Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Picha inaonesha israeli ya kale takribani miaka 4000 nyuma kabla ya wa Palestine kuvamia, picha pia inaonesha wapalestina waliishi ukanda wa gaza
Picha inaonesha baada ya wapalestina kuvamia israeli yote na kuikalia ardhi yao na kwenye miji kama yerusalemu, Bethlehem, hii ni baada ya dola la roma
Sasa baadae israeli waliwafukuza wapalestina kwenye ardhi yao ndipo ilitokea vita vya waarabu na wayahudi miaka ya 90