaias. And when he had opened the book, he found the place where it was written,
[18]Roho wa Bwana yu juu yangu,
Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,
Na vipofu kupata kuona tena,
Kuwaacha huru waliosetwa,
The Spirit of the Lord is upon me, because he hath anointed me to preach the gospel to the poor; he hath sent me to heal the brokenhearted, to preach deliverance to the captives, and recovering of sight to the blind, to set at liberty them that are bruised,
[19]Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.
To preach the acceptable year of the Lord.
[20]Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.
And he closed the book, and he gave it again to the minister, and sat down. And the eyes of all them that were in the synagogue were fastened on him.
[21]Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
And he began to say unto them, This day is this scripture fulfilled in your ears.