Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ata kama ni kitabu cha kutunga lakini watunzi hawakutumia akili za kibinadamu hizi
Nyie ndio aina ya waumini kama wa Kibwetere aliowatia kibiriti na petroli na Mackenzie wa Kenya aliyewashindisha njaa waumini wake ili wafe wakakutane na Yesu kwasababu waliamini vibaka hao wanatumia akili za Mungu
Kuamini dini sio maana yake uache kutumia ufahamu na akili zako
Sasa hao walitumia akili zipi?