Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

🤣🤣🤣 bado unajinyima sana piga vyuku kila sikuuuu.. kufa kupo pale paleeeee
 
Nashukuru nimeweza, asubuhi na mchana nakula vizuri, usiku ni either juice, tunda au chai tu! Imekuwa msaada sana kwangu, uzito umeshuka kiasi chake lakini pia nalala vizuri.
 
Mimi Nile hata mara nne sinenepi,

Kipindi sina nimekula maandazi nalala sasa nipate Nile mara moja hapana kwakweli ponda Mali kufa kwaja, ufe ukiwa mzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…