Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

Na wewe je, ni miongoni mwa walio wake? If so, shuhudia kidogo basi: uliokoka lini, maisha yako yakoje sasa. Umeona baraka gani tangu uokoke...
niliokoka ile siku kristo alipojitoa kwaajili yetu, maisha yangu ya amani ya moyo hata nipitie magumu moyoni nina amani najua huu wa kuharibika nitauacha nitauvaa usioharibika, baraka ni nyingi sana ni tele ni kedekede
 
Mkuu, chatGPT wanajihusisha na Nini hasa, mwanzo walikuwa hawaamini uwepo wa Mungu?
Wanajibu kila kitu, na hata ukiuliza kuhusu dini zingine atakujibu kama yeye ni Buddhist au hata jews au Islam
Kila mahali yumo hata kwa upinde yumo, biashara yumo, na hata ukimuuliza ufugaji atakujibu kama ana ng'ombe
 
Wanaokimbia kusikia Injili huko mitaani, wanakutana nayo wakitumia chatGPT
 
we unaelewa ChatGPT inavofanyakazi?
"ChatGPT inafanya kazi kwa kutumia akili bandia (AI) inayotegemea teknolojia ya ujifunzaji wa kina (deep learning). Hivi ndivyo inavyofanya kazi kwa kifupi:

1. Mafunzo kwa kutumia data nyingi sana:
ChatGPT ilifundishwa kwa kusoma maandishi mengi kutoka vitabu, tovuti, mazungumzo, na vyanzo vingine ili kuelewa jinsi watu wanavyotumia lugha.

2. Inatambua mifumo ya lugha:
Haifahamu maana moja kwa moja kama binadamu, bali hutumia mifumo ya kihisabati kutambua maneno gani huenda pamoja na yanavyotumika katika muktadha.

3. Huunda majibu kwa kutabiri maneno:
Inapotumiwa, mfano mtu akiandika swali, ChatGPT hutabiri kwa usahihi maneno yanayofuata ili kutoa jibu linaloeleweka na linalofaa.

4. Haihifadhi mazungumzo ya mtu binafsi:
Kikao kinapomalizika, ChatGPT haina kumbukumbu ya mazungumzo yako – haina uwezo wa kukumbuka mambo yako ya awali isipokuwa katika mazungumzo hayo ya sasa.

Kwa kifupi, ChatGPT si mtu halisi, bali ni programu ya kompyuta inayojibu maswali au kuandika kama binadamu kwa kutumia lugha ya kawaida."
 
Naam,inazingatia sana mantiki na muktadha katika kujibu.
 
Duh, sasa hivi hakuna tena swali gumu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…