Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

Hao akina Bashiru na wote waliojihusisha na dikteta hawana maana kabisa.
 
We wenyewe Suzy Elias mbona hauhudhurii kumbukizi za kifo cha Jiwe? Ile ya kwanza hukuja Chato, na hii ya pili hukuonekana. Yaani mwaka huu mlimwacha mama Janeth akiwa mpweke anafarijiwa na wanafunzi wa shule za sekondari tu, nyie SG wote hamuonekani. Hii ni sawa kweli?

Uongozi wote wa serikali mkoa wa Geita na CCM Mkoa waliakacha kumbukizi ya miaka 2. Je, baada ya miaka 5 si itabaki familia yake tu ndo inayomkumbuka? Ila mitandaoni sasa mnavyojinasibu kuwa mlimpenda!
 
Mtu mmoja aliwah kusema km vp kazikwe naye. Mtu akishaondoka ni kumtakia heri ya milele siyo Kila kukicha maneno maneno. Kwani kwenye msiba wako watahudhuria watu wote. Na je ni lazima wahudhurie. Mbona huzungumzii akina Kagame, Museven, nk ambao hawakufika kweny msiba wa huyo baba yako mzazi. Kwa kweli mnaudhi utadhani tangu Dunia imeumbwa ni yeye tu alistahili kuheshimiwa. Kumuabudu binadam mwenzio ni dalili za upungufu wa nguvu za kiume au ugumba kwa mwanamke.
 
Hao wanafiki tu wanashindwa kutafuta pesa Kila kukicha wimbo wao ule ule utadhani hata wao wataishi milele au hawajawa kufiwa.
 
Hata Hivyo hao anaosema hata km wangehudhuria ndiyo wangebadilisha ukweli kuwa mtu kafa!! Ni ushamba na umbea tu kwa kudandia mambo yasiyo mhusu.
 
Suzy Elias, sijaona cha maana ulichokiandika hapa.. !! Kuhudhuria msiba ni utashi wa mtu mwenyewe..!! Ipo misiba mingi sana huko mitaani watu wa karibu huwa hawahudhurii kwa sababu mbalimbali. Kama mtu hajahudhuria, na hajatoa sababu, hakuna atakayemuuliza.

ILa kuonyesha kukua kiakili, wengi huwa wanahudhuria hata kama aliyefariki hakuhudhuria msiba unaomuhusu. Unadhani kwanini hakuna atakayetoka hadharani na kuanza kutamba kuwa amemkomesha Membe kwa kutohudhuria msiba wake?
 
Hata Kinana hajahudhuria, lakini Lukuvi amehudhuria.
 

Huwezi kumlinganisha JPM na Membe. Membe alikuwa maarufu, lkn JPM alikuwa maarufu zaidi. Membe alikuwa mbunge na Waziri wa zamani tu. Yeye atasahaulika kwa kasi ya ajabu. Atakumbukwa na wapendwa wake tu.
 

Ubaya unashindwa kwa Wema, Tumtangulize Mungu, wakati wewe ni fisadi la kutupwa, jamaa alikuwa wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…