Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Hilo dikteta lilitaka tuliabudu....lilitaka liwe ndio MUNGU
 

Hayo ndio malipo ya udhalimu. Usidhani walikuwa wanamsifu kweli bali walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Yule alikuwa kiongozi muovu fullstop.
 
Nimeamini kweli kutesa kwa zamu! Ni pigo kwenu ambalo hamtasahau wazee wa legacy. Tulieni tu hakuna namna nyingine, na huo ndio ukweriii!!!
 
Mhutu wewe, una dalili zote.
 
Wewe na nani? Usinijumuishe tafadhari Nina mengi maovu ya kumsema
 
Vipi yule aliye uza nyumba za watumishi? Ndiyo leo hii mnamwita shujaa wa Afrika?
Duh! Hatari kweli kweli ! Mimi siku zote husimama katika ukweli kama kuna vitu MTU yeyote amevifanya sawasawa nitamsifu na kama kuna vitu ameboronga pia nitasema kwamba hiyo sio sahihi kabisa kabisa, ndio maana mpaka hivi sasa mimi ninachukiwa na watu wa awamu ya Rais Kikwete kutokana na ukosoaji wangu pale nilipoona mambo hayaendi sawa !! JPM kuna vitu alivifanya sawa lakini pia vipo alivyoboronga huo ndio ukweli !!
 

Mhu 9:5​

Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…