Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Hao wapalestina ndio waisrael walio tajwa kwenye Biblia. Mtu kakaa Palestina toka wakati wa Yesu hadi leo with Dna proof ya mababu zake kwamba walizikwa hapo, so hawa descendant wa Yesu sio waisrael?
Hao wapalestina ni jamii fulani ya watu wakatili sana na kihistoria inasemekana hawana mafungamano yoyote na waarabu ila kinachowaleta pamoja ni kwamba wengi wao ni waislamu.

Na ni katika ukweli huo ndio maana hata waarabu wengi wanaojitambua hawawajali.
 
Kwa ivo kwa maelezo yako ni kwamba kosa la Wayahudi ni kutaka kurudi kwao? Kwa ivo pale ni kwao ila waliondoka na sasa wamerudi?
Mkuu kabla ya kuundwa Taifa la Israel wayahudi ambao hawakuishi Middle East ni Ashkenaz tu, seoharidic jews walikua North Africa na Mizrahi jews walikua Nchi za Gulf, Pia walikuwepo jews hapo Palestina wengi tu. Jews walikua na Vyeo vikubwa vikubwa kwenye Tawala nyingi za kiisilamu. So hakukua na tatizo la Wakristo, waisilamu na jews ku coexist.

Ugomvi wa sasa umeletwa na hao wazungu (Ashkenaz) ambao wana claim hilo eneo ni lao peke yao, Mwanzo wakati wanakuja Palestina wakapokelewa vizuri, taratibu wakaanza kuua na kuwapokonya Wazawa eneo lao mpaka unavyoona leo.

Na issue kubwa hapa ni kwamba waarabu hawaamini hawa jamaa asili yao ni hilo eneo, wengi Ashkenaz asili yao ni Ulaya mashariki, so wana kwao,

Na sasa hivi kuna advancement kubwa za kisayansi ni rahisi kupima DNA, Dna nyingi sana zimefanywa kwa mabaki ya makaburi toka kipindi cha Yesu ama zaidi ya Hapo, na inaonesha Jews waliobaki Palestina (Samaritan) na wapalestina Wakristo by far wana Dna zinazoshabihiana na Wayahudi kipindi cha Yesu, Waisilamu wa Palestina na makundi mengine ya Kiyahudi kama Mizrahi pia yana Dna zinazoshabihiana ila kwa lesser extent. Ndugu zetu sasa hao Ashkenazi wana Dna za Kuchovya unakuta as low as 3% ndio mtu ana Dna ya Ki Israel. Kuepusha hili Serikali ya Israel ika discourage watu kupima DNA mpaka kibali maalum.

So Matatizo ya hapo siku zote ni ya hao Walowezi, Ashkenaz, na sasa hivi kuna vita wengi wanakimbia, wanarudi zao Marekani na Ulaya, chunguza wanaokufa ni asili gani, nimeona Makamanda wa IDF Gaza waliokufa wengi ni Druze.
 
Shida ipo kwenye jina tu. Maana hawa jamaa wangekubali kuitwa wapalestina kusingwkuwa na shida ila shida ni Israel.
 
Hao wapalestina ambao ni waarabu wamekuja kipindi Cha utawala wa Ottoman, sawa na waarabu walivyosambaa Afrika kaskazini
Wapalestina sio waarabu Sayansi inakataa, tofautisha mwarabu kibaolojia na mtu aliekuwa arabized cultural, Dna za Palestina na Saudia ni tofauti kabisa studies kibao zinaonesha. Pia Wapalestina ni weupe kama jamii Nyengine za Levant Arabs Lebanon, Syria etc wakati Nchi asili za kiarabu sio weupe sana.
 
Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.

Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
Ubinafsi upi?
 
