Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Kweli kabisa wakili, pesa ni jawabu ya mambo mengi
 
 
Ndo hao wako tayari kujiumiza kwa ajiri ya kulinda wanachoita heshima.

Mimi Huko nilitoka zamani Sana.
Kwanza sipendi kuzingatiwa, Kwa wanaonijua live wala sina muda wa kujitesa ili nionekane labda ninapesa au ni Msomi. Nipo simple.
Mimi hata uniite kwenye sherehe yako usijetemegemea nitavaa vizuri sijui masuti, πŸ˜‚πŸ˜‚
Labda kama utaniomba nisikutie aibu ikiwa kwako nikivaa Kwa namna Fulani ndio heshima, lakini sio Mimi uniheshimu kisa nimevaa Suti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…