Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Nitakuongezea 30% kwenye kodi ijayo!Niko Dar mzee nataka ya vyumba vinne haijalishi bajeti gani ila napiga mpaka bati then narelax coz nyumba nilipopanga pazuri na nalipa ndefu miezi sita.
Safi yaani sina wasi najenga coz ninatarajia mwakani mwisho nioe mpaka nikioa niwe nishafika kweny bati halafu naishi na mke nyumba ya kupanga mwaka au mwaka na nusu nahamia kwangu..it's my plan