Hii ndio tofauti kubwa pekee ni sawa leo watokee wa Catholic waseme kwao ni Vatican sababu ndio nyumbani kwa wa Rome lakini sababu Vatican hapatoshi tuchukue Rome pia. Wayahahudi ni dini na wanaweza kuwepo popote kuna waarabu wengi tu na ni mayahudi hakuna shida. Hawa wazungu waliotoka sijui Poland na nchi za ulaya mashariki ndio shida kubwa. Netanyau halikuwa jina lake alitoka Poland baada ya wao kuhamia Israel na jina akabadilisha Nentanyau.
Catholic ni Taifa?😳😳😳😳
 
Wachaga warudi kwao Ethiopia, tuwarudishe mbilikimo kutoka DRC pale Kilimanjaro.
Wangoni warudi kwao SA watuachie Songea yetu, hivyo hivyo kwa kila kabila duniani.

Nabii Ibrahim alitoka Iraq, kama ni asili basi warudi Iraq, pale waliishi wakaanani sijui Philips

Tukianze kunukuu kila jambo kwa mtazamo WA mnufaika na kukubaliana naye kwa kujibu wa maandishi anayoamini yeye basi dunia nzima itawaka Moto maana unaweza kuta hata Wanyakyusa na Wanyamwezi asili yao ni Texas USA.
 
Kuna taifa likiguswa mnavyong'aka?

Hata wenye taifa lao wanaweza kuwa wanawashangaa!
Nani anang'aka? Hapa watu wanajadili ukweli wa historia. Wewe kama una ukweli zaidi, weka mchango wako hapa ili watu wauone.
 
Wachaga warudi kwao Ethiopia, tuwarudishe mbilikimo kutoka DRC pale Kilimanjaro.
Wangoni warudi kwao SA watuachie Songea yetu, hivyo hivyo kwa kila kabila duniani.

Nabii Ibrahim alitoka Iraq, kama ni asili basi warudi Iraq, pale waliishi wakaanani sijui Philips

Tukianze kunukuu kila jambo kwa mtazamo WA mnufaika na kukubaliana naye kwa kujibu wa maandishi anayoamini yeye basi dunia nzima itawaka Moto maana unaweza kuta hata Wanyakyusa na Wanyamwezi asili yao ni Texas USA.
Kwa mtazamo wako huu. Mngoni akiishi Dar es salaam kwa vizazi vitatu. Kilembwe chake haruhusiwi kurudi kwao Songea kwa kuwa akitaka kurudi Songea basi arudi Afrika ya Kusini?

Hivi siyo kwamba Iraq ni kwa Ibrahim ila si kwa vizazi vya Yakobo (Yakub)? Hoja yangu ni kwamba ni lini waisrael walianza kuwa waisrael?

Jee ni wakati Ibrahim akiwa Uru ya Ukladayo (Iraq) au Baada ya watoto wa Yakobo kuzaliwa?
 
Hivi wapalestina wa Leo ndiyo wale wafilisti wanaotajwa na Biblia? Kama ndiyo hivyo, kati ya Goliath na Daudi nani alikuwa ni myahudi?
Wapalestina sio wafilisti, wafilisti ni wazungu mostly toka Ugiriki na Italy, wapalestina ndio descendant wa Daud,

Na mkuu kujua zaidi hili kisayansi tafuta Ashkenaz yoyote msomi (sio hawa kina Netanyahu waliokimbia shule) then sikiliza lecture zao wengi huwa wanachambua hizi Dna.

Kuna proffesor Ashkenaz jew anaitwa Chomsky ni katika wasomi wakubwa Dunia yetu hii, ameelezea sana kuhusu Historia yao ya uashkenaz na taifa la Israel mcheki.

Pia kuna hii Tedtalks ya Nathaniel Ameelezea Vizuri Dna za wapalestina nae ni Ashkenaz

View: https://www.ted.com/talks/nathaniel_pearson_the_splendid_tapestry_how_dna_reveals_truths_ancient_lasting?subtitle=en
 
baba-mwajuma nikubaliane na wewe kuwa Wafilisti siyo wapalestina bali ni wagiriki.

Sasa kimetokea ni hadi wapalestina wa Sasa siyo wao (Kwa asilimia) wanaoamini na kuitunza Torah?

Wewe ukiwaangalia wengi wa wapalestina wa sasa wanaamini kuwa wao wanatokana na uzao wa Daudi?
 
Back
Top Bottom