Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

BINAFSI NINAPO SANA BIBLIA KWA MAMBO MENGI MNO
.

HAPA NITAORODHESHA MACHACHE TU.
1. NGUVU YA JINA LA YESU.

2. DAMU YA YESU.

3. MIUJIZA YA ISLAEL NA WANA WA ISLAEL.

4. KAFARA YA DAMU, MNYAMA.

5. UNABII MKUBWA NA MZITO WA VITABU VYA KINABII.

6. KUTABILIWA TAREHE NA MWAKA WA KUJA YESU KRISTO.

7. KUTABIRIWA MWEZI TAREHE NA MWAKA WA KUANZISHWA TAIFA LA MAREKANI.

8. KUTABIRIWA TAREHE NA MWAKA WA KUANZISHWA DINI YA MOHAMED.

9. HEKALU LA SULEMAN KUJENGWA NAKUBOMOLEWA.

10.MSIKITI WA AL AKSA NA DOME OF ROCK KUBOMOLEWA.

11. KUTOKEA KWA MPINGA KRISTO.

12. KUTOKEA KWA MUWAKILISHI WA SHETANI DUNIANI MZEE WA SIKU.

13. UKWELI WOTE KWENYE KANISA LA ROMAN CATHOLIC.

14. MIUJIZA YA SADAKA ZANGU NA MAOMBI YA KUFUNGA.

MAMBO YAKO MENGI MNO

NAMUOGOPA SANA MUNGU
 
Kuna Mahali nimesema Yesu Kristo anaijua Biblia? Mbona unapenda kujizezetesha bila ya sababu za Msingi?

Kwa ivo unataka kusema Ili Biblia iwe Biblia ni Lazima ndani mwake kuandikwe neno Biblia?? Acha kujichetua wewe Mzee!!
Ni vyema umekiri nilichokiandika na haujakibishia hata kidogo.

Ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
BINAFSI NINAPO SANA BIBLIA KWA MAMBO MENGI MNO
.

HAPA NITAORODHESHA MACHACHE TU.
1. NGUVU YA JINA LA YESU.

2. DAMU YA YESU.

3. MIUJIZA YA ISLAEL NA WANA WA ISLAEL.

4. KAFARA YA DAMU, MNYAMA.

5. UNABII MKUBWA NA MZITO WA VITABU VYA KINABII.

6. KUTABILIWA TAREHE NA MWAKA WA KUJA YESU KRISTO.

7. KUTABIRIWA MWEZI TAREHE NA MWAKA WA KUANZISHWA TAIFA LA MAREKANI.

8. KUTABIRIWA TAREHE NA MWAKA WA KUANZISHWA DINI YA MOHAMED.

9. HEKALU LA SULEMAN KUJENGWA NAKUBOMOLEWA.

10.MSIKITI WA AL AKSA NA DOME OF ROCK KUBOMOLEWA.

11. KUTOKEA KWA MPINGA KRISTO.

12. KUTOKEA KWA MUWAKILISHI WA SHETANI DUNIANI MZEE WA SIKU.

13. UKWELI WOTE KWENYE KANISA LA ROMAN CATHOLIC.

14. MIUJIZA YA SADAKA ZANGU NA MAOMBI YA KUFUNGA.

MAMBO YAKO MENGI MNO

NAMUOGOPA SANA MUNGU

Kama unamuamini yupo ni lazima UTAMUOGOPA maana ametengenezwa kuonekana kama jitu fulani katili sana lenye nia ya kuhakikisha binadamu wote anatutia kibiriti kwenye moto wa milele kwasababu ya contradictions zake za makusudi kabisa
 
Neno Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu, vitabu hivi ni maandiko matakatifu kutoka kwa Mungu. Mungu katika vipindi tofauti tofauti alimpa mtakatifu wake(mara nyingi ni nabii) neno lake au wazo lake ili aliandike. Mfano vitabu kama Zaburi kwa sehemu kubwa imeandikwa na Daudi, Vitabu vya torati, kwa sehemu kubwa viliandikwa na Musa n.k.

