Hao wapalestina ni jamii fulani ya watu wakatili sana na kihistoria inasemekana hawana mafungamano yoyote na waarabu ila kinachowaleta pamoja ni kwamba wengi wao ni waislamu.Hao wapalestina ndio waisrael walio tajwa kwenye Biblia. Mtu kakaa Palestina toka wakati wa Yesu hadi leo with Dna proof ya mababu zake kwamba walizikwa hapo, so hawa descendant wa Yesu sio waisrael?
Sio kweliHapo ni sawa na wachaga wa machame watake kilimanjaro iitwe machame then wawafukuze wakibosho ,marangu warombo na wapare ndani ya kilimanjaro ( palestina)
Mkuu kabla ya kuundwa Taifa la Israel wayahudi ambao hawakuishi Middle East ni Ashkenaz tu, seoharidic jews walikua North Africa na Mizrahi jews walikua Nchi za Gulf, Pia walikuwepo jews hapo Palestina wengi tu. Jews walikua na Vyeo vikubwa vikubwa kwenye Tawala nyingi za kiisilamu. So hakukua na tatizo la Wakristo, waisilamu na jews ku coexist.Kwa ivo kwa maelezo yako ni kwamba kosa la Wayahudi ni kutaka kurudi kwao? Kwa ivo pale ni kwao ila waliondoka na sasa wamerudi?
Kwa ivo Leo Wayahudi wakisema wanarudi "kwao" Iraq itakuwa sawa?Asili ya wayahudi ni Iraq ya leo...
Shida ipo kwenye jina tu. Maana hawa jamaa wangekubali kuitwa wapalestina kusingwkuwa na shida ila shida ni Israel.Mkuu kabla ya kuundwa Taifa la Israel wayahudi ambao hawakuishi Middle East ni Ashkenaz tu, seoharidic jews walikua North Africa na Mizrahi jews walikua Nchi za Gulf, Pia walikuwepo jews hapo Palestina wengi tu. Jews walikua na Vyeo vikubwa vikubwa kwenye Tawala nyingi za kiisilamu. So hakukua na tatizo la Wakristo, waisilamu na jews ku coexist.
Ugomvi wa sasa umeletwa na hao wazungu (Ashkenaz) ambao wana claim hilo eneo ni lao peke yao, Mwanzo wakati wanakuja Palestina wakapokelewa vizuri, taratibu wakaanza kuua na kuwapokonya Wazawa eneo lao mpaka unavyoona leo.
Na issue kubwa hapa ni kwamba waarabu hawaamini hawa jamaa asili yao ni hilo eneo, wengi Ashkenaz asili yao ni Ulaya mashariki, so wana kwao,
Na sasa hivi kuna advancement kubwa za kisayansi ni rahisi kupima DNA, Dna nyingi sana zimefanywa kwa mabaki ya makaburi toka kipindi cha Yesu ama zaidi ya Hapo, na inaonesha Jews waliobaki Palestina (Samaritan) na wapalestina Wakristo by far wana Dna zinazoshabihiana na Wayahudi kipindi cha Yesu, Waisilamu wa Palestina na makundi mengine ya Kiyahudi kama Mizrahi pia yana Dna zinazoshabihiana ila kwa lesser extent. Ndugu zetu sasa hao Ashkenazi wana Dna za Kuchovya unakuta as low as 3% ndio mtu ana Dna ya Ki Israel. Kuepusha hili Serikali ya Israel ika discourage watu kupima DNA mpaka kibali maalum.
So Matatizo ya hapo siku zote ni ya hao Walowezi, Ashkenaz, na sasa hivi kuna vita wengi wanakimbia, wanarudi zao Marekani na Ulaya, chunguza wanaokufa ni asili gani, nimeona Makamanda wa IDF Gaza waliokufa wengi ni Druze.
