Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefeli kwani Kuna MTIHAN Gani umempa kaufanya na matokeo yamekuja kuwa ni failed candidate??Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi.
Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni.
Mbona hayati Magufuli alipinga haya?
Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma.
Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli?
Mama amefeli
Kwanza atueleze maana ya unyonge ni nini??Mkuu wanyonge ndio kina nani??
Ndio hawa wakulima ambao wamepata ruzuku ya mbolea na kuruhusiwa kuuza mazao watakao kwa bei iwalipayo?
Wanyonge ndio kina nani? Ndio hawa wanafunzi wa chuo ambao mikopo imeongezeka na kinyongeo cha retention kuondolewa?
Wanyonge ndio kina nani??
Ndio wafanyakazi ambao madaraja yao yamepanda na mishahara kuongezeka kwa jinsi mbali mbali?
Mkuu kila siku unaimba na kulazimisha kuita watu wanyonge, wamekutuma lini uwaite wanyonge? Tuambie vizuri wanyonge ndio kina nani??
Nakuuliza tena wanyonge ndio kina nani?
🙏Kwanza atueleze maana ya unyonge ni nini??
Asituletee sentesi ngumu ngumu hapa
Mimi namkumbuka Magufuli mliozoea ufisadi,uwizi,uvivu,rushwa,uonevu hamuwezi kumkumbukaNani ansmkibuka yule bwege
Ma Supervisor wake ndiyo hao akawahonga vyeo. Mmoja akampa U-Katibu Mkuu wa moja ya Wizara nyeti na mwingine akampa u-Mwenyekiti wa Bodi.Nani alikwambia kuwa JPM alikuwa, na PhD fake??? Huo ni uongo. Tatizo mnawasikiliza watu wapumbavu na waongo na nyie mnaamin ujinga. Ukisema, PhD fake maana yake alinunua hiyo PhD kama wakina Dialo. Kitu ambacho sio kweli. Alidefend seminar zote na akapita.Ninawajua masurpervisor wake wote. Sasa PhD fake kivip?Watanzania wengi mnaongozwa na uongo. Mnapenda kusikia uongo wa, CDM. CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
Mkuu kwa nini tukuamini wewe uliyemuamini mtu ambaye anatuhumiwa kuwa na cheti feki cha PhD kilichopatikana kwa udanganyifu?Nani alikwambia kuwa JPM alikuwa, na PhD fake??? Huo ni uongo. Tatizo mnawasikiliza watu wapumbavu na waongo na nyie mnaamin ujinga. Ukisema, PhD fake maana yake alinunua hiyo PhD kama wakina Dialo. Kitu ambacho sio kweli. Alidefend seminar zote na akapita.Ninawajua masurpervisor wake wote. Sasa PhD fake kivip?Watanzania wengi mnaongozwa na uongo. Mnapenda kusikia uongo wa, CDM. CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
Mjane wa Marehemu unateseka sn mwenyewe mpk unatia huruma.Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi.
Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni.
Mbona hayati Magufuli alipinga haya?
Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma.
Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli?
Mama amefeli
Wewe ndo pumbavu unayelilia maiti ilooza mpk leoWewe ni mpumbavu
Watulazimisha kulikumbuka shetani lenu!!?Pumbavu
Mimi siyo CDM bali ni CCM ila nakuomba uende Kibaha Sekondari uangalie matokeo ya Form IV mwaka 1978, utakutana na Div I ya Freeman Mbowe.CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
Una chuki binafsi na JK wewe.Sio kweli, huo ni uongo!! Mbona Kikwete hakuwa bora kuliko JPM. JPM was the best president in Tanzania. Utake usitake. Unune usinune. Kikwete was, the worst
Acha chuki za uongo. JPM alikuwa, mbaya kwa, wenye vyeti fake, CDM kwa kuwa walikosa hata ubunge ambao ndio urais wao,Mafisadi wakubwa etc
Kwa nn alimuua Ben sa8?Nani alikwambia kuwa JPM alikuwa, na PhD fake??? Huo ni uongo. Tatizo mnawasikiliza watu wapumbavu na waongo na nyie mnaamin ujinga. Ukisema, PhD fake maana yake alinunua hiyo PhD kama wakina Dialo. Kitu ambacho sio kweli. Alidefend seminar zote na akapita.Ninawajua masurpervisor wake wote. Sasa PhD fake kivip?Watanzania wengi mnaongozwa na uongo. Mnapenda kusikia uongo wa, CDM. CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
Mkuu shukran zikufikie kwa kuweka a little bit of fact mwenye hili jambo. Nilisema jana hawa jamaa wa sukuma gang ni kuwa jibu kwa facts tu kwa kwenda mbele mpaka akili ziwarudi, maana ni raia wema waliovurugwa akili na uongo wa Mwendazake!Ma Supervisor wake ndiyo hao akawahonga vyeo. Mmoja akampa U-Katibu Mkuu wa moja ya Wizara nyeti na mwingine akampa u-Mwenyekiti wa Bodi.
Kama hujui nitakujuza kwa nini PhD ya Magufuli ni FEKI ili ufunge domo lako. Iko hivi;
Magufuli aliandika Thesis baada ya kukopi kwa Dr Y J Philip wa Netherlands. Lile chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
Msimamizi aliyemsimamia Dr Phillip ni huyo huyo aliyemsimamia Magufuli. Tayari Dr Phillip alikwisha chapisha kwenye peer review journals. Magufuli hajawahi kuchapisha popote na hata sasa hivi ukienda UDSM kwenye maktaba utake kuazima hilo chapisho huwezi kupata
Nasubiri labda ipo siku atajibuMkuu wanyonge ndio kina nani??
Ndio hawa wakulima ambao wamepata ruzuku ya mbolea na kuruhusiwa kuuza mazao yao watakavyo kwa bei iwalipayo?
Wanyonge ndio kina nani? Ndio hawa wanafunzi wa chuo ambao mikopo imeongezeka na kinyongeo cha retention kuondolewa?
Wanyonge ndio kina nani??
Ndio hawa wafanyakazi ambao madaraja yao yamepanda na mishahara Yao kuongezeka kwa jinsi mbali mbali?
Wanyonge ndio kina nani?? Makundi ni mengi yakuorodhesha yaliyopata nafuu na kuanza kuimarika kiuchumi baada ya Mwendazake, mpendwa wako JPM! Licha ya hayo, wanyonge ndio kina nani?
Mkuu kila siku unaimba na kulazimisha kuita watu wanyonge, wamekutuma lini uwaite wanyonge? Tuambie vizuri wanyonge ndio kina nani??
Nakuuliza tena wanyonge ndio kina nani?
Ushauri bora kabisaUnajua ni rahisi Sana wewe kumfuata JPM kuliko yeye kurudi? Unajua hicho kitu?
Kwanini usimfate tu ili uwe na amani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamka na njaa na stress? Ungeamka na shem mkali,ukaoga saafii,kisha ukapata supu nzito na chapati usingekumbuka wendazao asubuhi asubuhi hivi!! Tafuta ela dogo kulala nanjaa utajakabwa na majinamizi,ukimbizwe na mizuka mpaka ukome
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.Kwa nn alimuua Ben sa8?