Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Katika familia ukiwa huna pesa jifunze kujitolea kufanya mambo mengine ambayo hayahitaji pesa.
Kama kuna shughuli piga kazi kuliko wengine, kama kuna mgonjwa wa kuhudumia na una nafasi nenda kahudumie kwa moyo wote. Ni mengi yapo ya kufanya na hakuna anakaye kudharau.
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu.
Sasa huo ni utumwa.

Muda wa kuyafanya yote hayo bora ungeutumia kwenye kutafuta pesa tu la sivyo utaendelea kusindikiza wenzako.
 
We jamaa huwaga unavituko unaandika mambo ambayo hayana uhalisia
Hakuna binadamu asiyependa recognition kutoka kwa watu wengine
Mfano hapa jamiiforum kuna tuzo wanapewa kupitia member bora au story of change hio yote watu wanafanya ili wapate recognition kutoka kwa watu wengine

Makazin kuna tuzo za mfanyakazi bora hakuna mtu ambaye hafurahii kuwa sio mfanyakazi bora ukiangalia hapo utaona watu tunafanya kazi kwa bidii moja ya sababu ni kuwa recognition

Kwenye michezo kuna prize tofauti tofauti watu wanapewa na angalia ile furaha watu wanakua nayo wanapopewa hizo tuzo hiyo yote ni kutaka kufurahisha watu

Kwenye maisha na (nature) asili kilicho bora kinasifiwa siku zote na ndo raha ya maisha kila mtu anafurah anapofanya jambo linapogusa watu wengine, ukifanya jambo kwa ajili yako huwezi lifurahia

Unaposema ufanye jambo kwa ajili yako mwenye unakuaje motivated
kwa hiyo mkuu mda mwingi unajicontradict sana nyuzi zako nyingi zinapingana zenyewe yaan hujulikan unasimamia kipi

Ukiwa huna hela sio kwamba unadharauliwa kuna mambo ambayo yanahitaji fedha hata ukiambiwa utoe utahisu unadharauliwa ndo maana watu wanakupotezea sasa ukipotezewa usifikiri unadharauliwa ni kwamba huna msaada
Hajielewi huyo.

Anaishi ndotoni sana.
 
Kuheshimiwa sio tafsiri yake hiyo.

Ukitaja kujua heshima ina maana gani,subiri siku mtu akutamkie maneno ya fedheha mbele za watu,sababu tu umevaa nguo chakavu au umekosa nauli kamili ndio utaelewa.

Kuna chakula cha mwili(ugali,mananasi,wali,kitimoto nk)halafu kuna chakula cha roho(heshima,upendo,kujaliwa)ukivikosa hivyo lazima usiwe sawa.

Sasa MTU kama ni chizi anaongea huo upuuzi Kwa nini nijishughulishe naye?

Umejibu vizuri kwenye chakula cha Roho na nafsi, lakini hizo heshima au kupendwa au kujaliwa ni matokeo ya maadili Mema na sio matokeo ya Pesa.
Ndio maana nikaandika Uzi hapa👉👉Wengine ukituheshimu Kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge.
 
Sasa MTU kama ni chizi anaongea huo upuuzi Kwa nini nijishughulishe naye?

Umejibu vizuri kwenye chakula cha Roho na nafsi, lakini hizo heshima au kupendwa au kujaliwa ni matokeo ya maadili Mema na sio matokeo ya Pesa.
Ndio maana nikaandika Uzi hapa[emoji117][emoji117]Wengine ukituheshimu Kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge.

Tofauti ya chizi na timamu katika kukuwasilishia dharau,chizi anaongea ila timamu anakutendea dharau[emoji16][emoji16].

Ndio hali halisi masta,utaheshimiwa kwa ulicho nacho sio kwa utu wako,haya mambo yapo ofisi za huduma za umma,sehemu za biashara,makazini na yamehamia kwenye familia zetu.

Sihamasishi watu watafute hela ili kukwepa dharau,NO nawakumbusha tu jinsi jamii imekuwa ya ajabu.
 
Sasa huo ni utumwa.

Muda wa kuyafanya yote hayo bora ungeutumia kwenye kutafuta pesa tu la sivyo utaendelea kusindikiza wenzako.
Kuna watu wanatafuta pesa maisha yao yote na hawazipati. Ni maisha tu sio utumwa.
 
Hapo ndo utakutana na
Kuna kipindi baada ya kila ninachofanya mjini kinafeli nikaamua kwenda kwenye uvunaji wa mbao huko moro kisama porini sana network ya kunyatia.
Aisee mwaka mzima mtu alikuwa ananitafta ni mshua tuu😆😆😆sionekani ila watu hawataki hata kujua niko wapi dah.
Siku nimepost pic mtandaoni,mazingira safe,nimepiga polish,nimekoga mbaya na nimeumuka doohh aisee nilijutaa.
Nilianza kulaumiwa kwamba mbona niko kimya sana na siwajulishi watu nilipo😁😁
Pesa ndo inakuchorea roman makini
Hapo ndo utakutana na vibinti vinafiki Mara ooh
We jamaa huwaga unavituko unaandika mambo ambayo hayana uhalisia
Hakuna binadamu asiyependa recognition kutoka kwa watu wengine
Mfano hapa jamiiforum kuna tuzo wanapewa kupitia member bora au story of change hio yote watu wanafanya ili wapate recognition kutoka kwa watu wengine

Makazin kuna tuzo za mfanyakazi bora hakuna mtu ambaye hafurahii kuwa sio mfanyakazi bora ukiangalia hapo utaona watu tunafanya kazi kwa bidii moja ya sababu ni kuwa recognition

Kwenye michezo kuna prize tofauti tofauti watu wanapewa na angalia ile furaha watu wanakua nayo wanapopewa hizo tuzo hiyo yote ni kutaka kufurahisha watu

Kwenye maisha na (nature) asili kilicho bora kinasifiwa siku zote na ndo raha ya maisha kila mtu anafurah anapofanya jambo linapogusa watu wengine, ukifanya jambo kwa ajili yako huwezi lifurahia

Unaposema ufanye jambo kwa ajili yako mwenye unakuaje motivated
kwa hiyo mkuu mda mwingi unajicontradict sana nyuzi zako nyingi zinapingana zenyewe yaan hujulikan unasimamia kipi

Ukiwa huna hela sio kwamba unadharauliwa kuna mambo ambayo yanahitaji fedha hata ukiambiwa utoe utahisu unadharauliwa ndo maana watu wanakupotezea sasa ukipotezewa usifikiri unadharauliwa ni kwamba huna msaada
Point nzuri
 
Kuheshimiwa sio tafsiri yake hiyo.

Ukitaja kujua heshima ina maana gani,subiri siku mtu akutamkie maneno ya fedheha mbele za watu,sababu tu umevaa nguo chakavu au umekosa nauli kamili ndio utaelewa.

Kuna chakula cha mwili(ugali,mananasi,wali,kitimoto nk)halafu kuna chakula cha roho(heshima,upendo,kujaliwa)ukivikosa hivyo lazima usiwe sawa.
daah umeongea kwa experience kubwa , umeshawahi kupitia changamoto kama hizo?
 
Back
Top Bottom