Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

Nawewe kunywa sumu ukamfuate huko aliko
 
Wewe, Bashite na wenzako mkiomboleza inatosha sana.
Mkapa mwenyewe alofanya mageuzi makubwa nchini hajaanza kufanyiwa hivyo kitaifa. Mtademka sana na jina la yule kibaka wenu!
 
Hata wewe UTAKUFA.

Unafikiri wewe na ukoo wenu MTAISHI milele.
Mimi nalijua hilo ndio maana siwaombei wala kuzungumzia mabaya kwa waliotangulia kama wewe na chuki zako.kama vile wewe ni mwema sana na utaishi milele dunia tunapita punguza chuki kwa marehemu.
 
Magufuli hakufa tarehe 17.

Magufuli alikufa wiki moja kabla ya tarehe 17.

COVID-19 ikishaingia kwenye mapafu inakaba pale pale, unashindwa kupumua na hivyo kukata Moto muda huo huo.
Magufuli hakufa kwa korona kijana.Hata physician wake anajua hili.
 
Mimi nalijua hilo ndio maana siwaombei wala kuzungumzia mabaya kwa waliotangulia kama wewe na chuki zako.kama vile wewe ni mwema sana na utaishi milele dunia tunapita punguza chuki kwa marehemu.
Basi huyo MAGU WAKO HAKUJUA NA NDIO MAANA ALIKUWA ANAUA WATU OVYO OVYO huku wewe 8unashangilia.

Kifo ni kwa kila mtu.
 
Huyo dikteta wako hastahili hata kuandikwa katika orodha ya viongozi walio ongoza nchi hii!
Ukiacha kumuandika mwanao utamwambia SGR umejenga wewe na stigrass gouge, na makao Dom ulihamisha wewe, Magu ni mwamba wenye chuki tafuteni kazi nyingine.
 
Basi huyo MAGU WAKO HAKUJUA NA NDIO MAANA ALIKUWA ANAUA WATU OVYO OVYO huku wewe 8unashangilia.

Kifo ni kwa kila mtu.
Hakujua wakati Mara kwa Mara aliomba tumwombee, acheni chuki zenuu.
 
Alisema tutamkumbuka. End. Haya maneno haya yatalitesa taifa na watawala usiku na mchana maana ndicho kitakachotokea. Trust me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…