Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Nitakuongezea 30% kwenye kodi ijayo!
 
We n business man au employee?????
 
110m ndio kwanza umemaliza tu slab, dalili zote zinaonyesha umeibiwa sehemu au mafundi wako walikuwa hawajui wanachofanya , ghorofa yako ya juu ni square meter ngapi ? Kama ni kipande cha juu ni chini ya 150m square jua tu umeibiwa au fundi wako amekuingiza hasara sehemu.
 
nenda YouTube ..search " mbongo4life Karibu geza" utauona mjengo wangu alafu nambie kama nimeibiwa
 
mnatishana tu hapa mi sijaona presha yoyote kwenye kujenga nyumba mana niliijua pesa yangu inatoshea nyumba gani na ni yapi mahitaji yangu hasa. hapa nazungumzia ukubwa wa nyumba.
 
nenda YouTube ..search " mbongo4life Karibu geza" utauona mjengo wangu alafu nambie kama nimeibiwa
Nimeiangalia, kama hadi hatua hiyo kwa ukubwa ule umetumia 110m umeibiwa, hilo na uhakika. Kama upo comfortable nitumie no yako private nitakutumia picha ya jengo kama la size hilo langu, hatua kama hiyo nilimaliza kwa 55m tu.
 
Nimeiangalia, kama hadi hatua hiyo kwa ukubwa ule umetumia 110m umeibiwa, hilo na uhakika. Kama upo comfortable nitumie no yako private nitakutumia picha ya jengo kama la size hilo langu, hatua kama hiyo nilimaliza kwa
Nimeiangalia, kama hadi hatua hiyo kwa ukubwa ule umetumia 110m umeibiwa, hilo na uhakika. Kama upo comfortable nitumie no yako private nitakutumia picha ya jengo kama la size hilo langu, hatua kama hiyo nilimaliza kwa 55m tu.
common man honestly Marine ma Mbao pekee ni sio chini ya 5 mil achilia mbali Nondo ambazo sio chini ya tani 6 tani mija ni 2.6 mil hapo kokoto sio chini ya lori sita lori moja ni 2.3 to 2.4 mil tofali na mchanga Zaidi ya roli 14kubwa gharama za ufundi au wewe umejenga mwenyewe? milunda pia ya kubeba zege mmoja ni 3500 hapo ni Zaidi ya mia Mbao moja 6000 hapo ni Zaidi ya mia . mifuko ya cement hadi sasa ni kama 800 dah! wewe sijui umejenga vipi na niko na watu wawili wana monitor very close including mimi mwenyewe . Tena hapo kwenye nondo kama sikosei nimenunua 7 toni hadi sasa
 
Mwee unatutisha tuu hapa. Sasa wee unajenga ghorofa litaachaje kula mihela? Vyumba vitano hilo sii hekalu mzeya.
 
why usingekodi marine boards mkuu?
 
Tutanyanyua ukuta tuishie hapo kwanza[emoji16][emoji16][emoji16]

Kujenga kuheshimiwe na watu wote .
Hataree sana. Juzi nimeanza mradi nilijua nitaishia kwenye lenta. Nimejikuta nimeishia kwenye msingi na kufunga lenta. Nyumba ya vyumba vinne. Kama M 5 imekatika. Hapa sijui nimepigwa.
 
Nimeiangalia, kama hadi hatua hiyo kwa ukubwa ule umetumia 110m umeibiwa, hilo na uhakika. Kama upo comfortable nitumie no yako private nitakutumia picha ya jengo kama la size hilo langu, hatua kama hiyo nilimaliza kwa 55m tu.
Vyuoo vifunguliwe hawa watoto wa busy maana huku ni pumba Sasa wanaongea. Wewe jengo hilo ujenge kwa 55ml kweli?
 
Hapa andaa Milioni 3 tu Vifaa na Hela yangu hatua hii inaisha kabisa inafata hatua nyingine"" hii Kauli sijui Mafundi wanaitoa ili wapate kazi au niaje, unaandaa Milioni 3 ila kifuatacho Milioni 3 na laki 7 inaisha
 
Kiukweli ujenzi ni gharama hasa kama unajenga standard house
 
Fact and well said. Ukikopa hakikisha hiyo hela itakufanya uingie. Kama haikufanyi uingie, basi huna haja ya kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…