econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Watu wanahangaika na issue ya Kariakoo wewe unaleta majungu. Unawaza chuki mpaka lini. Mbona hizi chuki hazikiwepo kwa Nyerere Mkapa au Maalim Seif?.Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.
Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!
Funzo:
Malipo ni hapa hapa Duniani.