SatCitAnanda
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 643
- 1,099
Ndo yale unakula ili uishi au unaishi ile ule? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huo ni utumwa.Katika familia ukiwa huna pesa jifunze kujitolea kufanya mambo mengine ambayo hayahitaji pesa.
Kama kuna shughuli piga kazi kuliko wengine, kama kuna mgonjwa wa kuhudumia na una nafasi nenda kahudumie kwa moyo wote. Ni mengi yapo ya kufanya na hakuna anakaye kudharau.
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu.
Hajielewi huyo.We jamaa huwaga unavituko unaandika mambo ambayo hayana uhalisia
Hakuna binadamu asiyependa recognition kutoka kwa watu wengine
Mfano hapa jamiiforum kuna tuzo wanapewa kupitia member bora au story of change hio yote watu wanafanya ili wapate recognition kutoka kwa watu wengine
Makazin kuna tuzo za mfanyakazi bora hakuna mtu ambaye hafurahii kuwa sio mfanyakazi bora ukiangalia hapo utaona watu tunafanya kazi kwa bidii moja ya sababu ni kuwa recognition
Kwenye michezo kuna prize tofauti tofauti watu wanapewa na angalia ile furaha watu wanakua nayo wanapopewa hizo tuzo hiyo yote ni kutaka kufurahisha watu
Kwenye maisha na (nature) asili kilicho bora kinasifiwa siku zote na ndo raha ya maisha kila mtu anafurah anapofanya jambo linapogusa watu wengine, ukifanya jambo kwa ajili yako huwezi lifurahia
Unaposema ufanye jambo kwa ajili yako mwenye unakuaje motivated
kwa hiyo mkuu mda mwingi unajicontradict sana nyuzi zako nyingi zinapingana zenyewe yaan hujulikan unasimamia kipi
Ukiwa huna hela sio kwamba unadharauliwa kuna mambo ambayo yanahitaji fedha hata ukiambiwa utoe utahisu unadharauliwa ndo maana watu wanakupotezea sasa ukipotezewa usifikiri unadharauliwa ni kwamba huna msaada
Huna pesa ,unaleta jeuri ,Utafukuzwa kwenye kikao kama mbwa koko🤣🤣 na vikao vingine hutapewa taarifa bora kuwa mpoleJamani Ariana kiti changu waweke mbege😀, aki kutatokea ugomvi huo hapatakalika hapo si unajua hasira ya kutokua na pesa na udharauliwe,namwaga na hiyo mbege yao😀
Ana illusionHajielewi huyo.
Anaishi ndotoni sana.
Inabidi kuwa maskini jeuri tu, nawavurugia kikao hawaoamini😀😀Huna pesa ,unaleta jeuri ,Utafukuzwa kwenye kikao kama mbwa koko🤣🤣 na vikao vingine hutapewa taarifa bora kuwa mpole
........sio mbwa tu utang'atwa hata na mbuzi!!!.....hata wadudu wanaleta dharau, ukimfukuza nzi anarudi tena coz anajua mnacheza!!........Kama huna pesa hata mbwa wako anakuona boya tu na anaweza kukung'ata, shida sana...
Kuheshimiwa sio tafsiri yake hiyo.
Ukitaja kujua heshima ina maana gani,subiri siku mtu akutamkie maneno ya fedheha mbele za watu,sababu tu umevaa nguo chakavu au umekosa nauli kamili ndio utaelewa.
Kuna chakula cha mwili(ugali,mananasi,wali,kitimoto nk)halafu kuna chakula cha roho(heshima,upendo,kujaliwa)ukivikosa hivyo lazima usiwe sawa.
Sasa MTU kama ni chizi anaongea huo upuuzi Kwa nini nijishughulishe naye?
Umejibu vizuri kwenye chakula cha Roho na nafsi, lakini hizo heshima au kupendwa au kujaliwa ni matokeo ya maadili Mema na sio matokeo ya Pesa.
