Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
SahihiHuwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini
Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure .
Ukila mchana usiku usile
Usiku unakula matunda au bytes unalala sio unahangaika na ugaliHuwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini
Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure .
Ukila mchana usiku usile
Ushauri mzuri sana ,mimi sikumbuki mara ya mwisho kula mara tatu kwa siku ,asubuhi heavy na jioni kawaida basi.Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini
Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure .
Ukila mchana usiku usile
Madhara ya kula Sana Unawahi kuzeekaWapiga deeshi hii ni nzuri kwao, sisi wa pakia pakia hatuwezi kamwee.
Aaaah kumbee?! Sikuwahi jua hili kabla.Madhara ya kula Sana Unawahi kuzeeka
Chakula kipo katika space .
Lengo la kula sio kushiba Ila kuutengenezea mwili space
Natafuta pesa sabab ya tumbo langu siwez nunua range Rover na laki moja yangu
Aaaah kumbee?! Sikuwahi jua hili kabla.
Ahsante kwa hili somo, barikiwa. 🙏🙏Hii inatokana metabolism
Lengo la kula ni kuupa mwili space (Nafasi) .
Kwahiyo ukila chakula kingi Ila hauna Kazi za kukifanya hicho chakula kitumike ndo utazalisha kitambi ,kisukari n.k
Mfano ukienda kijijini ukimtafuta MTU ana miaka 50 kimuenekano anafanana na mwenye miaka 70
Hii inatokana na kula chakula kingi ambacho unafanya mwili ufanye Kazi ya kumengenya chakula muda wote na kukupelekea kupata ore-mature aging.
Ukifanya kazi nyepesi mwili unademand glucose chache sasa wewe ukila mara tatu kwa siku hasa wanga unadeposit glucose nyingi mwisho wa siku insulin inazidiwa.Sababu za kula mlo mmoja ni zipi hasa??
Ni sawa lkn mbona tukienda hospitali tunaambiwa tule kwa wakati huo mlo mmoja tule wakati gani?Ukifanya kazi nyepesi mwili unademand glucose chache sasa wewe ukila mara tatu kwa siku hasa wanga unadeposit glucose nyingi mwisho wa siku insulin inazidiwa.
Mtoa mada yupo sahihi.
Fatilia wataalamu wa lisheNi sawa lkn mbona tukienda hospitali tunaambiwa tule kwa wakati huo mlo mmoja tule wakati gani?