Kama binadamu kuzaa kwa uchungu ni adhabu vipi kuhusu ng'ombe, mbuzi, nguruwe na wanyama wengine wanaozaa kwa uchungu?

Kama binadamu kuzaa kwa uchungu ni adhabu vipi kuhusu ng'ombe, mbuzi, nguruwe na wanyama wengine wanaozaa kwa uchungu?

Wanyama wanafyatua watoto kirahisi, tulipokuwa watoto wadogo tuliona wanakunya watoto. Mkao wa binadamu anapotoa mtoto ni shughuli pevu mtu anaweza kunya kinyesi wakati wa kujikakamua mtoto atoke kwenye njia ya uzazi, ile tunaiita mbunye, mbususu a.k.a K. Kwa binadamu ni uchungu, kwa wanyama ni kama kunya tu!
Umeropoka kama mlevi wa pombe chafu
 
Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu

Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden

Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani?
Tunaona dhahiri wanyama jamii ya mamalia karibu wote wanazaa kwa uchungu kama binadamu.

Mfano Simba, fisi, chui, mbwa, mbwea, ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe, farasi na ngamia.
Hivi vitabu vyetu vimeacha maswali mengi sana yanayo hitaji majibu ili tuviamini pasi na shaka.

Mtazamo wangu:
Naamini Mungu yupo na binadamu ameumbwa na Mungu.

Naamini dini na vitabu vyake kuna mengi ya kutunga kwa lengo la kuwatisha binadamu au kuwapa faraja au kuhamasisha.

Hakuna pepo wala motoni sijui jehanamu.

Naamini matendo ya uongo, wizi, uuwaji, tamaa mbaya ni dhambi kwa mutabdha wa maadili na kuwafanya watu waishi vizuri bila misukosuko.

Uasherati na uzinzi dhambi sababu ya kuepusha migogoro ya familia na maradhi yaambukizayo kwa ngono.

Kiufupi dhambi ni chochote kibaya kwa maisha ya binadamu au ustawi wa jamii na siyo sababu Mungu amekataza. Mungu ametuumba ametuacha huru kwa kila jambo.

The choice is ours.

Nasisitiza hayo juu ni IMANI YANGU TU. Siyo yaliyo thibitika pasi na shaka kisayansi au kidini au kifalsafa.
Karibuni tujadili.
Fix tuu
 
Kwanza mtoa mada toa neno vitabu vyote vitakatifu sema biblia inasema hivyo

Kwenye uislamu hakuna dhambi ya asili au adhabu ya asili period
 
Kwanza mtoa mada toa neno vitabu vyote vitakatifu sema biblia inasema hivyo

Kwenye uislamu hakuna dhambi ya asili au adhabu ya asili period
Ukichoandika ni kweli ila tayari ni chachu ya mabishano ya kidini, hivyo tegemea matusi kejeli na vijembe vya kutosha
 
Back
Top Bottom