uujn
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 666
- 851
Mkuu humu zaidi wapo upande wa Mond kwasababu ya mahaba waliyonayo juu yke hivyo hawaangalii uzito wa hili jambo...! Huwezi kutoa msaada nje wakati kwako kunateketea..kuhusu kuumwa huyo mzee keshaumwa mara nyingi na hatujawahi kuona akipewa uzito si na Mond wala Mwajuma...! Akifa watamuweka kwenye kurasa zao Instagram na kwingineko wakijutia maamuzi yao (,japo kiunafki)...Dunia tunapita yatupasa kutengeneza mema na kuyaishi kuliko visasi.Hata Kama mondi,alipitia matatizo gani,Kwanza ugomvi wa wazazi wewe mtoto haukuhusu,pia.imetokea mzee almasi kamaliza akaunti yake ya maisha katika sayari hi,nasibu ataenda au haendi mazikoni? Au akiwa anaumwa nasibu atatoa msaada au hatotoa?
Inashangaza wengine humu ni wanaume na tumekaa na tunawajua vizuri wanawake,Bado tunamuunga mkono mondi kwa anachofanya.