Mkuu kabla ya kuundwa Taifa la Israel wayahudi ambao hawakuishi Middle East ni Ashkenaz tu, seoharidic jews walikua North Africa na Mizrahi jews walikua Nchi za Gulf, Pia walikuwepo jews hapo Palestina wengi tu. Jews walikua na Vyeo vikubwa vikubwa kwenye Tawala nyingi za kiisilamu. So hakukua na tatizo la Wakristo, waisilamu na jews ku coexist.
Ugomvi wa sasa umeletwa na hao wazungu (Ashkenaz) ambao wana claim hilo eneo ni lao peke yao, Mwanzo wakati wanakuja Palestina wakapokelewa vizuri, taratibu wakaanza kuua na kuwapokonya Wazawa eneo lao mpaka unavyoona leo.
Na issue kubwa hapa ni kwamba waarabu hawaamini hawa jamaa asili yao ni hilo eneo, wengi Ashkenaz asili yao ni Ulaya mashariki, so wana kwao,
Na sasa hivi kuna advancement kubwa za kisayansi ni rahisi kupima DNA, Dna nyingi sana zimefanywa kwa mabaki ya makaburi toka kipindi cha Yesu ama zaidi ya Hapo, na inaonesha Jews waliobaki Palestina (Samaritan) na wapalestina Wakristo by far wana Dna zinazoshabihiana na Wayahudi kipindi cha Yesu, Waisilamu wa Palestina na makundi mengine ya Kiyahudi kama Mizrahi pia yana Dna zinazoshabihiana ila kwa lesser extent. Ndugu zetu sasa hao Ashkenazi wana Dna za Kuchovya unakuta as low as 3% ndio mtu ana Dna ya Ki Israel. Kuepusha hili Serikali ya Israel ika discourage watu kupima DNA mpaka kibali maalum.
So Matatizo ya hapo siku zote ni ya hao Walowezi, Ashkenaz, na sasa hivi kuna vita wengi wanakimbia, wanarudi zao Marekani na Ulaya, chunguza wanaokufa ni asili gani, nimeona Makamanda wa IDF Gaza waliokufa wengi ni Druze.