Ieleweke vizuri kwamba ni Mungu alitumia wanadamu kuandika neno lake. Baadhi ya vitabu viko katika muundo wa historia, vingine mashairi, vingine mithali, vingine unabii/utabiri lakini lengo kubwa ni ili watu wamjue Mungu na hakuna mwanadamu/wanadamu ambao wanaweza kutunga Biblia maana yenyewe inajithibitisha.

Mfano kwenye kitabu cha nabii Isaya
Isaya 7:14
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.

Maandiko hayo yamemtabiri Masihi/Mwokozi kuzaliwa na Bikira. Isaya aliishi si chini ya miaka 600 kabla Yesu aliyezaliwa na Bikira kuja duniani. Hakuna mwanadamu angeweza kutunga kitu kama hicho na kikatimia. Unabii huo ulitimia kama ilivyoandikwa na Mtakatifu Mathayo

Mathayo 1:20 -23
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.

Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,

Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
 
Mkuu historia ya uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya Znz tu inaleta mkanganyiko ili hali bado waliokuwepo enzi hizo wapo lakini bado maandiko yaliopo yana utata wa uhalisia sembuse Hadithi za Bibilia ambazo zingine hata watunzi hawajulikani na zimesimuliwa miaka kwa miaka hata haijulikani

Nyingi ya Hadithi za Bibilia zilianza kwa mapokeo ya simulizi na sio maandishi, zilikuja kuwekwa kwenye maandishi baadae sana
Lakini pia hazikuwa sehemu moja wala kwenye taifa moja wala kwenye lugha moja na hazikuandikwa zama moja

Ukristo na Bibilia tunao ujua leo ni matokeo ya utawala wa kirumi kuufanya kuwa ndio dini kuu
Walichofanya wanazuoni wa kirumi ni kukusanya hadithi na maandiko yote walioweza kuyapata wakachambua na kuyaweka kwenye kitabu kimoja yaani Bibilia
Hakuna anayejua walitumia mechanism gani kuchagua vitabu vipi viingie na vipi vichomwe moto
Hakuna anayejua usahihi wa Hadithi hizo
Hakuna anayejua kipi kilitolewa na kipi kiliongezwa na kipi kilibadilishwa ku feet matakwa ya utawala wa kirumi....... No body knows

Na ndio maana leo hii tuna Bibilia tofauti sababu wapo walio oona baadhi ya Hadithi hazina hadhi ya kuwa kwenye Bibilia

Kwa muktadha huo kuyaita ni maneno matakatifu ya Mungu ni UBATILI
 
Kwa hiyo tunaposomewa vifungu vya aya tunakuwa na BIBLIA ngapi?inajipigania yenyewe wala sio kama hicho cha allah kinacholindwa na wanadamu.
 
Mkuu historia ya uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya Znz tu inaleta mkanganyiko ili hali bado waliokuwepo enzi hizo wapo lakini bado maandiko yaliopo yana utata wa uhalisia sembuse Hadithi za Bibilia ambazo zingine hata watunzi hawajulikani na zimesimuliwa miaka kwa miaka hata haijulikani

Nyingi ya Hadithi za Bibilia zilianza kwa mapokeo ya simulizi na sio maandishi, zilikuja kuwekwa kwenye maandishi baadae sana
Lakini pia hazikuwa sehemu moja wala kwenye taifa moja wala kwenye lugha moja na hazikuandikwa zama moja

Ukristo na Bibilia tunao ujua leo ni matokeo ya utawala wa kirumi kuufanya kuwa ndio dini kuu
Walichofanya wanazuoni wa kirumi ni kukusanya hadithi na maandiko yote walioweza kuyapata wakachambua na kuyaweka kwenye kitabu kimoja yaani Bibilia
Hakuna anayejua walitumia mechanism gani kuchagua vitabu vipi viingie na vipi vichomwe moto
Hakuna anayejua usahihi wa Hadithi hizo
Hakuna anayejua kipi kilitolewa na kipi kiliongezwa na kipi kilibadilishwa ku feet matakwa ya utawala wa kirumi....... No body knows

Na ndio maana leo hii tuna Bibilia tofauti sababu wapo walio oona baadhi ya Hadithi hazina hadhi ya kuwa kwenye Bibilia

Kwa muktadha huo kuyaita ni maneno matakatifu ya Mungu ni UBATILI
Waisraeli walipotoka utumwani Misri walitoka na ujuzi wa vitu vingi ikiwemo na uandishi kwa sababu Misri wakati huo ilikuwa ni dola yenye maendeleo katika nyanja nyingi kupita mataifa yote duniani. Waisraeli walikuwa wakirithishana maneno ya Mungu kwa kusimuliana lakini pia yaliandikwa.

