Kumbukumbu moja tu ya Hayati JKN inatosha ! Hatutaki tena kumbukumbu zingine ! Na hiyo ni kwa sababu ilishakubalika kwamba yeye ndiye BABA WA TAIFA !!Mhu 9:5
Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Na hata hivyo Mama kakuta mambo yoote yamewekwa sawa na mifereji ya pesa ikiwa imenyooka. Hana cha kujisifia. Hata wanaompamba wanafahamu. Ukitaka kufanikiwa kumsifia Mama ni lazima uanze na JPM kwanza vinginevyo unachekesha. No maendeo tunayoyaona sasa bila JPM kuyaanzisha na kuyakusanyia pesa. Mama kakuta kila kitu.Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.
Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.
Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.
Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Amani ipi hiyo??Mwacheni marehemu apumzike kwa amani.
Tushirikiane na mama kulijenga Taifa.
Ulinganisho haujengi na haisaidii kw sababu hakuna binadamu wanafanana kila kitu hata wakiwa pacha
Nakuuliza magufuli alikuwa nani ? Mimi simjuiMtu kama wewe tu
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.
Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.
Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.
Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Alikuwa ni mtu kama wewe au wewe siyo mtu?Nakuuliza magufuli alikuwa nani ? Mimi simjui
Wacha waisome nambaKifo cha Magufuli ni fursa kwa samia ,Nape, Riziwani, makamba Jr . Ni kilio kwa Bashiru, sabaya, kalemani, wananchi wa chato, manyanga construction company limited , Job Ndingai, Kabudi, Lukuvi
Historia ya JPM ilifungwa March 17, 2021 au hata kabla ya hapo. Life goes on. Sasa hivi tunashughulika na walio hai. PeriodTunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege kasuku wamekaa kimya wakati tunamaliza mwaka mmoja tangu tuomboleze kwa uchungu kifo cha shujaa wetu.
Wakati tunakaribia mwaka tangu umetutoka sisi tunaomboleza huku tukiona baadhi ya vijana wako wakisumbuliwa kutokana na kazi yao nzuri kupambana na fisadi na mabwana wa madawa ya kulevya magendo na dhulma dhidi ya wananchi wanyonge.
Hiyo tarehe 17 March siku uliyotutoka sisi tutakuomboleza hatumsikii yeyote hata wakimsifu kwa vinubi ikiwa hapendi jina lako litajwe.
Mungu akulaze mahali pema daima John Pombe Magufuli.
Utake usitake, upende usinde JPM will remain best ever president we have had in our country and Africa in general.Hata mcheza zumari kama wewe ni shujaaa
Umerogwa wewe siyo bure otherwise wewe ni kundi moja na kina SabayaUtake usitake, upende usinde JPM will remain best ever president we have had in our country and Africa in general.
Ukishaona mtu anashambulia mtu badala ya hoja ujue kafirisika kifikira. Na sina namna ya kukusaidia nakuacha na ujuha wako uhangaike nao. JPM was and still best of best head of state ever.Umerogwa wewe siyo bure otherwise wewe ni kundi moja na kina Sabaya
Ushamba bado unawasumbua kitufe kipo umetoka kunya na ng'ombe wenu zizini ndio maana huwezi kutumia JF.Mods tulishaomba kitufe cha dislike.
Tuweekeeni
Best nyumbani kwenu BurigiUkishaona mtu anashambulia mtu badala ya hoja ujue kafirisika kifikira. Na sina namna ya kukusaidia nakuacha na ujuha wako uhangaike nao. JPM was and still best of best head of state ever.
Huko ndio kunaitwa kuwashwa washwaTunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.