Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Ukikosa hela usile ukiwa na hela usile walimwengu bhan pesa yangu unipangie kula
Tizi muhim sanaKupakia,pakia tuu mradi una Hamu!,tizi Muhimu.
Ukikosa hela usile ukiwa na hela usile walimwengu bhan pesa yangu unipangie kula
Uenda unasumbuliwa na stress mkuu,hapo wajidhulu mwenyewe!!wakat najitafuta nilikuwa nashinda mpaka njaa nakula jion au mchana tu,, kwa sasa nashukuru Mungu nina hatua kubwa sana kwenye maisha,, siwezi jinyima nile mlo mmoja,, hapan hata minne nakula maana nimeteseka sana.. kiufupi wiki haiishi sijala kuku mara mbili au tatu
Sitak kuharakishwakwanini
haha! utakawia sana dada haya tafuta wa taratibu dunia sahivi ipo digital we bado unaranda manual..Sitak kuharakishwa