Mfano Kumbukumbu la Torati 6:4-9
"Sikiza, Ee Israeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.

Nawe mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.

Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako;

nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.

Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.

Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako."

Kwa hiyo walikuwa wakisimuliana lakini pia yalikuwa yakiandikwa, na sehemu nyingi tu za Biblia zinaonesha kuwa yaliandikwa kwenye vitabu pamoja na kwamba wao walirithishana jumbe za Mungu kwa masimulizi maana uwezo wa kunakili maandishi yote kwa ajili ya taifa zima hawakuwa nao.

Mfano mwingine Yoshua 1:8
"Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."

Sasa kama kipindi cha Yoshua tayari kulikuwa na kitabu maana yake uwezo wa kuandika vitabu nyakati zilizofuatia baada ya Yoshua tayari ulikuwepo.

Kusema ukristo wa leo ni matokeo ya utawala wa Rumi, uko sahihi kwa asilimia kadhaa lakini umegeneralize mno na umetoa conclusion ambayo si sahihi. Warumi walikuwa na dini zao na miungu yao kwa miaka mingi kabla ya kuufanya ukristo uwe dini ya serikali kwa maslahi yao. Wakristo wengi wa kwanza waliuawa na utawala wa kirumi na hata Yohana mwanafunzi wa Yesu ambaye ameandika kitabu cha Injili ya Yohana na kitabu cha mwisho cha Biblia (Ufunuo) aliteswa sana na warumi japo alikufa a natural death na hata Yesu alisulubishwa kwa mamlaka ya kirumi sasa unapotoa conclusion bila kuweka uchambuzi vizuri inakuwa si sahihi na unapotosha wasiojua.

Biblia sio hadithi tu, ni maandiko matakatifu ya Mungu unless wewe useme unataka maandiko matakatifu ya Mungu yawe vipi, uweke vigezo vyako
 
Mkuu Hadithi za Bibilia zimeanza “mwanzo wa dunia” na sio enzi za utumwani Misri.

Kabla ya Yesu kuzaliwa na kufa hakukuwa na dini inayoitwa UKRISTO wala hapakua na mjumuisho wa vitabu unaoitwa Bibilia.... kulikua na dini ya UYAHUDI iliyo wahusu Wayahudu tu na kwa kiasi kikubwa ulikua based na vitabu/simulizi za Agano la Kale

Yesu mwenyewe hakuandika kitabu chochote na Inasadikika Agano Jipya kuhusu Yesu zimeandikwa miaka kuanzia 40 baada ya Yesu huyo kufariki

Paulo na wenzake kwa kiasi kikubwa ndio walianzisha harakati za kumfanya Yesu hakuja kwaajili ya Wayahudi tu bali kwa watu wote...... Hapa ndipo UKRISTO ulipozaliwa

Warumi walipo ukubali na kuufanya Ukristo kama dini rasmi ya dola walikumbana na shida ya reference za kutumia kama mafundisho ya kidini kwasababu simulizi/maandishi yalikua shagalabagala
Yalikua sehemu tofauti, lugha tofauti na yaliandikwa na watu tufauti.
Wanazuoni wakapewa kazi ya kukusanya maandiko na simulizi zote kuanzia za Kiyahudi(Agano la Kale) na hadithi za Yesu(Agano Jipya)

Vitabu na simulizi nyingi sana zilikusanywa na jopo likakaa kuchambua maandishi/simulizi gani ziingie kwenye kitabu kimoja na ndio ziwe reference za mafundisho ya Ukristo

