Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?


Picha inaonesha israeli ya kale takribani miaka 4000 nyuma kabla ya wa Palestine kuvamia, picha pia inaonesha wapalestina waliishi ukanda wa gaza





Picha inaonesha baada ya wapalestina kuvamia israeli yote na kuikalia ardhi yao na kwenye miji kama yerusalemu, Bethlehem, hii ni baada ya dola la roma

Sasa baadae israeli waliwafukuza wapalestina kwenye ardhi yao ndipo ilitokea vita vya waarabu na wayahudi miaka ya 90
 
Palikua na wayahudi wengi tu arabuni na hasa Yemenn, wayahudi wa kiarabu nk, uyahudi ni dini,kwa mujibu wa Quran manabii wote hawakuwa wayahudi bali waislam, kwenye Quran kuna myahudi halafu kuna mwana wa israel (muisrael),wewe unamaanisha yupi?
 
Picha ya kuchora ya wanaojiita wayahudi/israel?..
 
Mayahudi bado yanasafari maana hayana nchi kwa sasa, maana nchi yao ya ahadi waliyohaidiwa hawajafika bado!Yanatapatapa!
 
Kabla ya 1948 ilikua hamna nchi inaitwa Israel
Umekosea kidogo.
Kingdom of Israel ilianza mwaka 1050 BCE. Mwaka 722 BCE kingdom ya Assyrian iliwapiga, na kuwachukua wayahudi mateka na kuwapeleka utumwani Babylon (Iraq ya leo). Ikabakia kingdom ya Judah iliyomegwa toka Israel kingdom mwaka 930BCE, ambayo nayo miaka ya 500 BCE ilipigwa na mfalme Nerbukadineza.

Waisrael wakiwa mateka waliishi utumwani Babylon kwa miaka 70, kisha wakarudi kwenye ardhi yao. Lakini mwaka 64 BCE warumi waliitawala Israel na maeneo mengine. Ni wakati wa utawala wa Warumi, jina Israel au Judah lilipigwa marufuku, na jina la Palestine (ambalo lilikuwa jina la eneo dogo pwani ya bahari) lilianza kutumika. Inasemwa kuwa Warumi walilifuta jina la Israel na Judah (Yudea) kama njia ya kuwaadhibu Wayahudi ambao kila mara waliugomea utawala wa Warumi. Baada ya kuanguka utawala wa Roman Empire mwaka 476, eneo la Israel na Judah ambalo sasa lilijulikana Palestine, lilitawaliwa na Byzentine, mpaka mwaka 1517 lilipochukuliwa na Ottoman Empire, iliyotawala mpaka 1917, ulipoingia utawala wa Waingereza.

Hivyo Israel ilikuwepo hapo kale kama kingdom, jina likabadilishwa, na baadaye mwaka 1947, vizazi vingi baadaye wakalirudisha jina, siyo kama kingdom bali kama nchi, japo kwa sasa eneo likiwa dogo sana kuliko lile lililokuwa la Israel na Judah kingdoms.
 
Palikua na wayahudi wengi tu arabuni na hasa Yemenn, wayahudi wa kiarabu nk, uyahudi ni dini,kwa mujibu wa Quran manabii wote hawakuwa wayahudi bali waislam, kwenye Quran kuna myahudi halafu kuna mwana wa israel (muisrael),wewe unamaanisha yupi?
Lione hili mbumbumbu, uyahudi sio dini ni kablia au jamii ya watu wa israeli
 
Ya nini kuandikia mate ndugu?

View attachment 3132512

Anayekataa mataifa mawili ni nani?

Kung'aka kwenu kupo kwenye kukerwa na maswali ya wazi kama haya!
Oslo Accord inasemaje? Nani aliikwamisha?

Unachotakiwa kujua ni kuwa ndani ya Israel kuna watu hawataki kabisa kusikia Taifa la Palestine. Na hawa ndio walimwua Yizack Rabin kwa sababu ya kusaini Oslo Accord.

Lakini pia ndani ya Waarabu kuna watu hawataki kusikia habari ya mataifa mawili. Wanasema wayahudi wanatakiwa kumalizwa, eti quran ndiyo inaagiza hivyo. Na hao ndo walim-assasinate Yasar Arafat kwa sababu ile ile iliyomwua Yizack Rabin.
 
Dogo ni mbumbumbu sana hata kabla ya miaka 1948 hakukuwa na Tanzania wala kenya wala Nigeria

Zamani dunia ilikuwa haina nchi za kisiasa sehemu nyingi zilikuws na wafalme na machifu, hivyo mwaka 1948 Israel iliunda nchi ya kisiasa na sio kwamba ndio ilianza kuweko mfano tanzania tuliunda nchi miaka ya 1960 haimaanishi kwamba ndio tunaanza kuishi bali ndio tumeengia kwenye mfumo wa kisiasa
 
Hakuna nchi iliyoitwa israel kabla ya 1948.
Ilikuwepo, ilitawaliwa kifalme kuanzia Mfalme Sauli kisha Mfalme Daudi kisha Mfalme Suleiman karne nyingi kabla ya Kristo.

