Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Ata kama ni kitabu cha kutunga lakini watunzi hawakutumia akili za kibinadamu hizi

Nyie ndio aina ya waumini kama wa Kibwetere aliowatia kibiriti na petroli na Mackenzie wa Kenya aliyewashindisha njaa waumini wake ili wafe wakakutane na Yesu kwasababu waliamini vibaka hao wanatumia akili za Mungu

Kuamini dini sio maana yake uache kutumia ufahamu na akili zako

Sasa hao walitumia akili zipi?
 
Tolea mfano wa hiyo mikinzano. Ngoja aje Mzee wa "Sabato njema" johnthebaptist achangie.
Kuna contradiction zenye kuonekana 193+

Ili tuelewane napenda ntupie moja moja ili kila contradiction ipatiwe majibu

1. Ahaziah alianza kutawala Jerusalem akiwa na miaka mingapi?

References :
(2 Wafalme 8:26)
(2 Mambo ya nyakati 22:2)
 
Kama sio Hadithi za kisadikika,kwani mtoto mdogo alizaliwa haji na bible kichwani mpaka afundishwe.
 
Kuna contradiction zenye kuonekana 193+

Ili tuelewane napenda ntupie moja moja ili kila contradiction ipatiwe majibu

1. Ahaziah alianza kutawala Jerusalem akiwa na miaka mingapi?

References :
(2 Wafalme 8:26)
(2 Mambo ya nyakati 22:2)
Hahahahaha,nimecheka baada ya kupitia hivyo vifungu
 
Kuna contradiction zenye kuonekana 193+
Kwanza kabla sijajibu hoja yako. Jee unaiamini Biblia??

Hiyo migongano imebadili kuwa Ahazia aliwahi kutawala Jerusalem??

Unataka kusema waliokusanya hizo taarifa hawakujua tofauti ya 22 na 40 Hadi wakaiacha Kama ilivyo?

Kama ni kutunga si ama wangeweka 22 au 40 kwa mfanano!!??

Kanuni ya kuhesabu miaka ya zama hizo inafanana na Sasa??
 
vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni

Zaburi kwa daudi
Torati kwa mussa
Injili kwa issa
Qur an muhammad

Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba
inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.
Moses did not exist. He is a fictional character
 
Nmekuuliza Ahazia alianza kutawala akiwa na miaka mingapi?

Simple question
 
Vilivyopishana
Zipo nyingi tu na ziko wazi,

lakini mtu anaanza kuniuliza kuwa eti ninadhani kwanini zimepishana badala yeye ndiyo anijibu.

Yote hayo anataka kutetea anachokiamini kuwa ni cha kweli wakati ni cha uongo.

Kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo inawezekana vipi kikawa na contradiction?

Hizo ni hadithi za watu tu walijitungia
 
Mwenye uzi asiporidhika na jibu hili afungwe jiwe atoswe baharin[emoji16]
 
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.

Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia.
Mbona Qur'an ni kama biblia tu iliyochangamka[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…