Kwa sehemu kubwa mkusanyiko huo walioupitisha Warumi ndio umekua msingi wa Bibilia tunazozijua leo hii, hata hivyo kuna aina tofauti zaidi ya 1000 za Bibilia dunia nzima

Ilikua sio rahisi kujua kila kitabu/simulizi imeandikwa na nani, ukweli wake, muda wa kuandikwa nk
Ni jopo la wanazuoni ndio wanajua walitumia mechanism gani kuchagua haya ndio “maneno matakatifu ya Mungu”

Kwa muktadha wa namna Bibilia ilivyokusanywa inakosa sifa ya kuwa “maandiko matakatifu ya Mungu
 
Mkuu Hadithi za Bibilia zimeanza “mwanzo wa dunia” na sio enzi za utumwani Misri.
Ni kweli zimeanza na mwanzo wa uumbaji wote lakini nimekwambia skills za uandishi walizipata walipotoka Misri, historia huanza ndipo uandishi hufuata, matukio hayatokei na kuandikwa papo kwa papo. Hata hivyo kutoka kitabu cha Mwanzo mpaka walipotoka Misri ni tofauti ya kitabu kimoja tu, kwa hiyo kama hutaki kuamini kitabu kilichoandikwa na kina Musa kwa sababu hawakuwepo wakati wa matukio husika maana yake kwa hoja yako basi zingatia vitabu vyote vilivyobakia ukitoa Mwanzo kwa sababu vitabu vinavyofuatia skills za uandishi zilikuwa tayari.
Yesu mwenyewe hakuandika kitabu chochote na Inasadikika Agano Jipya kuhusu Yesu zimeandikwa miaka kuanzia 40 baada ya Yesu huyo kufariki
Ndio Yesu hakuandika kitabu lakini wafuasi wake ndio waliandika, Biblia inasema Yesu mwenyewe ni Neno la Mungu kwa hiyo lilikuwa ni jukumu la wafuasi wake kumsikiliza kwa makini na kuja kuandika walichokisikia kutoka kwake. Jukumu la kukumbuka walichosikia, hilo Yesu aliwaambia Roho Mtakatifu atawakumbusha

Yohana 14:26
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Paulo na wenzake kwa kiasi kikubwa ndio walianzisha harakati za kumfanya Yesu hakuja kwaajili ya Wayahudi tu bali kwa watu wote...... Hapa ndipo UKRISTO ulipozaliwa
Ndio ni kweli na walikuwa sahihi kwa sababu kwa maneno ya Yesu mwenyewe ni kwamba alikuja kwa ajili ya ulimwengu wote kwa hiyo walifanya vizuri.

Yohana 3:16
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Ilikua sio rahisi kujua kila kitabu/simulizi imeandikwa na nani, ukweli wake, muda wa kuandikwa nk
Sio kweli. Hata wakati wa Yesu vitabu vilijulikana kuwa hiki ni chuo cha Isaya, hiki ni Yeremia na hiki ni fulani kulingana na nabii ambaye ametumiwa na Mungu.

Mfano Luka 4:18
"Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,"

Labda ninachoweza kukubaliana na wewe ni kazi ya compilation ya vitabu hiyo ilifanywa na wakristo katika kipindi cha warumi (sio warumi per se bali wakristo ambao walikuwa chini ya Rumi)

Lakini vitabu vyenyewe na content yenyewe (amri za Mungu, maneno ya Mungu, maarifa ya Mungu, historia ya namna Mungu alivyotembea na watu wake) imetoka kwa Mungu na wanadamu walishirikishwa kuandika na kutunza kumbukumbu. Mungu habadiliki na mawazo yake ni yaleyale kwa hiyo hata kama vitabu vyake vimeandikwa in a span of 1000 years bado vina makusudi yaleyale throughout.

