The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Tukifika mbinguni kutakua na alot of surprises kwa Kila mtu.
Ukute hata bia sio Zambi, Tunajichosha tu
Ukute hata bia sio Zambi, Tunajichosha tu
Shujaa wenu tambeni naeSamson shujaa wa mapenzi.
itoe Quran katika hilo.Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu
Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden
Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani?
Tunaona dhahiri wanyama jamii ya mamalia karibu wote wanazaa kwa uchungu kama binadamu.
Mfano Simba, fisi, chui, mbwa, mbwea, ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe, farasi na ngamia.
Hivi vitabu vyetu vimeacha maswali mengi sana yanayo hitaji majibu ili tuviamini pasi na shaka.
Mtazamo wangu:
Naamini Mungu yupo na binadamu ameumbwa na Mungu.
Naamini dini na vitabu vyake kuna mengi ya kutunga kwa lengo la kuwatisha binadamu au kuwapa faraja au kuhamasisha.
Hakuna pepo wala motoni sijui jehanamu.
Naamini matendo ya uongo, wizi, uuwaji, tamaa mbaya ni dhambi kwa mutabdha wa maadili na kuwafanya watu waishi vizuri bila misukosuko.
Uasherati na uzinzi dhambi sababu ya kuepusha migogoro ya familia na maradhi yaambukizayo kwa ngono.
Kiufupi dhambi ni chochote kibaya kwa maisha ya binadamu au ustawi wa jamii na siyo sababu Mungu amekataza. Mungu ametuumba ametuacha huru kwa kila jambo.
The choice is ours.
Nasisitiza hayo juu ni IMANI YANGU TU. Siyo yaliyo thibitika pasi na shaka kisayansi au kidini au kifalsafa.
Karibuni tujadili.
Hili swala la kutegemea matusi ni upuuzi sana,kwanini tusijadiliane kama watu wazima wenye akili timamu na waelewa wa mambo,haya mtu akishatukana ndio kajibu hoja au anazidi kuwa mpuuziUkichoandika ni kweli ila tayari ni chachu ya mabishano ya kidini, hivyo tegemea matusi kejeli na vijembe vya kutosha
Haya mambo ya kiimani yametengenezwa zaidi kihisia kuliko kiakili , shambulio la matusi ni kulenga zaidi hisia zako , ili mtu ajipatie zaidi ushindi wa kihisia zaidi kuliko kiakili...Hili swala la kutegemea matusi ni upuuzi sana,kwanini tusijadiliane kama watu wazima wenye akili timamu na waelewa wa mambo,haya mtu akishatukana ndio kajibu hoja au anazidi kuwa mpuuzi
Ningekuwa staff wa jf,ningetoa ushauri kwa kila anay
Binadamu anahitaji kupendwa, kuthaminiwa, FARAJA na MATUMAINI!!Mimi naona watu wangekua makini zaidi na maisha bila dini
Faraja, kuthaminiwa na matumaini havitoki kwenye dini, vinatoka kwenye mahusiano ya binadamu, maana anayojipa mtu mwenyewe, na uwezo wa jamii kujali. Dini ni njia mojawapo tu, si chanzo pekee.Binadamu anahitaji kupendwa, kuthaminiwa, FARAJA na MATUMAINI!!
Niambie namna gani huyu mtu anapata faraja na matumaini bila imani na dini!!
Ndio maana hii mijadala ya kidini sio ya kila mtu,hapa unatakiwa uweke hisia pembeni kisha uhalisia uchukie nafasi yake,ni wachache huliweza hiliHaya mambo ya kiimani yametengenezwa zaidi kihisia kuliko kiakili , shambulio la matusi ni kulenga zaidi hisia zako , ili mtu ajipatie zaidi ushindi wa kihisia zaidi kuliko kiakili...
Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu
Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden
Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani?
Tunaona dhahiri wanyama jamii ya mamalia karibu wote wanazaa kwa uchungu kama binadamu.
Mfano Simba, fisi, chui, mbwa, mbwea, ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe, farasi na ngamia.
Hivi vitabu vyetu vimeacha maswali mengi sana yanayo hitaji majibu ili tuviamini pasi na shaka.
Mtazamo wangu:
Naamini Mungu yupo na binadamu ameumbwa na Mungu.
Naamini dini na vitabu vyake kuna mengi ya kutunga kwa lengo la kuwatisha binadamu au kuwapa faraja au kuhamasisha.
Hakuna pepo wala motoni sijui jehanamu.
Naamini matendo ya uongo, wizi, uuwaji, tamaa mbaya ni dhambi kwa mutabdha wa maadili na kuwafanya watu waishi vizuri bila misukosuko.
Uasherati na uzinzi dhambi sababu ya kuepusha migogoro ya familia na maradhi yaambukizayo kwa ngono.
Kiufupi dhambi ni chochote kibaya kwa maisha ya binadamu au ustawi wa jamii na siyo sababu Mungu amekataza. Mungu ametuumba ametuacha huru kwa kila jambo.
The choice is ours.
Nasisitiza hayo juu ni IMANI YANGU TU. Siyo yaliyo thibitika pasi na shaka kisayansi au kidini au kifalsafa.
Karibuni tujadili.
“Kisha Adamu akapokea maneno kutoka kwa Mola wake, naye akamkubalia toba yake.”