Wapalestina sio waarabu Sayansi inakataa, tofautisha mwarabu kibaolojia na mtu aliekuwa arabized cultural, Dna za Palestina na Saudia ni tofauti kabisa studies kibao zinaonesha. Pia Wapalestina ni weupe kama jamii Nyengine za Levant Arabs Lebanon, Syria etc wakati Nchi asili za kiarabu sio weupe sana.Hao wapalestina ambao ni waarabu wamekuja kipindi Cha utawala wa Ottoman, sawa na waarabu walivyosambaa Afrika kaskazini
Watajiitaje wapalestina wakati wenyewe sio wapalestina ni waisraeli.Shida ipo kwenye jina tu. Maana hawa jamaa wangekubali kuitwa wapalestina kusingwkuwa na shida ila shida ni Israel.
So walikuwa wakitajwa tokea wapi? Halafu wewe lini umeamua kujitangaza kuwa ni bwabwa?Mayahudi hayana kwao
Tanzania ilivyo kubwa kama vipi waje tu wapewe eneoHawa jamaa heri waendelee kujua waliishi hapo hapo Israel ikiwemo na Gaza plus West Bank, yaani wasijue pengine zaidi. Wakijua watalianzisha jipya
Hata hao wanaojiita wapalestina sio wapalestina ni waarabu. Jina Palestine lilipewa hilo eneo na warumi so yeyote aliyekuwa akiishi hapo aliitwa mpalestina awe jews au mwarabuWatajiitaje wapalestina wakati wenyewe sio wapalestina ni waisraeli.
Ubinafsi upi?Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.
Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
Catholic ni Taifa?😳😳😳😳Hii ndio tofauti kubwa pekee ni sawa leo watokee wa Catholic waseme kwao ni Vatican sababu ndio nyumbani kwa wa Rome lakini sababu Vatican hapatoshi tuchukue Rome pia. Wayahahudi ni dini na wanaweza kuwepo popote kuna waarabu wengi tu na ni mayahudi hakuna shida. Hawa wazungu waliotoka sijui Poland na nchi za ulaya mashariki ndio shida kubwa. Netanyau halikuwa jina lake alitoka Poland baada ya wao kuhamia Israel na jina akabadilisha Nentanyau.
Nani anang'aka? Hapa watu wanajadili ukweli wa historia. Wewe kama una ukweli zaidi, weka mchango wako hapa ili watu wauone.Kuna taifa likiguswa mnavyong'aka?
Hata wenye taifa lao wanaweza kuwa wanawashangaa!
Janaume zima unajifanya mwanamke, unatafuta kupigwa pu.mbu??Leave my parents alone. My father did not screw you to get me. And shut your stupidy smelling ugly mouth away from me before i insert my dildo in it. JERK!!
Kwa mtazamo wako huu. Mngoni akiishi Dar es salaam kwa vizazi vitatu. Kilembwe chake haruhusiwi kurudi kwao Songea kwa kuwa akitaka kurudi Songea basi arudi Afrika ya Kusini?Wachaga warudi kwao Ethiopia, tuwarudishe mbilikimo kutoka DRC pale Kilimanjaro.
Wangoni warudi kwao SA watuachie Songea yetu, hivyo hivyo kwa kila kabila duniani.
Nabii Ibrahim alitoka Iraq, kama ni asili basi warudi Iraq, pale waliishi wakaanani sijui Philips
Tukianze kunukuu kila jambo kwa mtazamo WA mnufaika na kukubaliana naye kwa kujibu wa maandishi anayoamini yeye basi dunia nzima itawaka Moto maana unaweza kuta hata Wanyakyusa na Wanyamwezi asili yao ni Texas USA.
Wapalestina sio wafilisti, wafilisti ni wazungu mostly toka Ugiriki na Italy, wapalestina ndio descendant wa Daud,Hivi wapalestina wa Leo ndiyo wale wafilisti wanaotajwa na Biblia? Kama ndiyo hivyo, kati ya Goliath na Daudi nani alikuwa ni myahudi?