HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Sasa ndiyo anauliza kwanini nyie wenye akili mkubali kuongozwa na bi mwenda na genge lake asiye na akili?jibu hoja bwana!!Kwani hujui Bi Mwenda ni kilaza aliyepata division 0 form four?
Hapo yupo kwa support ya genge la wahuni walioviteka vyombo hivyo na kusimika makada katika nafasi za juu.
Kwanini sasa wenye akili mkubali ccm wajinga wasupportiwe na hivyo vyombo vya dola wakati nyie wenye akili mpo tu mnaangalia tangu 1960s?jibu hoja acha ufara bwana!!Unaweza ukawa kilaza ukasapotiwa na hivyo vyombo.?
Jibu hoja yake bwana lTAL alisema tutakinukisha, hatukumueewa...Mapinduzi yataanza na CCM ndaa kwa ndaa..!
Kwanini wajinga wajiunganishe na vyombo vya dola halafu nyie mwenye akili mnakubali tu tangu 1960s?acha ufara bwana!!Ccm ipo kwasababu imejiungamanisha na vyombo vya dora.Ni ngumu kutenganisha ccm na vyombo vya doraWote wanafanya kazi kwa maslahi ya ccm.Wanakula kiapo kuilinda serikali ambayo ni ccm kwenye koti la serikali.Bila hivyo ccm wangekuwa wahenga.
Hilo limewezekena kwakuwa hao wajinga wamezaa na kutengeneza wajinga wengi na kwa wingi wao huo basi wanaendelea kututawala sisi wachache.Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
🤣🤣🤣Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua. Mafala wenzio huko huko.
Wanakuambia usishindane na wajinga wakiwa wengi kwani wanakuwaga na uwezo wa hajabu kupindukia.Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Kwanini mkubali kushindwa basi acheni kuwadanganya watu kuwa mtawatia wajinga ccm madarakani walio wengi,huo ni utapeli!!Hilo limewezekena kwakuwa hao wajinga wamezaa na kutengeneza wajinga wengi na kwa wingi wao huo basi wanaendelea kututawala sisi wachache.
Unashangaa wajinga wakiwa madarakani mkuu? Wajinga wana mambo ya kushangaza mno wakiwa na madaraka, usiwadharau hata kidogo.Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Ukiona MTU anakutawala ujue anakuzidi AkiliUnashangaa wajinga wakiwa madarakani mkuu? Wajinga wana mambo ya kushangaza mno wakiwa na madaraka, usiwadharau hata kidogo.
Si kweli, mwenye akili hatumii mabavu kutawalaUkiona MTU anakutawala ujue anakuzidi Akili
Kama ungekuwa na akili ungeshampokonya madaraka.Si kweli, mwenye akili hatumii mabavu kutawala
Nishaona kuwa akili yako inamiss some links, kwa heri✋🏾✋🏾, nishakuambia kuwa CCM inatumia mabavu kutuendesha bado tu unataka kubishana.Kama ungekuwa na akili ungeshampokonya madaraka.
Mabavu yapi jenga hoja mbona nchi nyingine zimefanikiwa kuondoa chama tawala.Nishaona kuwa akili yako inamiss some links, kwa heri✋🏾✋🏾, nishakuambia kuwa CCM inatumia mabavu kutuendesha bado tu unataka kubishana.
"Wajinga" nao wanakuwaga na akili....!Unashangaa wajinga wakiwa madarakani mkuu? Wajinga wana mambo ya kushangaza mno wakiwa na madaraka, usiwadharau hata kidogo.
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu TaifaUtawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60s?
Docile mentality, mkubwa hakosei! Ukihoji sana unaonekana mtukutu na hufai.Jibu swali kwanini nyie wenye akili mtawaliwe nawajinga kama ccm tangu 1960s acha ubabaishaji hapa
Usipuuze nguvu ya wajinga wakiwa katika kundi.Unashangaa wajinga wakiwa madarakani mkuu? Wajinga wana mambo ya kushangaza mno wakiwa na madaraka, usiwadharau hata kidogo.