(Qurani 2:37)
“Hakika tumemuumba binadamu katika taabu.”
(Qurani 90:4)
“Hakuna kulazimisha katika dini.”
(Qurani 2:256)
Sasa mzee baba..Mungu s anatusisitiza kusamehe sasa Mbona kashindwa kuwasamehe viumbe vyakeitoe Quran katika hilo.
Quran haikusema kuwa Mungu amempa adhabu mwanamke kuwa atazaa kwa uchungu.
Quran haikusema kuwa mwanaume kapewa adhabu ya kula kwa jasho
Nanukuu Quran sura ya 7:11-25
"Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu.
Mwenyezi Mungu akasema (kumwambia Iblis): Nini kilicho kuzuia kumsujudia (Adam) nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.
(Mungu) Akasema: Basi teremka kutoka humo! Haikufalii kufanya kiburi humo. Basi toka! Hakika wewe (Iblis) u miongoni mwa walio duni.
(Iblis) Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa.
(Mungu) Akasema: Utakuwa miongoni mwa walio pewa muhula (umri mrefu).
(Iblis) Akasema: Kwa kuwa (Mungu) umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
Kisha nitawazukia mbele yao na nyuma yao na kuliani kwao na kushotoni kwao. Wala hutawakuta wengi wao wenye shukrani.
(Mungu) Akasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote.
Na wewe, Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani hii, na kuleni humo mpendapo. Wala msiukaribie mti huu, mkawa katika wale walio dhulumu.
Basi Shet'ani (iblis) aliwatia wasiwasi ili kuwafichulia tupu zao walizo fichiwa, na akasema: Mola Mlezi wenu hakukukatazeni mti huu ila msije mkawa Malaika, au msije mkawa katika wanao ishi milele.
Naye (Iblis) akawaapia (Adam na mkewe) : Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini.
Basi (Iblis) akawateka (Adam na mkewe) kwa khadaa. Walipo uonja ule mti, tupu zao zilifichuka na wakaingia kujibandika majani ya Bustanini. Mola wao Mlezi akawaita: Je, sikukukatazeni mti huo, na kukwambieni ya kwamba Shet'ani ni adui yenu wa dhaahiri?
(Adam na mkewe) Wakasema: Mola wetu Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika.
Akasema: Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye ardhi itakuwa ndio makao yenu na starehe yenu mpaka ufike muda.
Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa."
Dini zimejengwa kiimani zaidi na sio kiushahidi wa moja kwa moja , hivyo ni rahisi kugusa hisia zaidiNdio maana hii mijadala ya kidini sio ya kila mtu,hapa unatakiwa uweke hisia pembeni kisha uhalisia uchukie nafasi yake,ni wachache huliweza hili
Naomba nikuulize! Wanyama jike wana bikira?Wana theologia wanachenga sana hili swali wakidai ni lugha ya ki theologia zaidi, hivi vitabu vina ujanja mwingi wakutoroka maswali magumu.
Kabla ya kujibu unaweza nieleza bikra ni nini kwanza?Naomba nikuulize! Wanyama jike wana bikira?
Siku ya Qiyama viumbe vyote vitafufuliwa..Wanyama watalipiziana visasi wenyewe kwa wenyewe kisha watahukumiwa wawe Mchanga.Na binadamu akifa anaenda mbinguni.. Wanyama wengine wakifa wanakua wamekufa
Bora sisi tuliishia kula tunda, nasikia fisi aliichoma kabsa bustani ya Eden.Tena fisi inasemekana anazaa kwa uchungu kupita binadamu
Umejuaje?Tena fisi inasemekana anazaa kwa uchungu kupita binadamu
Wewe umejuaje kwamba wanyama hao wanazaa kwa uchungu!?Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu
Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden
Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani?
Tunaona dhahiri wanyama jamii ya mamalia karibu wote wanazaa kwa uchungu kama binadamu.
Mfano Simba, fisi, chui, mbwa, mbwea, ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe, farasi na ngamia.
Hivi vitabu vyetu vimeacha maswali mengi sana yanayo hitaji majibu ili tuviamini pasi na shaka.
Mtazamo wangu:
Naamini Mungu yupo na binadamu ameumbwa na Mungu.
Naamini dini na vitabu vyake kuna mengi ya kutunga kwa lengo la kuwatisha binadamu au kuwapa faraja au kuhamasisha.
Hakuna pepo wala motoni sijui jehanamu.
Naamini matendo ya uongo, wizi, uuwaji, tamaa mbaya ni dhambi kwa mutabdha wa maadili na kuwafanya watu waishi vizuri bila misukosuko.
Uasherati na uzinzi dhambi sababu ya kuepusha migogoro ya familia na maradhi yaambukizayo kwa ngono.
Kiufupi dhambi ni chochote kibaya kwa maisha ya binadamu au ustawi wa jamii na siyo sababu Mungu amekataza. Mungu ametuumba ametuacha huru kwa kila jambo.
The choice is ours.
Nasisitiza hayo juu ni IMANI YANGU TU. Siyo yaliyo thibitika pasi na shaka kisayansi au kidini au kifalsafa.
Karibuni tujadili.
Tafiti zilifanyika ( field studies) kwa nini watoto wa fisi na fisi hufa kwa wingi wakati wa kuzaaUmejuaje?