Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

Mkuu ingekuwa vyema kujitofautisha naye kwa kuthibitisha uongo wake kwa kuonyesha vivid facts jinsi ambavyo Mwendazake hakuhusika kwenye kifo au upotevu wa Ndugu Ben saanane!

Otherwise nawe ni wale wale!
Vivid facts zinadhibitishwa mahakamani, sio pengine.CDM wengi wanaishi kwa hisia tu.
 
Yaan ww ndio haujui kabisa na upo nje ya field. Yaan unajichanganya hujui chochote kabisa. Kama ungekuwa upo kwenye field za academic, ungenijibu kwa hoja nilizokupa ambazo ni academic tupu. Lakin unaongea, vitu simple, simple .Unajenga hoja dhaifu, isiyokuwa na msingi tena unasema kuwa kwenye prospectus, wanasema kuwa kama upo kazin unatakiwa usome miaka mitano.Na unauliza kwamba kwann JPM alisoma miaka mitatu. Sasa hii pia inaonyesha kuwa huna uelewa kabisa wa interpretation za vipengele husika. Interpretation zipo wazi kuwa ukiwa kazini unatakiwa umalize miaka mitano or within. Kwa hiyo hata ukimaliza miaka mitatu it's okay. Sasa hicho Kipenge kidogo tu kinakushinda kutafasiri. Nimeshituka kwamba, napoteza muda wangu kumbe naongea na mtu asiyejua chochote kuhusu academic affairs. Naongea na layman.
Wewe ndiyo unanipotezea muda. Magufuli mwenyewe anajuwa kuwa alikopi material ya Dr Y Phillip wa Netherlands na ndiyo maana alishindwa kumjibu Ben Saanane. Unahangaika kukaza fuvu kujifanya uko very academic.

Kama PhD ya Magufuli ingekuwa halali basi ange PROVE mwenyewe akiwa bado yuko hai kwa jinsi ile ile ambayo alikuwa wa kwanza kuhakiki Bastola wakati RC wa Dar Makonda aliposema wananchi wote wa Dar wakahakiki silaha. Kwa vile alikosa ushahidi ndipo akaamua kumteka na kumuua Ben Saanane
 
Yaan

Yaan ww ni layman kabisa unaongea upuuz. Siku hiz hatuingii kwenye mastaba, tumewaachia layman kama nyie.Tunaingia kwenye library za mtandao tunaona kila kitu.Nimeingia kwenye google scholar nimeandika tu magufuli PhD, and I love lake lote limekuja. Sasa ww unawashwa washwa huko kimara , unanitaka niende kwenye library, wakati hizo library ni za layman kama ww. Nimeingia tu repository nikapata kila kitu. Sitajibu na sitaongea na ww tena kwa kuwa nimegundua, naongea na mtu wa hali ya chini Sana.
Kwa hiyo laymen siyo binadamu?
 
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.
Unatumia nguvu nyingi sana kumtetea Magufuli kwa vitendo vyake vya ukatili. Kwani wewe ni Mtanzania wa namna gani ambaye huamini kuwa Magufuli alimuua Ben Saanane? Unataka ushahidi gani?
 
Neno unyonge ni uduanzi mtupu. Utamwaminishaje raia aliyeko kwenye nchi yake huru kuwa mnyonge? Wakoloni ndio walitufanya tuwe wanyonge, baada ya uhuru unyonge unatoka wapi? Viongozi wenye kaliba ya Jiwe hawafai🤔
 
