Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

wakat najitafuta nilikuwa nashinda mpaka njaa nakula jion au mchana tu,, kwa sasa nashukuru Mungu nina hatua kubwa sana kwenye maisha,, siwezi jinyima nile mlo mmoja,, hapan hata minne nakula maana nimeteseka sana.. kiufupi wiki haiishi sijala kuku mara mbili au tatu
 
Aaaah kumbee?! Sikuwahi jua hili kabla.

Hii inatokana metabolism

Lengo la kula ni kuupa mwili space (Nafasi) .

Kwahiyo ukila chakula kingi Ila hauna Kazi za kukifanya hicho chakula kitumike ndo utazalisha kitambi ,kisukari n.k

Mfano ukienda kijijini ukimtafuta MTU ana miaka 50 kimuenekano anafanana na mwenye miaka 70

Hii inatokana na kula chakula kingi ambacho unafanya mwili ufanye Kazi ya kumengenya chakula muda wote na kukupelekea kupata ore-mature aging.
 
Ahsante kwa hili somo, barikiwa. 🙏🙏
 
Ukifanya kazi nyepesi mwili unademand glucose chache sasa wewe ukila mara tatu kwa siku hasa wanga unadeposit glucose nyingi mwisho wa siku insulin inazidiwa.

Mtoa mada yupo sahihi.
Ni sawa lkn mbona tukienda hospitali tunaambiwa tule kwa wakati huo mlo mmoja tule wakati gani?
 
Back
Top Bottom