Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Magufuli hakufa tarehe 17.

Magufuli alikufa wiki moja kabla ya tarehe 17.

COVID-19 ikishaingia kwenye mapafu inakaba pale pale, unashindwa kupumua na hivyo kukata Moto muda huo huo.
Na wewe utakufa unafikiri utaishi milele
 
Kwa sababu watanzania ni kizazi cha wezi na wavivu.

Wasiopenda kuishi kwa jasho lao.

Wanaoishi kwa unafiki na husda, tegemea matusi mengi kwenye mtandao huu ambao wengi wao ni kizazi cha short cuts au michongo.

Ila wenye kukuelewa tumekuelewa vizuri sana.

JPM ataendelea kuwa shujaa na Mzalendo wa kweli kuwahi kutokea katika nchi hii.

Usishangae kuona nchi kadhaa za nje zikimuenzi kuliko hapa kwetu.

Huku kwetu wanasuguana mabega kugombea ulaji usiku na mchana.

Ila waelewe tunaelekea 2025....na wale watu waliokuwa wakilia mabarabarani bado wako hai na hamasa yao iko palepale.

Kwa sasa wacha Putin atufundishe adabu wapenda bakuli.
 
Kwanini tusikumbuke ya Mkapa kwanza, ina maana Magufuli ana historia kubwa ya kutukuka nchi hii zaidi ya Mkapa? Sukuma Gang acheni ujinga!
 

Kifo cha Magufuli ni fursa kwa samia ,Nape, Riziwani, makamba Jr . Ni kilio kwa Bashiru, sabaya, kalemani, wananchi wa chato, manyanga construction company limited , Job Ndingai, Kabudi, Lukuvi​

Umewasahau Pole pole, Kingwangallah, Musiba, Kitilla Mkumbo, Mwigulu , Mpango, Jenista Mhagama!
 
Magufuli hakufa tarehe 17.

Magufuli alikufa wiki moja kabla ya tarehe 17.

COVID-19 ikishaingia kwenye mapafu inakaba pale pale, unashindwa kupumua na hivyo kukata Moto muda huo huo.
Nani anakudanganya alikufa kwa covid?
 
Akili kisoda,,,, huyo mungu unayemshukuru ndiye aliyemuumba huyo unayemuita dubwasha
Pia akakuumba na ww sasa sijuwi tukuite dubwasha? Kuwa na akili na isitoshe mungu ndiye aliyemchukua huyo mtu unayemuita dubwasha. Kati ya ww na yeye unadhani ni nani alikuwa na muhimu mkubwa tukianzia kwa mtu m1 Hadi jamii nzima? Acha kukufuru
 
Ni aheri huyu mtu alikufa, ubaguzi na unyama wa Serikali yake havitasahaulika.
 
Sukuma gang bado mna majonzi ya kuondokewa na mwenyekiti wenu
 
Tuache kidogo tutawakumbuka wangapi sasa mkumbuke peke yako Kama unaumia sana acha tufanye kazi
 
Tuache kidogo tutawakumbuka wangapi sasa mkumbuke peke yako Kama unaumia sana acha tufanye kazi
Aliyeanzisha muungano?
 
Sukuma gaaaaang.
Kalifufueni dubwasha lenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…