Sasa kama hiyo haitoshi kuamini kwamba ni neno la Mungu, utakuwa ni mtazamo wako na umetumia kihalali kuamini unachotaka
 
Ni kweli zimeanza na mwanzo wa uumbaji wote lakini nimekwambia skills za uandishi walizipata walipotoka Misri, historia huanza ndipo uandishi hufuata, matukio hayatokei na kuandikwa papo kwa papo. Hata hivyo kutoka kitabu cha Mwanzo mpaka walipotoka Misri ni tofauti ya kitabu kimoja tu, kwa hiyo kama hutaki kuamini kitabu kilichoandikwa na kina Musa kwa sababu hawakuwepo wakati wa matukio husika maana yake kwa hoja yako basi zingatia vitabu vyote vilivyobakia ukitoa Mwanzo kwa sababu vitabu vinavyofuatia skills za uandishi zilikuwa tayari.

Ndio Yesu hakuandika kitabu lakini wafuasi wake ndio waliandika, Biblia inasema Yesu mwenyewe ni Neno la Mungu kwa hiyo lilikuwa ni jukumu la wafuasi wake kumsikiliza kwa makini na kuja kuandika walichokisikia kutoka kwake. Jukumu la kukumbuka walichosikia, hilo Yesu aliwaambia Roho Mtakatifu atawakumbusha

Yohana 14:26
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.

Ndio ni kweli na walikuwa sahihi kwa sababu kwa maneno ya Yesu mwenyewe ni kwamba alikuja kwa ajili ya ulimwengu wote kwa hiyo walifanya vizuri.

Yohana 3:16
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

Sio kweli. Hata wakati wa Yesu vitabu vilijulikana kuwa hiki ni chuo cha Isaya, hiki ni Yeremia na hiki ni fulani kulingana na nabii ambaye ametumiwa na Mungu.

Mfano Luka 4:18
"Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,"

Labda ninachoweza kukubaliana na wewe ni kazi ya compilation ya vitabu hiyo ilifanywa na wakristo katika kipindi cha warumi (sio warumi per se bali wakristo ambao walikuwa chini ya Rumi)

Lakini vitabu vyenyewe na content yenyewe (amri za Mungu, maneno ya Mungu, maarifa ya Mungu, historia ya namna Mungu alivyotembea na watu wake) imetoka kwa Mungu na wanadamu walishirikishwa kuandika na kutunza kumbukumbu. Mungu habadiliki na mawazo yake ni yaleyale kwa hiyo hata kama vitabu vyake vimeandikwa in a span of 1000 years bado vina makusudi yaleyale throughout.

Sasa kama hiyo haitoshi kuamini kwamba ni neno la Mungu, utakuwa ni mtazamo wako na umetumia kihalali kuamini unachotaka

Mkuu unaamini kitabu cha Tobit, Wisdom, Maccabees, Sirach na Judith kama ni maneno matakatifu ya Mungu?
 
vitabu vya mungu na mitume waliopewa vitabu hivyo ni

Zaburi kwa daudi
Torati kwa mussa
Injili kwa issa
Qur an muhammad

Mnaposema biblia nacho ni kitabu cha muumba
inabidi pia mseme mtume aliepewa kitabu hicho ni mtume gani.

Hiyo ni kwa muujibu wa iamani yako ya kiislamu na jonsi ulivyoaminishwa. Wengine hatuko huko!
 
Waisraeli walipotoka utumwani Misri walitoka na ujuzi wa vitu vingi ikiwemo na uandishi kwa sababu Misri wakati huo ilikuwa ni dola yenye maendeleo katika nyanja nyingi kupita mataifa yote duniani. Waisraeli walikuwa wakirithishana maneno ya Mungu kwa kusimuliana lakini pia yaliandikwa.

Mfano Kumbukumbu la Torati 6:4-9
"Sikiza, Ee Israeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.

Nawe mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.

Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako;

nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.

Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.

Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako."

Kwa hiyo walikuwa wakisimuliana lakini pia yalikuwa yakiandikwa, na sehemu nyingi tu za Biblia zinaonesha kuwa yaliandikwa kwenye vitabu pamoja na kwamba wao walirithishana jumbe za Mungu kwa masimulizi maana uwezo wa kunakili maandishi yote kwa ajili ya taifa zima hawakuwa nao.

Mfano mwingine Yoshua 1:8
"Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."

