White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
- Thread starter
- #81
Ni kweliDunia imebadilika kutokana na utandawazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliDunia imebadilika kutokana na utandawazi
Level gani hizo, na wewe upo kwenye hizo level??Mpaka mwanaume umefika hatua ya kuomba namba jua bado hujafika level zile
Yeah mkuu naandika by experience kuna level ukifika huhitaji kuomba namba. Jenga bustani ya maua kwanza vipepeo na ndege wazuri wazuri watajaa kibao hapo bustanini.Level gani hizo, na wewe upo kwenye hizo level??
Hapo nimekuelewa mkuuYeah mkuu naandika by experience kuna level ukifika huhitaji kuomba namba. Jenga bustani ya maua kwanza vipepe na ndege watajaa kibao
Wivu ukizidi ni uchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walipe Kodi na wao shenzi😄😄😄😄
Kwamba nawaonea wivu kuingi huko sayar za mbali?😄😄😄😄Wivu ukizidi ni uchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba namba 😊Hivi wote hao wapo kwenye contact list yako umewaromba mkuu?
🤣🤣🤣Tulia wewe🥴Naomba namba 😊
alafu unionyeshe ushirikiano😃🤣🤣🤣Tulia wewe🥴
Upi tena🤣🤭alafu unionyeshe ushirikiano😃
kwani thread inasemaje🥵Upi tena🤣🤭
Inasema tutoe namba na tuwe tayari kurombwa ✌️kwani thread inasemaje🥵
HahahaInasema tutoe namba na tuwe tayari kurombwa ✌️
Mtumie ka elfu hamsini uone kama ata-mute
Chukua hii itakusaidia,mwanamke haombwi namba anapewa namba,akifuata mahindi pasaka ile pale
Kwanini uombe ombe namba hovyoNiende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahali popote!!
umemaliza mkuu shida unakuta mtu umeomba namba mchana jioni ushamtongoza hapo hata demu mwenyewe lazima ashtuke
Unamaanisha never force wanawake ni wengi sana kwanini mmoja akulize😂Usiombe namba pita kushoto apite kulia na salamu usijitese sana wanawake sio viumbe wa kuwazingatia