Ndio maana nikaandika Uzi hapa[emoji117][emoji117]Wengine ukituheshimu Kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge.
Well Noted,Binadamu hana aibu kabisa linapokuja suala la kuabudu pesa.
Kuna watu wanatafuta pesa maisha yao yote na hawazipati. Ni maisha tu sio utumwa.Sasa huo ni utumwa.
Muda wa kuyafanya yote hayo bora ungeutumia kwenye kutafuta pesa tu la sivyo utaendelea kusindikiza wenzako.
Hapo ndo utakutana na vibinti vinafiki Mara oohKuna kipindi baada ya kila ninachofanya mjini kinafeli nikaamua kwenda kwenye uvunaji wa mbao huko moro kisama porini sana network ya kunyatia.
Aisee mwaka mzima mtu alikuwa ananitafta ni mshua tuu😆😆😆sionekani ila watu hawataki hata kujua niko wapi dah.
Siku nimepost pic mtandaoni,mazingira safe,nimepiga polish,nimekoga mbaya na nimeumuka doohh aisee nilijutaa.
Nilianza kulaumiwa kwamba mbona niko kimya sana na siwajulishi watu nilipo😁😁
Pesa ndo inakuchorea roman makini
Point nzuriWe jamaa huwaga unavituko unaandika mambo ambayo hayana uhalisia
Hakuna binadamu asiyependa recognition kutoka kwa watu wengine
Mfano hapa jamiiforum kuna tuzo wanapewa kupitia member bora au story of change hio yote watu wanafanya ili wapate recognition kutoka kwa watu wengine
Makazin kuna tuzo za mfanyakazi bora hakuna mtu ambaye hafurahii kuwa sio mfanyakazi bora ukiangalia hapo utaona watu tunafanya kazi kwa bidii moja ya sababu ni kuwa recognition
Kwenye michezo kuna prize tofauti tofauti watu wanapewa na angalia ile furaha watu wanakua nayo wanapopewa hizo tuzo hiyo yote ni kutaka kufurahisha watu
Kwenye maisha na (nature) asili kilicho bora kinasifiwa siku zote na ndo raha ya maisha kila mtu anafurah anapofanya jambo linapogusa watu wengine, ukifanya jambo kwa ajili yako huwezi lifurahia
Unaposema ufanye jambo kwa ajili yako mwenye unakuaje motivated
kwa hiyo mkuu mda mwingi unajicontradict sana nyuzi zako nyingi zinapingana zenyewe yaan hujulikan unasimamia kipi
Ukiwa huna hela sio kwamba unadharauliwa kuna mambo ambayo yanahitaji fedha hata ukiambiwa utoe utahisu unadharauliwa ndo maana watu wanakupotezea sasa ukipotezewa usifikiri unadharauliwa ni kwamba huna msaada
daah umeongea kwa experience kubwa , umeshawahi kupitia changamoto kama hizo?Kuheshimiwa sio tafsiri yake hiyo.
Ukitaja kujua heshima ina maana gani,subiri siku mtu akutamkie maneno ya fedheha mbele za watu,sababu tu umevaa nguo chakavu au umekosa nauli kamili ndio utaelewa.
Kuna chakula cha mwili(ugali,mananasi,wali,kitimoto nk)halafu kuna chakula cha roho(heshima,upendo,kujaliwa)ukivikosa hivyo lazima usiwe sawa.
Inabidi waendelee kutafuta bila kukata tamaa.Ipo siku Mungu atanyooshea mkono.Kuna watu wanatafuta pesa maisha yao yote na hawazipati. Ni maisha tu sio utumwa.
Mzee naona umeamua kula nao sahani moja
Wanatafuta lakini hawawezi kuacha majukumu ya kifamilia. Kama hawana msaada wa malli,.watoe msaada wa hali.Inabidi waendelee kutafuta bila kukata tamaa.Ipo siku Mungu atanyooshea mkono.