Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

Ukikosa hela usile ukiwa na hela usile walimwengu bhan pesa yangu unipangie kula
 
Sijui ni nani alituambia mlo ni mara tatu kwa siku na ukila ushibe ndii!!
Binadamu wengi wapo huru kufanya mambo yao ila ajabu hawayafanyi kwa uhuru.

Huu uzi Yoda auone maana alishasema haya mambo pia.
 
Wanaume tukumbuke kuna kuishughulikie ile kitu ukiwa na njaa utasaidiwa
 
Huwezi kumkuta mtu hasa wa vijijini anafanya kazi nzito say kulima na anakula chakula cha wanga kwa sana ana kisukali, sijui kitambi. Uongo huo. Visukali vyenu na vitambi vyenu vimeanzia mijini ambako watu wana kazi nyepesi na wanabugia wanga daily. Kwa hio ushuri wenu et watu wasile wanga muwawashauri watu wa huko mijini kwenu. Sisi huku polini kazi yetu kulima, kuchana mbao, kuvunja mawe na kazi nyinginezo nzito nzito. Unataka tushindie mayai ya kuchemsha kweli?
 
Uenda unasumbuliwa na stress mkuu,hapo wajidhulu mwenyewe!!
 
Naomba tuwekane wazi,najua humu tuna wataalamu hata wa lishe,hivi aleje chakula katika siku?,kama anafanya kazi ngumu ale namna gani?,na je kazi ngumu ni zipi?na je mazoezi yapi na ya namna gani mtu atakiwa kufanya kwa siku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…