Sasa kama kipindi cha Yoshua tayari kulikuwa na kitabu maana yake uwezo wa kuandika vitabu nyakati zilizofuatia baada ya Yoshua tayari ulikuwepo.

Kusema ukristo wa leo ni matokeo ya utawala wa Rumi, uko sahihi kwa asilimia kadhaa lakini umegeneralize mno na umetoa conclusion ambayo si sahihi. Warumi walikuwa na dini zao na miungu yao kwa miaka mingi kabla ya kuufanya ukristo uwe dini ya serikali kwa maslahi yao. Wakristo wengi wa kwanza waliuawa na utawala wa kirumi na hata Yohana mwanafunzi wa Yesu ambaye ameandika kitabu cha Injili ya Yohana na kitabu cha mwisho cha Biblia (Ufunuo) aliteswa sana na warumi japo alikufa a natural death na hata Yesu alisulubishwa kwa mamlaka ya kirumi sasa unapotoa conclusion bila kuweka uchambuzi vizuri inakuwa si sahihi na unapotosha wasiojua.

Biblia sio hadithi tu, ni maandiko matakatifu ya Mungu unless wewe useme unataka maandiko matakatifu ya Mungu yawe vipi, uweke vigezo vyako
Una ushahidi Gani wa Haya maandiko wakati wewe mwenyewe hukuwepo wakati wanaandika,
 
Kwa hiyo kwako kigezo cha authenticity ya maandiko ni kwamba uwepo au ushuhudie wakati kinaandikwa? Una umri gani na je vitabu vilivyoandikwa kabla hujazaliwa huvisomi au huwezi kuviamini?
 
Hapana siamini, japo naweza kusoma na kuikubali historia iliyomo ndani yake kwa ajili ya kuongeza maarifa. Sichukulii kama ni vitabu vyenye stori za kutunga

Kwanini huviamini kama ni maneno matakatifu ya Mungu kama vitabu kama Mathayo Luka kutoka nk wakati walio “tengeneza” Bibilia waliviweka kama maneno ya Mungu?
 
Mkusanyiko wa vitabu au siyo?

Nani aliviita "biblia" kwa mara ya kwanza? Kwanini isiwe babcheka?
Acha Umalaya Nakudharau Imani Za Wenzako.
Hayo Majini Unayofuga Yasikupe Kiburi.
Niwashenzi kama ulivyo mshenzi.
 
Kilichokukera nini? Ukweli?

Itetee biblia, kunishambulia mimi binafsi hakukusaidii kitu.
 
Kwa hiyo kwako kigezo cha authenticity ya maandiko ni kwamba uwepo au ushuhudie wakati kinaandikwa? Una umri gani na je vitabu vilivyoandikwa kabla hujazaliwa huvisomi au huwezi kuviamini?

Siviamini coz vina contradiction, makosa kibao, uongo mwingi, upotoshaji wakushangaza,

Vitabu vilivyo andikwa na mungu haviwezi kuwa na mapungufu Haya👆.

Hivi vitabu vimeandikwa na watu waliokuwa na uwezo wa elimu ya psychology
 
Kwa hiyo kwako kigezo cha authenticity ya maandiko ni kwamba uwepo au ushuhudie wakati kinaandikwa? Una umri gani na je vitabu vilivyoandikwa kabla hujazaliwa huvisomi au huwezi kuviamini?
Wewe Una ushahidi wowote kwamba mungu aliwatuma watu ,mitume , wanafunzi wa yesu waandike Bible?
 
Kwanini huviamini kama ni maneno matakatifu ya Mungu kama vitabu kama Mathayo Luka kutoka nk wakati walio “tengeneza” Bibilia waliviweka kama maneno ya Mungu?
Mkuu niliona swali lako mapema lakini nilikuwa safarini kwa hiyo sikuweza kutulia kukujibu. Kwa kusema walio tengeneza Biblia sina uhakika kama nimekuelewa vile unavyomaanisha lakini pia sina tatizo na mtu anayeamini vitabu ulivyovitaja kwa sababu haviwezi kuharibu mambo ya msingi ya Imani.
 
Back
Top Bottom