Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

wakat najitafuta nilikuwa nashinda mpaka njaa nakula jion au mchana tu,, kwa sasa nashukuru Mungu nina hatua kubwa sana kwenye maisha,, siwezi jinyima nile mlo mmoja,, hapan hata minne nakula maana nimeteseka sana.. kiufupi wiki haiishi sijala kuku mara mbili au tatu
🤣🤣🤣 bado unajinyima sana piga vyuku kila sikuuuu.. kufa kupo pale paleeeee
 
Nashukuru nimeweza, asubuhi na mchana nakula vizuri, usiku ni either juice, tunda au chai tu! Imekuwa msaada sana kwangu, uzito umeshuka kiasi chake lakini pia nalala vizuri.
 
Mimi Nile hata mara nne sinenepi,

Kipindi sina nimekula maandazi nalala sasa nipate Nile mara moja hapana kwakweli ponda Mali kufa kwaja, ufe ukiwa mzito
 
Back
Top Bottom