Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Ukisikia kugaribikiwa uzeeni ndiyo huku!
Mbona alishasema hana chama cho chote?
Kama ni hivyo atafute hela aanzishe chama chake ingawa umri umeenda!
Mtu ambae alikuwa anashindia mihogo, ela ya kuanzisha chama ataitoa wapi?
Hata yale marupu rupu ya ubalozi sina hakika kama bado anayo.
 
Huu upumbavu ulioleta hapa jukwaani ni mafala wenzako ndio watakupongeza

Slaa ninaemjua mimi hawezi fanya huo ujinga,kawa balozi bila kadi ya CCM,haiitaji chadema tena,yeye ni mwanaharakati huru kabisa
Moyo wa mtu msitu. Umfikiriavyo wewe, sivyo ndivyo alivyo yeye.

Slaa kaomba poo, sema tu Lisu kamtosa.
 
Binafsi sidhani kama nitakuja kushangaa jambo lengine kuhusu wanasiasa na siasa zao kama lile la Lowassa kuhamia chadema na hapo hapo kupewa nafasi ya kugombea urais.
 
Makuwadi ya warabu koko yanatetea mapumbavu menzao ya ccm kwa hongo za warabu sisi wazalendo wa nchi hii tunawambia kwamba mamayenu anapaswa kurudisha pesa za hongo kwa mabwana zenu Dubai kabla ya 2025 vinginevyo kila tundu la mwili wake atazitolea.
Majinga ya kikundi cha matapeli na the wahuni hayana agenda kabisa ya kitaifa kila siku kudakia tu. Ni bora mara πŸ’― kuendelea na Dkt Samia siyo nyie wahuni na vibaraka wa ushoga maana viongozi wenu wote wameolewa na wana madume huko ulaya
 
Bora aende Chadema kwani hata MBOWE aliwasaliti wanaCHADEMA wa kweli kwa kule kubadilisha GIA angani baada ya "kulambishwa"...

Ukistaajabu ya kutoaminika kwa Dr.Slaa na staajabu ya MBOWE "kununuliwa" baada ya kwenda yule MSHENGA askofu G.....[emoji1787]
 
Kina Lucas Mbwa wa Shamba mmekuwa wengi siku hizi
 
Kama ndio kikosi mliotumwa bado mnatumia mbinu ya OVYO waajiri watu wenye akili ya namna ya kusema mambo.
Kuna listi huko twitter ikiorodhesha watu waliopangwa KUTUMIA MITANDAO KUTETEA UJINGA.
SWALI. Kwanini TISS panga pangua inaendelea? Je ina maana ndani ya idara hakuna weledi na uwajibikaji? Je kuna makundi? Je kuna strategy za kutetea uozo?
 
Hii Nchi imekuwa ya hovyo sana.
Mwananchi kupata habari imekuwa ni kwa hisani ya Ccm.
Magazeti yote kwa sasa yanatoa habari kwa maelekezo ya Nape. Redio, Tv woote ni ushuzi mtupu
Jf nayo imejaa wanaojiita chawa wa mama ilimradi kuvuruga watu tu.
Ndio maana TEC walitumia njia mbadala kufikisha waraka wao na ukafika vyema.
 
Mumeanza kumlisha maneno Babu yenu nyie si ndio? Mtamuua mapema Sana.

Mwambieni Babu aende Vatican kuosha vyombo vya makadinali 😁😁😁😁

Kuvuliwa Ubalozi ni kama mabalozi wengine 3 waliwahi vuliwa na anaweza shitakiwa Kwa kosa la uhaini au jingine ikiwemo kutoa Siri za Nchi na Serikali ambayo ni kinyume na viapo vya kiutumishi,adhabu Huwa ni miaka 20 jela au mil.50 au vyote Kwa pamoja as per sheria ya usalama wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…