Hoja ni Je hawa wa siku za leo ndo wametokana na kizazi hicho cha waisraeli wa kale? Na je ni wanaojiita wapalestina waliozaliwa hapo miaka ya leo hawana haki zozote?

Lakini mkitaka kulazimisha kupindisha historia kwa sababu za kidini hapo ndo mnakosea na mnaonekana hamjitambui
 
Ndio mkuu wanaamini, in short cultural ya kipalestina ndio cultural pekee duniani iliobakia ya wayahudi wa Zamani, Soma Bible ama Torah utaelwa.

Nikupe mfano angalia hizi picha


Hao ni wanawake wa Kipalestina wakilia kukatwa kwa miti ya Olive, mti wa olive ni Symbol ya Palestina/Israel ya zamani enzi na enzi toka kipindi cha Yesu, Daud na Mussa unakuwa regarded kama mti mtakatifu. Unaweza uka Soma hapa umuhimu wa olive tree kwa imani ya Kiyahudi

So leo hii Wapalestina wanakufa kutetea hio miti, at same time kuna wazungu wametoka Ulaya wanaojiita wayahudi wanaikata as if it means nothing, mti mmoja wa Olive unaishi miaka 500 on average na mikongwe inafika miaka 2000 kuna miti imepandwa Yesu yupo hai hilo eneo na mpaka leo ipo, Je nani anatetea Mila ya Waisrael wa zamani hapo?

Si tu miti ukienda kwenye mavazi, miziki, vyakula, na kila aspect ya life style ya Wapalestina ndio ile ile utakayoiona kwenye Bible na Torah.

Hawa ni Wapalestina mavazi yao Ya Asili
 
Qur'an iko wazi kabisa kuwa Bani Israel sio Wayahudi acha story na hakuna sehemu Qur'an imesema Israel ni ya Wayahudi sababu Israel sio nchi kutokana na Qur'an ni Yakobo na Bani Israel ni watoto wa Yakobo. Taifa linalo itwa Israel limetengenezwa na Uingereza kwa ajili ya siasa zao za dini walio jitungia na ukoloni walio uleta pale Palestine.

Qur'an inasema Wayahudi ni dini na Bani Israel ni kizazi cha Yakobo, sababu Yakobo alikuwa mcha Mungu sana .Mwenyezi Mungu ndio akawahidi kizazi chake sehemu takatifu sio kina nyaa na kina Biden 😄
 
Lione hili mbumbumbu, uyahudi sio dini ni kablia au jamii ya watu wa israeli
Uyahudi ni dini na ni jamii. Myahudi, jew, ni mtu anayefuata dini ya kiyahudi. Lakini tofauti na dini nyingine, wauminiwa dini ya kiyahudi ni descendants wa Yakobo (Israel).
A Jew is one who practices the Jewish religion, Judaism. This includes both converts and those who have been members of the Jewish religion since birth. A Jew is one who is a descendant of the ancient Israelite ethnic group, and therefore is a member of the Jewish people.
 
Uongo
 
Qur'an inasema Wayahudi ni dini na Bani Israel ni kizazi cha Yakobo...
Kwa ivo hapa unataka kusema Hinduism ni dini lakini Hindi siyo watu?

Hoja yangu ni kuwa Jews (Wayahudi) ni watu na inawezekana Judaism ni sehemu ya Imani ya Wayahudi.
 
Hahaha nyie tatizo lenu mnaongea na wajinga ambao hata Qur'an hawaifahamu. First the phrase (Land of Israel) has no mention in the Qur'an. So lets not fake the Qur'an to begin with.

Walio tajwa ni Bani Israel na hao Bani Israel ni kizazi cha Yakobo. If God wanted to say ; Jews, he would have used (Jews) not Bani Israel since Jews are already mentioned in other phrases in the Qur'an.

Secondly, ukiweka religion aside, if you have some common sense and read the Qur'an and Islamic literature, you would know that the Islamic God or even the Prophet definitely won’t give any land to Jews. In fact the Prophet before he died , he mentioned Bait Al Maqdes and Al Aqsa Masjid as holy to Muslims and he said the the Levant would be conquered so logically he won’t be giving it to Jews. The argument is really stupid when look at it from a logical sense.

Pia ukienda kwenye Taurati ukaisoma vizuri utaona Nabii Ibrahim alichukua ruhusa kutoka kwa nani ? Kutoka kwa
Abi Malik, King of the Philistines( We gave permission to Abraham) This is your Torah.

Israel ni taifa fake kama ukristo wenu ulivyo fake 😄
 

1. Wapi Palestina wamekataa two state solution?

2. Zaidi sana, nani yupo kwenye record anakataa two state solution?

Majibu yako tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…