KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

Level gani hizo, na wewe upo kwenye hizo level??
Yeah mkuu naandika by experience kuna level ukifika huhitaji kuomba namba. Jenga bustani ya maua kwanza vipepeo na ndege wazuri wazuri watajaa kibao hapo bustanini.
 
Chukua hii itakusaidia,mwanamke haombwi namba anapewa namba,akifuata mahindi pasaka ile pale
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahali popote!!
Kwanini uombe ombe namba hovyo
 
Back
Top Bottom