Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

Amefeli kwani Kuna MTIHAN Gani umempa kaufanya na matokeo yamekuja kuwa ni failed candidate??

Unajitia uchizi usio na sababu,Samia ni president na kama hakufurahishi wewe vumilia hadi muda wake uishe,huyo huyo Pombe aliekawa anakufurahisha Kwa wengine alikuwa chukizo vile vile, relax watu waongoze nchi.
 
Kwanza atueleze maana ya unyonge ni nini??

Asituletee sentesi ngumu ngumu hapa
 
Ma Supervisor wake ndiyo hao akawahonga vyeo. Mmoja akampa U-Katibu Mkuu wa moja ya Wizara nyeti na mwingine akampa u-Mwenyekiti wa Bodi.

Kama hujui nitakujuza kwa nini PhD ya Magufuli ni FEKI ili ufunge domo lako. Iko hivi;
Magufuli aliandika Thesis baada ya kukopi kwa Dr Y J Philip wa Netherlands. Lile chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"

Msimamizi aliyemsimamia Dr Phillip ni huyo huyo aliyemsimamia Magufuli. Tayari Dr Phillip alikwisha chapisha kwenye peer review journals. Magufuli hajawahi kuchapisha popote na hata sasa hivi ukienda UDSM kwenye maktaba utake kuazima hilo chapisho huwezi kupata
 
Mkuu kwa nini tukuamini wewe uliyemuamini mtu ambaye anatuhumiwa kuwa na cheti feki cha PhD kilichopatikana kwa udanganyifu?

Ukitaka tukuamini kuwa wewe sio muongo tuongoze through truthfully mchakato mzima hadi yeye Mwendazake kupata hiyo PhD!

Mkuu mtoto anaye patikana nje ya utaratibu wa ndoa huitwa mwanaharamu!
 
Mjane wa Marehemu unateseka sn mwenyewe mpk unatia huruma.

Ni hv usitulazimishe kulipenda jitu katili kama lile shetani lenu la Chattle.

Sasa hv ht kiwango cha furaha kimeongezeka. Hutani rudi kwenu!
 
CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
Mimi siyo CDM bali ni CCM ila nakuomba uende Kibaha Sekondari uangalie matokeo ya Form IV mwaka 1978, utakutana na Div I ya Freeman Mbowe.

Kisha nenda Ihungo Secondari angalia matokeo ya Form VI mwaka 1981 utakutana na Div II.

Siyo mnakaa kuropoka tu kudhani JPM alikuwa mtu wa maana na kudharau watu msiowajua
 
Una chuki binafsi na JK wewe.
Atakutesa sn mana anaendelea kupeta tu yy na kizazi chake
 
Kwa nn alimuua Ben sa8?
 
Mkuu shukran zikufikie kwa kuweka a little bit of fact mwenye hili jambo. Nilisema jana hawa jamaa wa sukuma gang ni kuwa jibu kwa facts tu kwa kwenda mbele mpaka akili ziwarudi, maana ni raia wema waliovurugwa akili na uongo wa Mwendazake!
 
Nasubiri labda ipo siku atajibu
 
Umeamka na njaa na stress? Ungeamka na shem mkali,ukaoga saafii,kisha ukapata supu nzito na chapati usingekumbuka wendazao asubuhi asubuhi hivi!! Tafuta ela dogo kulala nanjaa utajakabwa na majinamizi,ukimbizwe na mizuka mpaka ukome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani!!
 
Kwa nn alimuua Ben sa8?
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…