Yaan nimecheke.Usinichekeshe ndugu yangu. Mbon



Yaan ndugu unaongea vitu vya uongo, sana kwa, kuwa haujui kitu kuhusu research. Nyie ndio hamjui chochote kuhusu issue fulani basi mnadandia.Hili ufanye utafiti wa masters au PhD lazima uangalie wengine wamefanya nn.Tunaita literature review. Ndio maana zinaitwa research.Labda nichukue muda huu kukufundisha vizuri. Si vibaya kuwa, na title inayofanana hata kwenye PhD level. Kinachotofautishwa na kuwa noted ni kwenye statement of the problem na pia research gap ni vitu hivi: 1.Contexual gap,2: Methodology gap, 3:Theoretical gap . Sasa nikufafanulie kuhusu contexual gap:Kama Tittle ya research ilifanyika ulaya, unaweza kujenga primary reason na kuifanya Tanzania. Inakubalika. Methodology gap. Unatumia, different methodology ili kupata jibu tofauti. Mfano kama walitumia, primary data unaweza unatumia secondary data au kama walitumia regression analysis unaweza, unatumia SEM na ukapata Majibu tofauti. Theoretical gap. Hii ndio muhimu kabisa. Unatumia deductive approach kutests theory mbalimbali ili kupata theory zinazofit study yako. Usisikilize maneno ya watu wajinga, jaribu kuwa na uelewa. Yaan ww unaleta Majibu ya kusikia na uongo tupu. Haujui chochote.
Kama Magufuli aliweza kushiriki zoezi la kuhakiki bastola lililoitishwa na RC wa Dar es Salaam, Bwana Bashite, nini kilimshinda kuonyesha uhalisia wa PhD yake?
Screenshot_20240115_103502_Facebook.jpg
 
Mimi siyo CDM bali ni CCM ila nakuomba uende Kibaha Sekondari uangalie matokeo ya Form IV mwaka 1978, utakutana na Div I ya Freeman Mbowe.

Kisha nenda Ihungo Secondari angalia matokeo ya Form VI mwaka 1981 utakutana na Div II.

Siyo mnakaa kuropoka tu kudhani JPM alikuwa mtu wa maana na kudharau watu msiowajua
Dah, kumbe mwamba kapita shule za ukweli, Sasa utamlinganishaje na mtu aliyefukuzwa seminary kwa utovu wa nidham, ikabidi akajishikize private school, no wonder hakuweza kwenda University direct ikabidi aunge unge na vi diploma vya ualim
 
Kila mmoja ana feelings zake. Hata ukienda German utakuta sympathisers wa Adolf Hittler wa kumwaga tu. Na wana siku rasmi ya kumkumbuka kwa maandamano.

Huyu Magufuli anakumbukwa na wajinga ambao ni zaidi ya 90% ya Watanzania including wewe mwenyewe Nyankurungu2020.

Sisi tutaendelea tu kuwasomesha taratibu kuwa Magufuli alikuwa kiongozi wa HOVYO na ndiyo maana ALIKUFA akiwa madarakani na ulinzi wa kutosha na madaktari bingwa wote
Vyeti vyako feki vilikuponza
 
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.
😁
 
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.
Fact kama wewe huna usidhani wote hatuna. Uthibitisho wa Magufuli kumuua Ben Saanane utakuja kutolewa Mahakamani kwenye wakati mwafaka.

Kaa kwa utulivu dada DAMA2025
 
Fact kama wewe huna usidhani wote hatuna. Uthibitisho wa Magufuli kumuua Ben Saanane utakuja kutolewa Mahakamani kwenye wakati mwafaka.

Kaa kwa utulivu dada DAMA2025
Ndugu, mazungumzo yangu na ww niliyafanya almost five days ago. Lakin, obviously niligundua kuwa huna uwezo wa kujibu hoja kiweledi. Nikaamua kukupotezea, kwa kuwa siku taka kupoteza muda na bumunda. Nimejenga hoja zangu nzuri nikitegemea utajibu, lakin mara kwa, mara, ukanijibu up you tu. Nikaamua kukupotezea tu. Huna hoja zaid ya uchawa na ushabiki mandaz.
 
Ndugu, mazungumzo yangu na ww niliyafanya almost five days ago. Lakin, obviously niligundua kuwa huna uwezo wa kujibu hoja kiweledi. Nikaamua kukupotezea, kwa kuwa siku taka kupoteza muda na bumunda. Nimejenga hoja zangu nzuri nikitegemea utajibu, lakin mara kwa, mara, ukanijibu up you tu. Nikaamua kukupotezea tu. Huna hoja zaid ya uchawa na ushabiki mandaz.
Wewe ni mpumbavu. Ungekuwa umenipotezea using jibu post yangu. Wewee ni kiazi mbatata tu
 
Back
Top Bottom