Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Sasa huo ni utumwa.

Muda wa kuyafanya yote hayo bora ungeutumia kwenye kutafuta pesa tu la sivyo utaendelea kusindikiza wenzako.
 
Hajielewi huyo.

Anaishi ndotoni sana.
 
Jamani Ariana kiti changu waweke mbege๐Ÿ˜€, aki kutatokea ugomvi huo hapatakalika hapo si unajua hasira ya kutokua na pesa na udharauliwe,namwaga na hiyo mbege yao๐Ÿ˜€
Huna pesa ,unaleta jeuri ,Utafukuzwa kwenye kikao kama mbwa koko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na vikao vingine hutapewa taarifa bora kuwa mpole
 
Kama huna pesa hata mbwa wako anakuona boya tu na anaweza kukung'ata, shida sana...
 

Sasa MTU kama ni chizi anaongea huo upuuzi Kwa nini nijishughulishe naye?

Umejibu vizuri kwenye chakula cha Roho na nafsi, lakini hizo heshima au kupendwa au kujaliwa ni matokeo ya maadili Mema na sio matokeo ya Pesa.
Ndio maana nikaandika Uzi hapa๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Wengine ukituheshimu Kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge.
 

Tofauti ya chizi na timamu katika kukuwasilishia dharau,chizi anaongea ila timamu anakutendea dharau[emoji16][emoji16].

Ndio hali halisi masta,utaheshimiwa kwa ulicho nacho sio kwa utu wako,haya mambo yapo ofisi za huduma za umma,sehemu za biashara,makazini na yamehamia kwenye familia zetu.

Sihamasishi watu watafute hela ili kukwepa dharau,NO nawakumbusha tu jinsi jamii imekuwa ya ajabu.
 
Sasa huo ni utumwa.

Muda wa kuyafanya yote hayo bora ungeutumia kwenye kutafuta pesa tu la sivyo utaendelea kusindikiza wenzako.
Kuna watu wanatafuta pesa maisha yao yote na hawazipati. Ni maisha tu sio utumwa.
 
Hapo ndo utakutana na
Hapo ndo utakutana na vibinti vinafiki Mara ooh
Point nzuri
 
daah umeongea kwa experience kubwa , umeshawahi kupitia changamoto kama hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